Kumekucha Msimbazi mashabiki wataka MO awaachie timu yao

political monger senior

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
1,807
5,861
Mashabiki mbalimbali wameanza kumtupia lawama muwekezaji MO dewji kuwa yeye ndie anawarudisha nyuma na wala siyo wachezaji wa benchi la ufundi..

1683616619326.jpg
 
Kwanini asijitoe tu timu imemshinda????

Mala atoke kimya kimya.
Mala aingie.
Mala AENDE kwenye NGUMI.

HUYU HUWA ANARUDI TIMU IKIWA NA FEDHA TUNAOMBA ATUPISHE.
MO ameshawaona mashabiki wa simba ni mazwazwa akiona timu inafanya vibaya anasusa..ikifanya vzuri anarudi yani anawachezesha vile anavyotaka yeye..
 
Hivi ninyi Washabiki wa Simba Mo akiondoka si tunarudi kule kwa kwa Kaduguda kununualia wachezaji Chapati huku Yanga wanatesa na Manji wao.

Ngoja siku akitoka mtamkumbuka sana, hata yeye anatamani kuondoka timu uswahili mwingi na kuendekeza makundi na kutaka upigaji.
 
Wanahela hata ya kufikisha timu mtwara au wanalishwa matango pori na kingwangwala? Mtamkumbuka Sana babra, mlimpiga vita kuwa anathibiti fedha za kuwapa " wazee wa timu" na wavivu wengine wanaotegemea timu kuishi mjini
Kwa brand ya simba ilivyo akiondoka MO tutafika mbali sana ivi ni Tajiri gani asiyeitaka simba apa Tanzania na Africa kwa ujumla timu yenye fanbase kubwa apa Africa mashariki..asepe tu uyo kanji.
 
Mashabiki mbalimbali wameanza kumtupia lawama muwekezaji MO dewji kuwa yeye ndie anawarudisha nyuma na wala siyo wachezaji wa benchi la ufundi..

View attachment 2615352
Huu uhuni Una madhara Makubwa Kwa Simba. Unaweza kudhani ni Jambo dogo Mtu kutoa fedha kusajili na kulipa mishahara Kwa mapenzi tu. Mwingine anasema timu iliingia robo fainali na kupata fedha za kutosha bila kueleza kwamba fedha hizo hizo zilitumika pia kuendesha timu ikiwemo gharama za usafiri na malazi. Leo mnamuona Mo Dewji hafai, lakini chini yake ndo Simba amekuwa Simba.
 
Hivi ninyi Washabiki wa Simba Mo akiondoka si tunarudi kule kwa kwa Kaduguda kununualia wachezaji Chapati huku Yanga wanatesa na Manji wao.

Ngoja siku akitoka mtamkumbuka sana, hata yeye anatamani kuondoka timu uswahili mwingi na kuendekeza makundi na kutaka upigaji.
Pumbavu kwani yeye Mungu?
 
Back
Top Bottom