mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Hermobize hawajitambui.

    Inasikitisha sana.
  2. JamiiForums Tanzania Bila ya aibu mashabiki wa Afcon watatumia barabara ya Katesh Manyara to Singida huku Makonda akiendesha magarinya kifahari?

    Makonda anaendesha magari mpaka ya bil 1.7 huku akijinasibu kupambania michezo na timu ya taifa ambayo jezi zake zina kiwango hafifu kama za friends corner ya Manzese. Anapambana kiwanja cha Arusha kikamilike kwa wakati. Vipi kuhush miundo mbinu? Babati kupitia Katesh mpaka roundabaout ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Man City mtarudi kwenye Klabu zenu za zamani?

  4. N

    JamiiForums Tanzania Tungependa kutambulisha rasmi suluhisho na bidhaa yetu ya Jamiisound kwa wadau na wapenzi wa muziki na mashabiki

    Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba radhi, nimesogeza mbele tarehe ya kutoa nyimbo 7 October hadi 9 April 2027

    Habari zenu ndugu zangu, mambo yamekua magumu kwangu, gharama kubwa za uendeshaji chanzo cha kughaili, mtu niliemtegemea kufanya nae kazi tumeshindwana, mambo yamekwenda kinyume nilivo tegemea. Sina mdhamini all cost natoa mwenyewe, nimeshindwa rasmi NAOMBENI nijipange usumbufu uliojitikeza...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Inachekesha kuona wanaotuhumiwa kwa mauaji ya Oct 29 ndio hao pia mashabiki wakuu wa hizo tume mara ya Chande mara ya Lila

    Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe. Hivi kweli akili ya kawaida haikutumi kwamba ni kama mbwa kujifucha kwenye shamba la karanga!?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  8. O

    JamiiForums Kenya Mashabiki Wa Man United wawadhalilisha Mashabiki wa Arsenal Tena!

    Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo. Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kitengo Cha habari Cha Yanga kimepwaya,kwa miaka mitano kimeshindwa kuteka kizazi kipya Cha mashabiki hatimae wanachama

    Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani. Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
  10. JamiiForums Tanzania Uto mnawavunjia heshima mashabiki wenu

    Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii video ya Mbuzi akibeba kitambaa cha projector mashabiki wakiangalia Argentina na Spain, Ni kweli?

  12. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

    Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia. Furaha...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 30 bongo flava wakati mashabiki wenu mkuwapata kwa mtindo kama ruge na wengine wangetumia

    Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni. Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
  14. JamiiForums Tanzania Tafrani kombe la dunia Marekani, mashabiki wageni walazimishwa kulipa tip 20% mighahawani na bar.

    Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Scotland (FIFA 2026) Waleta Kiama Kwenye Mitaa Boston

    Mashabiki wa timu ya taifa ya Scotland wanajulikana kama Tartan Army ambayo iko kwenye group C na wanatarajiwa kupambana na Morocco leo kwenye Boston Stadium (Gillette Stadium) walivamaia jiji la Boston na kunywa bia zote mjini, baa zote zikabaki tupu. Imebidi kiwanda cha bia mjini hapo...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

    Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mafuta na gesi yakiisha Mashariki ya Kati tutaishije ?

    Mzuka wana jamvi ? Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed . Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ? Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie...
  18. JamiiForums Tanzania Wairan wenyewe ni mashabiki wa US na Israel ila wewe mwenzangu wa daraja mbili unalaani vikali matendo ya mabwenyenye😁😁

    Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Senegal waliokamatwa kwenye vurugu za AFCON 2025 Morocco wakana mashtaka

    Mashabiki 18 wa soka wa Senegal waliowekwa jela kwa kosa la kuingia uwanjani wakati wa fainali ya fujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kule Rabat mwezi Januari 2026, wamekana kuhusika na kosa lolote. Awali Februari 2026, mahakama nchini Morocco iliwahukumu mashabiki hao kifungo cha...
  20. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Taifa la Iran humu tujuane pliz!

    Wale wafuasi wa wa Iran a.k.a wazee wa threesome, naomba tujuane ili tufurahie ushindi mkubwa ambao tumeupata Katika mtifuano wa mashariki ya kati. Ayatollah secretarybird, nawakaribisha kwa raha tele 😎. adriz.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…