Assalam alyeikum mabibi na mabwana..?
Bila kuwachosa njoga niwape kisa hichi kilichonikuta, waswahili wanasema ujana maji ya moto sasa mimi nilikutana na moto wenyewe!.
Ilikuwa ni usiku tulivu nikiwa nimejituliza baada ya mihangaiko ya hapa na pale, punde mlango ukabishwa nikamkaribisha mgeni...