martin maranja masese

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

    Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe walishasaini siku nyingi tu!!!

    Habari ndio hio na kuna documents kabisa nimeziona twitter kwa Mdau mmoja zikionyesha hivyo na Mama anasomeka katika moja ya hizo documents. Halafu kumbe hii kitu ilifanyika tangu mwaka jana na Mjengoni ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu. Kazi tunayo!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama haya huyajui, hata tweets za Martin Maranja Masese kuhusu China Civil Engineering Company na kumuhusu Waziri wako Mwigulu huzioni?

    Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu. Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with kwa Mhe. Rais kuchunguza mambo hsya ambayo hata kamati husika ya Bunge inatajwa. Baadhi ya tweets...
  4. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Who is Martin Maranja Masese?

    Huyu kijana amekuwa akijipambanua kama kijana wa karibu wa CHADEMA na kijana wa Mbowe Aina ya siasa zake nazifurahia sasa hivi naona anaparuana na kigogo huko Twitter bila kumuogopa. Kwa anayemfahamu who is he?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

    Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya. === Mnazikumbuka sababu ya NASSARI kuvuliwa ubunge? Nchi zenye vetting system, kwa sababu zile za Nassari kutelekeza shughuli za Bunge na akaenda kula maisha Beverly Hills, USA, akashindwa kuheshimu kanuni...
Back
Top Bottom