marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yayazidi makampuni ya Marekani kwenye kandarasi za benki ya dunia

    Katika siku za hivi karibuni Ofisi ya uwajibikaji ya serikali ya Marekani (GAO), ilitoa ripoti iliyohusu hali ya kandarasi za benki ya dunia kati ya China na Marekani, ikionesha kuwa China inaiacha Marekani kwa mbali, kwenye kunufaika na kwenye utekelezaji wa kandarasi hizo. Hali ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania Idadi ya waanzilishi wazaliwa wa kigeni ambao walianzisha makampuni ya Marekani yenye thamani ya dola bilioni

    ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India - 66 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Israel - 54 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง United Kingdon - 27 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada - 22 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China - 21 ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France - 18 ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany - 15 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia - 11 ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ Ukraine - 10 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran - 8 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia - 7 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italy - 6 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria - 6 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ Poland - 6 ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด Romania - 6 ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Argentina - 5 ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil - 5 ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand - 5 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Pakistan - 5...
  3. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi Kwa Watanzania Ktk Kampuni ya Space X (Twitter) Nchini Marekani

    Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao FaizaFoxy USSR Maghayo instanbul Pascal Mayalla Mshana Jr OKW BOBAN SUNZU FRANCIS DA DON Msanii Mpwayungu Village Bufa Kaka yake shetani UMUGHAKA ChoiceVariable
  4. JamiiForums Tanzania Suala la Viza ya Marekani na Canada Serikali ya Tanzania ivunje ukimya, foreign affairs watimize majukumu yao

    Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya. Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden. Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kutimiza lengo la kuongeza biashara na Afrika kwa kuilenga China

    Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Martha Karua atoa wito wa kulipwa fidia kwa Waathiriwa wa Bomu lililolipua Ubalozi wa Marekani Mwaka 1998

    Mwanasiasa huyo ambaye ni kiongozi wa Chama cha Narc-Kenya amesema wakati umefika wa Serikali za Marekani na Kenya kuwa na mazungumzo ya mwisho kuhusu malipo hayo ya walioathiriwa na tukio lililotokea Agosti 7,1998 Jijini Nairobi. Ameyasema hayo katika maadhimisha ya miaka 25 tangu kutokea kwa...
  8. JamiiForums Tanzania China na Urusi waizungukia Marekani kutoka Alaska

    Wakati Ukraine ikishughulika na kudondosha vibomu vidogo vidogo kwenye daraja na meli za Urusi na hii ni baada ya kushindwa kurejesha jimbo lolote lililotekwa.Mwenzake Urusi amefikiria mbali sana katika kushinda vita vinavyoendelea. Mbinu muhimu ni kupambana na wale wanaompa nguvu Ukraine nje...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa Mwaka mmoja afariki baada ya kuachwa kwenye gari lenye joto kwa saa 8

    Mtoto huyo wa kike aliachwa kwenye kiti cha nyuma cha gari na bibi yake ambaye alienda kufanya kazi. Polisi wa New York wameeleza kuwa bibi huyo mwenye umri wa miaka 54 alisahau kumpitisha shuleni mtoto huyo kama ambavyo amekuwa akifanya anapoenda kazini. Baada ya saa nane akaenda shuleni...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

    Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita. Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
  12. M

    JamiiForums Tanzania Marekani imeanza kujihami mapema kuhusu vifaru vyake vya ABRAHAMS inavyopeleka Ukraine!! Inahofu vitaunguzwa na kutekwa na URUSI!

    Marekani imeshaanza kuonesha hofu ya vifaru vyake kutekwa au kuchomwa moto na Majeshi ya urusi kama ambavyo vifaru vya ujerumani (Leopords) vinavyochomwa moto na kutekwa huko ukraine!! Marekani inasema kuwa itavyofoa sehemu muhimu kwenye vifaru hivyo ikiogopa teknologia yake kuangukia mikononi...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Jay-Z atajwa kwenye mpango wa kuinunua Tottenham

    Rapa na mfanyabiashara huyo wa Marekani inadaiwa kuwa anaweza kuinunua klabu hiyo ya England kwa Pauni Bilioni 2.2 (Tsh. Trilioni 6.9) ikiwa mmiliki wa sasa Joe Lewis atataka kuiuza. Lewis (86) anakabiliwa na masuala ya kisheria kuhusu biashara zake na alifikishwa Mahakamani Julai 26, 2023...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni vita ya biashara ya Marekani dhidi ya China, au ya Marekani dhidi ya dunia?

    Ni karibu miaka sita tangu Marekani izushe mgogoro wa kibiashara kati yake na China, na kuubazita mgogoro huo jina la vita ya biashara kati ya China na Marekani, wakati uhalisia wake ni vita ya biashara ya Marekani dhidi ya China iliyoanzishwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Bw. Donald Trump...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Vizuizi vya chip vya Marekani dhidi ya China ni sawa na "kutangaza vita" dhidi ya mnyororo wa ugavi wa bidhaa husika duniani

    Serikali ya Marekani imesema inafikiria kuongeza muda wa vizuizi vya uuzaji nje wa bidhaa za chip kwa China vilivyoanza mwezi Oktoba mwaka jana, ikiwa ni juhudi zaidi za kudhoofisha maendeleo ya sekta ya akili bandia ya China. Gazeti la "the New York Times" limechapisha makala ikisema hatua hii...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

    Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti. Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
  17. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko Ligi ya Marekani (MLS)

    Mshindi wa tuzo za Ballon Dโ€™or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). โ€œNina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku. Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Marekani ya kutengeneza semiconductors waitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China

    17 July 2023, Washington Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Serikali ya Marekani(2006) walipokabiliwa na maswali juu ya DP WORLD

    DP World: Myth Vs. Facts MYTH: The Bush Administration is outsourcing the security of our ports to a company owned by the Government of Dubai in the United Arab Emirates (UAE). FACT: The United States government is in charge of U.S. port security. We will never outsource the security of our...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV inaweza sitishwa na Marekani. Je, Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

    Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo? Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI. Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ