marekani

  1. JamiiForums Tanzania “Wakimbizi wa TikTok” wa Marekani wafungua dirisha jipya la kuifuatilia China

    Huku marufuku ya TikTok ikikaribia, wanasiasa wa Marekani wanaoendelea kupinga China wamegundua kwamba App nyingine ya kijamii ya China ‘Rednote’ imezidi kuwa maarufu nchini Marekani. Katika siku za hivi karibuni, idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok wa Marekani wamejiunga na Rednote, na...
  2. JamiiForums Tanzania Fursa ya kwenda kufundisha Marekani (kwa walimu tu)

    Maombi sasa yamefunguliwa kwa walimu wa Kitanzania kutuma maombi ya kushiriki katika mpango maarufu wa Fulbright Teacher Exchange wa mwaka 2026! Hii ni fursa ya kipekee ya kushirikiana na waelimishaji wa Marekani, kubadilishana mawazo bunifu, na kushirikiana mbinu bora za ufundishaji. Usikose...
  3. JamiiForums Tanzania Tech & media convergency (TMC) yashirikiana na Ubalozi wa Marekani dar, katika kutekeleza mradi wa kuimarisha ushirikiano katika ajenda ya kidijitali

    Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi wa kimapinduzi ya Tanzania Digital Collaboration." Programu hii ya kibunifu unalenga kuimarisha...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yaelekea kuachana na mafuta ghafi ya Saudi Arabia kuanzia mwaka huu wa 2025

    Mwaka jana, Riyadh ilifunga ofisi yake ya mafuta New York - ishara ya kuelekea kutoweka kwa mafuta ghafi ya Saudi huko nchini Marekani. Shukrani kwa mapinduzi ya shale na kuongezeka kwa tasnia ya mafuta ya Canada, uagizaji wa mafuta ghafi kutoka Marekani ulishuka hadi chini kabisa katika karibu...
  5. JamiiForums Tanzania Mateso ya wanawake chini ya kanisa kupitia Magdalene Laundries, vituo vya mateso vya kanisa kurekebisha wanawake tabia huko Ulaya

    Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao. Wanawake wengi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Ni viongozi wangapi kutoka bara la Afrika, watakwenda Marekani kushuhudia uapisho?

    Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais. kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria? Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Janga la moto Los Angeles ni aibu sana kwa taifa kama Marekani

    Taifa la kimarekani U.S.A ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kijeshi hivyo ndo walivyotuaminisha kwa kutumia vyombo vyao vya habari. Watuaminisha hivyo, ila kiuhalisia sio kweli. Nasema hivyo kwasababu, mfano matokeo ya ajali ya moto huu moto wa msituni. Huu ulitokea Los Angeles au...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani yaweka dau nono la $25M kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro

    Serikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism). Serikali ya Marekani inamtuhumu Maduro na viongozi kadhaa waandamizi wa Venezuela kufanikisha, kuchochea...
  10. JamiiForums Tanzania Professor Jeffrey Sachs: Marekani inapigana vita vya Netanyahu

    Professor Jeffrey Sachs ni mtu anaeheshimika Sana Marekani.. Serikali ya Marekani imejaa wanafunzi wake...juzi amesema Washington imejaa wanafunzi wangu waliofeli 😃.. The most interesting part ni kuwa interview yake aliyomponda sana Netanyahu akihojiwa na Republican favourite Carlson...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Dola ya Marekani inavyonyanyasa sarafu mbalimbali duniani kwa mwaka 2025 na kufanya ndoto ya Brics kufifia kabisa

    Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025. Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi...
  13. JamiiForums Tanzania Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

    Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!. Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano. Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti: 90% ya raia wa Marekani na Uingereza hawana uwezo wa kumiliki nyumba za tofali

    Kuna siku ndugu yangu anayeishi uingereza aliniambia, inashangaza sana kwa nchi kama Tanzania ambapo mchanga unapatikana kila mahali halafu bado kuna watu hawachangamki kujenga na kumiliki nyumba. Kwakuwa mchanga ni rasilimali adimu sana hasa uingereza na sehemu nyingi za Marekani, huwa...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha moto mkali uliochoma nyumba zaidi ya 10,000 na kuua watu 10

    Ila hapa duniani kuna watu na viatu kwa kweli! Sasa mtu anatumwa na halmashauri yake ya kichwa anaenda kuwasha moto duh hii ni balaa tupu. Pole zao wote walipata janga hili kubwa. ===================== Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Joseph Aoun Mkuu wa Majeshi achaguliwa kuwa Rais Lebanon. Marekani, Saudi Arabia na Israel zaahidi kumpa ushirikiano

    Wadau hamjamboni nyote? Habari njema sana Joseph ndiye Rais mpya Lebanon akichaguliwa kwa kura 99 kati ya 129 Amehudhuria mafunzo maalumu ya kijeshi ya kupambana na ugaidi nchini Marekani mwaka 2008 Mgombea anayeungwa mkono na magaidi ya Hezbollah amejitoa kwenye uchaguzi baada ya kuona...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekana kwenda kuokota "mali" Marekani?

    Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya ni kwenda kunakotupwa vitu vilivyokwishatumika na kuvihamishia nyumbani kwake. Kwamba, ni kawaida...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa kiulinzi kisiwa cha Greenland ni "mali" halisi ya kudumu ya taifa la Marekani kabla na baada ya vita kuu ya pili ya Dunia

    Wadau hamjamboni nyote Serikali ya Marekani ilishajimilikisha kisiwa cha Greenland kabla ya vita kuu ya dunia na kisha kumilikishwa rasmi kupitia mkataba wa kijeshi wa kijeshi wa mwaka 1951! Serikali ya Denmark inatoa tu kauli za kawaida lakini inatambua kuwa kisiwa hicho ni " Mali" ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…