Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake.
Kwa upande...
Kesi ya Mwanamke aitwae Sarah Boone (46) wa Florida Nchini Marekani anayetuhumiwa kwa kusababisha kifo cha Mpenzi wake ( Jorge Torres 42) kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo na kumsababishia kukosa hewa kulikosababisha kifo chake mwaka 2020, inatarajiwa kusikilizwa wiki ijayo baada ya kusogezwa...
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!
Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!
Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!
https://twitter.com/home
Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
Hili si suala la ushabiki wala kiimani. Uungwana siku zote ni kujitendea haki mwenyewe kwa kuukabili ukweli hata kama ni mchungu.
Sote ni wafu watarajiwa na kwa mola tutarejea. Hata ipo tofauti linapokuja suala la kurejeshwa na binadamu wengine, ndiyo maana kelele zinapigwa.
Rejea "Operation...
Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya Ndege kutua.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Shirika hilo, ahya Üstün, amesema Rubani alipata shida ya...
Wizara ya Sheria nchini Marekani ilisema siku ya Jumanne kuwa FBI imekamata mwanaume mmoja kutoka Afghanistan ambaye maafisa wa usalalma wanasema alihamasishwa na kundi la wanamgambo la Islamic State na kwamba alikuwa akipanga shambulio la Siku ya Uchaguzi lililolenga umati mkubwa wa watu nchini...
https://www.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine.
Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa...
Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu...
08 October 2024
Dar es Salaam, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, mheshimiwa Dr. Michael Anthony Battle, Sr. katika mahojiano exclusive kabisa na mtangazaji nguli Salim Kikeke wa Crown Media ya Tanzania.
Balozi huyo anayewakilisha maslahi...
Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita!
On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu na pia naomba kujua gharama exactly za kutuma huo mzigo.
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa ulinzi wa Israel komandoo yoav galant na Waziri mwenzake Lloyd Austin watafanya kikao kizito makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani pentagon siku ya jumatano Oktoba 8, 2024.
Taarifa kamili hapo chini:
Defense Minister Yoav Gallant will travel to the...
Hivi Leo mkuu wa kamandi ya kijeshi CENTCOM inayo operate katika maeneo ya mashariki ya Kati Gen .mike kurilla amekutana na viongozi wa kijeshi wa ngazi ya juu wa Israel katika kikao huko Tel Aviv ili kuisaidia Israel kupanga namna ya kulipa kisasi kwa Iran baada ya shambulio baya la Oktober 1...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia kuiangamiza Korea Kusini iwapo itashambuliwa, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti Ijumaa, baada ya Rais wa Korea Kusini kuonya kwamba ikiwa Korea Kaskazini itatumia silaha za nyuklia itakuwa ni “mwisho wa utawala...
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi.
Vyombo mbalimbali vya...
Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi.
Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani.
Wanahabari wa Marekani wanakabiliwa na tishio jipya ikiwemo kushambuliwa na polisi, mashambulizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.