marekani

  1. Yoda

    Elon Musk ahofia kutimuliwa Marekani kama muhamiaji haramu

    Elon Musk aliingia Marekani kwa visa ya wanafunzi kwa ajali ya Masomo ya chuo kikuu, alipoingia tu chuo akaachana na masomo akaanza kufanya biashara zake mtaani bila kibali cha ukazi au cha kufanya kazi Marekani. Kwa sababu serikali ya Marekani ilikuwa haifuatilii sana wahamiaji haramu miaka ya...
  2. Stroke

    Je, Ziara ya Rais Samia nchini Marekani inaweza kuinfluence uchaguzi utaofanyika novemba 5?

    Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao. Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais. Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa...
  3. Dalton elijah

    Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani

    Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea kombora hilo ni nini na kwanini ni tishio kwa Marekani na ulimwengu. Katika kuadhimisha miaka 75 ya...
  4. TODAYS

    Mnaofuatilia katuni ya Simpsons, kumbe Trump kapigwa knockout kitambo!

    Kipindi ninekuwa najaribu kufuatilia hiki kikatuni cha Simpsons huwa kinalenga mambo gani. Juzi kati hapo nikakutana na scene mpeperusha bendera wa Biden akiwa white house akitoa hotuba na kujibu maswali mbalimbali. Kama unafuatilia hako kakatuni kwenye the Simpsons "Bart to the Future"...
  5. G

    Kamala Harris ndiye Rais wa Marekani 2024. Mashine za kura zimedukuliwa, Maharamia watapiga kura

    Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
  6. enzo1988

    Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

    Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5. Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios...
  7. Vichekesho

    Ostadh Shaaban: Iran ina nguvu kuliko Marekani

    Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja na mada nyingine anasema kuwa Iran inanguvu kuliko Marekani na imeizidi Marekani kwa kila kutu...
  8. SaintErick

    Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    Miaka michache iliyopita ilikuwa huwezi kuzungumzia vita kati ya Uchina na Marekani lakini hivi sasa tayari hilo halipo na kinachozungumzwa ni vita kati ya mataifa mawili makubwa zaidi duniani kiuchumi na kijeshi kwa maana ya Marekani na China. Mapema mwezi huu (Oktoba) wanajeshi 864 wa...
  9. U

    Rais wa zamani wa Marekani Donald trump amtaka Netanyau amalize vita vya Gaza mapema kabla hajarejea Ikulu ya Marekani kuwa Rais kwa mara nyingine

    Wadau hamjamboni nyote? Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, amemwambia Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuwa anataka Israel imalize vita vya Gaza kabla ya yeye kurejea madarakani iwapo atashinda uchaguzi, vyanzo viwili vilivyo na taarifa juu ya suala hili vimeeleza kwa The Times of Israel...
  10. Sigonella Island

    Kasi ya mauaji ya Wanajeshi NATO huko Ukraine yaistua Marekani

    Marekani imestuka baada kasi mauaji ya wanajeshi wa NATO huko Ukraine kuongezeka huku Russia akaikamata maeneo kwa spidi ya ngiri....hofu hiyo imefanya Blinken aropoke China iondoe wanajeshi North Korea Russia tuelekee studio.. Update: NATO backed Ukrainian forces and on the verge of total...
  11. M

    List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

    Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa kufanyika tarehe 5 November 2024. Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii...
  12. W

    Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, Trump na Harris wana sera gani?

    Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani mwezi Novemba, ni wakati wa kuzielewa sera kati ya Makamu wa Rais wa chama cha Democratic, Kamala Harris na Donald Trump wa Republican. Sera za Harris Kamala vs Trump 1. Mfumuko wa Bei Harris anasema kipaumbele chake kitakuwa ni...
  13. L

    Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukaona kama ni jambo dogo lakini kwa jicho la tatu hili ni jambo kubwa sana linalopaswa kudhibitiwa kwa uharaka juu ya Mtu au watu au kikundi cha watu kinachoweza kuwa kinavujisha siri na taarifa za siri ambazo hazijawa rasmi na kutolewa kwa Umma. Nasema hivi...
  14. Mohamed Said

    Maktaba yapokea Vitabu Kutoka Songea, Ujerumani na Marekani

    Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi. Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao. Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa. Mara kwa mara huja nitembelea Maktaba. Safari hii alikuja Tanzania akafika hadi Songea kutembelea Makumbusho ya Vita...
  15. Ndagullachrles

    Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
  16. GIRITA

    Msaada kuhusu kujaza fomu za Bahati Nasibu ya kwenda kuishi Marekani

    Habari wakuu. Kuna mtu kanipa maelekezo kwamba kuna ofisi inasaidia watu kujaza form na kupigwa picha kwa akijili ya Bahati nasibu ya kwenda kuishi Marekani yaani Green card au Dv lottery inayochezeshwa kila mwaka. Sasa ninaomba kufahamu vigezo na masharti pamoja na nyaraka zinazotakiwa ili...
  17. Richard

    Zijue kazi 16 za kishenzi ambazo zalipa mapesa Ulaya na Marekani na ambazo kwa waafrika waweza kuziiga na kuzifanya Tanzania.

    Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi. Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
  18. Equation x

    Ni kwa nini matajiri wengi wa Dunia wanatoka Marekani?

    Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani. Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k Sasa najiuliza, ni kitu gani kinacho wafanya wao kuwa na matajiri wengi. Ni kwamba wana sera nzuri za kuwawezesha...
  19. U

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Wakati mvutano unaendelea huko Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya kisasi ya Israel dhidi ya Iran, Marekani imeionya Tehran dhidi ya mipango yoyote wa kulipiza kisasi. Pentagon imesema kuwa mashambulizi ya Israel ya Jumamosi yanakusudiwa kumaliza uhasama kati ya...
  20. Vichekesho

    Kuna Ndege ya mojakwamoja toka Airport ya Mwl Nyerere mpaka Marekani?

    Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip (kwenda na kurudi) business class?
Back
Top Bottom