Serikali ya Marekani hivi karibuni imetangaza mpango mpya wa ushuru dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za nje. Kulingana na mpango huo, viwango vya ushuru vinaanzia asilimia 10 hadi 12.5, na kuhusisha karibu washirika wakuu wake wote wa kibiashara, ikiwa ni pamoja na China, Umoja wa Ulaya...
Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.
Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa...
Ndo ile ukisikia adui yako kawa rafiki yako ndio hii sasa,
Baghdad, Iraq
Ni wanajeshi 12 miongoni mwa askari 551 amboa walijulikana kama "Super twelve' walipewa jukumu la kumlinda raisi Saddam Hussein mwisho mwisho wa uhI wake kabla hajanyongwa
Mmoja wao Barden Werper ameandika kitabu...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameondoka kwenda Washington.
Kabla ya kupaa alisema: Kutokana na uzoefu wangu kama Waziri Mkuu, katika nyakati hizi ngumu lazima tuchukue hatua kwa azimio kubwa na hekima kubwa. Tutajadili masuala yote kwenye ajenda, kwanza kabisa, Iran. Ninaanza safari...
Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑...
Daniel Ogama Adongo, mchezaji wa zamani wa Ligi ya Soka ya Marekani (NFL) na raia wa Kenya, amehamishwa kutoka Marekani hadi Kenya na mamlaka ya uhamiaji ya nchi hiyo baada ya kukiuka masharti ya visa yake.
Kwa mujibu wa mamlaka ya U.S. Immigration and Customs Enforcement (ICE), Adongo...
RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
Bwana Sebastian Gorku akizungumza na waandishi wa habari.
Raisi Donald Trump amekuwa akishauriana na watu mbalimbali ndani ya utawalal wake nai pia kufikiria ombi la nchi ya Mali kusaidiwa kuondoa magaidi wa JNIM ambao wana mahusiano na kundi la Al Qaeda.
JINM ambao kirefu chake ni Jama’at...
Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.
Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, neno "maandamano" na harakati za kudai mabadiliko zimezungumziwa katika mazingira mawili tofauti: maandamano ya wananchi katika nchi za Ghuba dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani, na wito wa vijana wa Tanzania kuchukua hatua za ujasiri kudai mabadiliko ya...
Wanaukumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Arakçi:
"Misri inatoza kati ya $200,000 na $700,000 kwa kila njia inayopitia Mfereji wa Suez; kwa meli kubwa za makontena au meli za mafuta, takwimu hii inaweza kuzidi dola milioni 1.
Uturuki inatoza ada ya njia kwa Mlango-Bahari wa Istanbul...
Siku chache niliweka Uzi wenye kuhoji kama hivi ambavyo al Jazeera wamehoji. Wairan wa tandale walikuja na maneno mengi, haya Al Jazeera nao wamekuja na huo mshangao.
Kwenye hii taarifa ya al Jazeera wanaohoji kwa Nini Iran wanaikwepa Israel ikiwa Kuna ndege za marekani zinaruka kutokea Ben...
Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani.
Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu.
Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
==...
Uhispania ilisherehekea ushindi wa kihistoria wa Kombe la Dunia, lakini zawadi yao ya dola milioni 50 inakuja na bili ya kodi huku Mamlaka ya Mapato ya Marekani (IRS) ikidai sehemu ya mapato yaliyopatikana katika ardhi ya Marekani.
Wataalamu wa kodi wanasema matokeo ya mwisho hayangebadilisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia...
Kujifunza Kiswahili ugenini: "Kitu kilichonishangaza ni pale niliponiambia kuwa yeye lugha ya Kiswahili kaisoma Marekani... asema mimi nimekuja Afrika Mashariki kuja kukipiga msasa kiswahili changu."
Umuhimu wa kujua lugha za watu: "Mtume S.A.W. anasema mtu yeyote atakayekuwa amejifundisha lugha...
Ndani ya wiki mbili pentagon wamesema wanajeshi 100 wamejeruhiwa na watatu kuuliwa.
Lakini ripoti zinasema pentagon wamekuwa wazito na slow kwenye kutoa takwimu halisi huku idadi kamili wakificha kwa hofu za kiusalama.
Iran ilishambulia kambi za marekani zilizopo kwenye nchi za ghuba ya uajemi.
https://youtu.be/8DNwD9U2mks
WASWAHILI WA MAREKANI
Huyu mwandishi Nathaniel Mathews tunafahamiana na kwa kiasi fulani alikuwa kama mwenyeji wangu nilipokwenda Northwestern University, Chicago.
Anazungumza Kiswahili vizuri na anakipenda muda wote tulipokuwa pamoja tukisema Kiswahili.
Jambo...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anachambua mzozo kati ya Iran na Marekani akizingatia athari zake kwa mataifa ya Ghuba na mabadiliko ya nguvu za kijeshi duniani. Hizi hapa ni nukuu na hoja muhimu:
Kibri na Maangamizi Mohamed Said anabainisha kuwa mzozo huu unachochewa...