marekani

  1. U

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel wanajiandaa kuishambulia Iran ndani ya kipindi cha wiki moja

    Mchambuzi wa runinga ya taifa ya Iran amesema Jumapili kuwa usitishaji wa mapigano uliopo kwa sasa ni kipindi kifupi tu kwa Israel na Marekani kujipanga upya, na kwamba wataendelea na mashambulizi yao dhidi ya Iran hivi karibuni. “Ushahidi uliopo unaonesha kuwa Israel, kwa msaada wa Marekani...
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Naishauri Iran Kama vita vikianza tena waanze kupiga base za Marekani zilizopo karibu naye

    just what I see ni kuwa zinapull back much effort wanatkiwa wagonge target na kuspusha uzuizi mkubwa kutoka Nchi jirani,Iran inapwa kujilinda kama nchi nyengine zinavyojilinda. Hapo middle east Israel kapandikizwa,wakristo mtanisamehe.
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Marekani yasusia mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Uhispania

    Mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo utaanza Juni 30 hadi Julai 3 na miongoni mwa mambo yaliyomo kwenye ajenda ya mkutano huo ni mataifa kuondolewa mzigo wa madeni. Kuongezwa misaada na marekebisho ya kodi.Viongozi wa ulimwengu watakuwepo katika eneo la kusini mwa...
  5. Liutenant

    JamiiForums Tanzania Kumbe kilogram zote 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa na Iran kwa asilimia 60 ziliyeyushwa na mabomu ya Marekani na Israel

    Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran. Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Trump kasema mpaka sasa Uchumi wa Marekani unafanya vyema je, yule niliyemsahau aliyesema kuwa Tanzania sasa ina Uchumi kuwazidi alizitoa wapi?

    Jamani ifike pahala sasa kama tunajijua kuwa ama tumelewa au tumelala nazo tusiwe tunakurupuka kwani tunaaibika!!
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania China na Marekani zalegeza masharti ya kibiashara

    China na Marekani zimeridhia kulegeza masharti ya kibiashara huku China ikisema itapitia upya na kuidhinisha maombi ya usafirishaji wa bidhaa yatakayoendana na kanuni zilizopo. Marekani nayo ikiondoa hatua kali za kibiashara ilizoiwekea China. Awali Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Putin: "Namheshimu sana Rais wa sasa wa Marekani. Ni mtu jasiri sana."

    Ukiona baharia kama putin anakusifia basi ujue unapiga kazi kweli kweli😁
  9. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran

    Wanakumbi. Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran kusitisha mapigano na Israel. Habari za kutolewa kwa ujumbe huo zilianza kumiminika kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Marekani huingiza 97bn kwa mwaka kupitia porn industry

    Dah kweli papuchi inalipa Wakati wizara yetu ya maliasili na utalii kutangaza kuingiza 9bn mwaka jana kwenye sekta ya utalii, marekani wao waliingiza 97bn kupitia kiwanda Chao maarufu porn. Inasemekana kwa seconde marekani huingiza 3075. 24 million kwa watazamaji wanaoangalia video online ambao...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inakaribia kufunga mlango wake karibu nusu kwa Afrika…

    Marekani imenyanyua tena "upanga wake wa viza", safari hii ukielekea kwa nguvu zaidi Afrika. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani vinavyoanika nyaraka za serikali, Rais Donald Trump anapanga kuongeza orodha ya nchi zinazopigwa marafuku raia wake kuingia Marekani katika wiki kadhaa...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais Samia aache kufungia makanisa

  14. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Kiintelijensia yasema kuwa Marekani Imerudisha Program ya Nyukilia ya Irani miezi mchache tu nyuma

    Taarifa ya vyombo vya Intelijensia vya Marekani imesema kuwa Shambulio la Marekani huko Fordow limerudisha mpango wa Iran wa Nyukilia miezi michache nyuma. Imesema kuwa yale mabomu hayakupenya ipasvyo na kugusa chini kabisa ndani ya mlima Taarifa zaidi unaweza kuipata hapa...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tunachokijua kuhusu mashambulizi ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani, Al Udeid

    Iran imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki. Mashuhuda wameripoti kusikia milio mikubwa angani juu ya Qatar, huku video zikionyesha miale mikali angani...
  16. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Youtube wampa tuzo ya Diamond, msanii Diamond Platnumz kwa kufikisha subscribers Milioni 10

    Msanii kutokea Tanzania Diamond Platnumz amepewa tuzo maalum na Youtube kwa kufikisha subscribers Milioni kwenye ukurasa wake wa Youtube Hongera zake na kaimprove kuongea kingereza
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwenye wall ya dada wa Taifa iliyopo Instagram utawashangaa watanzania wengi wanavyomlalamikia mtu anayeishi marekani

    Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli mbona tun watu waajabu sana Jambo ambalo watanzania wanatakiwa wajue hatima ya nchi yao ipo mikononi...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani wametaka walichokuwa wakitaka

    Walitaka tu kuharibu mifumo na vinu vya Nyuklia vya Iran. Ndiyo mambo ambayo kwao yalikuwa agenda kuu sana miaka yote. Wamefanikiwa kwa asilimia 90 plus. Na pia walitaka kuitia Kilema Irani kivita au kisilaha. Na haya mambo hayakuanza leo au jana. Mipango yao ilikuwa okifanyika zaidi ya miaka...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Afisa wa kijeshi wa Marekani amesema hakukuwa na athari kambi ya anga ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar

    Hakukuwa na athari kwa kambi ya anga ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar, Reuters iliripoti ikimnukuu afisa wa kijeshi wa Marekani. Afisa huyo alinukuliwa akisema hakuna shambulio la Iran lililogunduliwa katika kambi yoyote ya kijeshi ya Marekani isipokuwa Qatar. Soma Pia: Iran imerusha...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Iran yawalipa wanamitandao kusambaza video ya makorongo ya Morocco kudanganya ni makombora ya Marekani ili kuficha aibu, wairan wazalendo wawaumbua

    WaIran wazalendo wanaoiona video hii hasa walio nje ya nchi wenye access ya Internet wanasema wao huongea Kifarsi, hawaitambui lugha inayotumika. wamorocco nao hawataki vivutio vyao kutumika kipropaganda, na lugha inayoongelewa ni yao, Kiarabu chenye lafudhi ya Darija ya kimoroko.
Back
Top Bottom