marekani

  1. JamiiForums Tanzania Vitisho vya kufunga Straight Hormuz vikitekelezwa tunaweza kufa kwa Kiu ya Mafuta

    Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani kutumia silaha ya nyuklia kuipiga Iran kwa hasira ya kushindwa ni aibu na balaa kubwa kwa dunia

    Tetesi zinazoelekea kuwa ushahidi kuwa Marekani haijafanikiwa kuleta madhara makubwa yaliyokusudiwa kwa vinu vya nyuklia vya Iran,kunaweza kukaitia hasira sana nchi hiyo na kuamua kuipiga Iran kwa nyuklia ili tu ionekane haijashindwa. Chini ya raisi Trump ambaye akili zake haziko sawa uamuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yaiomba China iisihi Irani isifunge Strait of Hormuz

    The United States says China should pressure Iran not to close the Strait of Hormuz. WASHINGTON, June 22 (Reuters) - U.S. Secretary of State Marco Rubio on Sunday called on China to encourage Iran to not shut down the Strait of Hormuz after Washington carried out strikes on Iranian nuclear...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza kumshinda Marekani bila nguvu za kijeshi mfano China anaenda taratibu lakini kwa umakini mkubwa

    Kumshinda marekani kupitia nguvu za kijeshi haitoshi pekee. Maadui zake marekani wanapaswa kujiza titi kupitia nguvu za kiuchumi na kiteknolojia ili kumshinda marekani na washirika wake. Unapokuwa na uchumi mkubwa ni lazima tu suala la ulinzi nalo litakuwa Imara. Watu husema wachina ni...
  5. JamiiForums Tanzania Picha za satelite na wataalamu inaonesha Marekani haikufanikiwa katika pigo lake.Vinu vya nyuklia vya Iran viko salama

    Kwa kutumia ndege za kivita za mwisho katika hazina yake za Doomsday,Marekani ilitarajia kuvunja vinu vya nyuklia vya Iran ambavyo Israel ilishindwa wiki moja nyuma. Kwa mujibu wa wataalamu wa IAEA na wataalamu wa ndani wa Iran mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya mionzi kuongezeka kutoka vinu...
  6. JamiiForums Tanzania Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  7. JamiiForums Tanzania Marekani Raia waandamana kumtaka Trump aondoke madarakani.

    Tayri wananchi wa US wameanza kushinikiza kuondoka kwa donald trump kwa kuanzisha maandamano.
  8. JamiiForums Tanzania Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

    Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni. Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila...
  9. JamiiForums Tanzania Jemedari wa Iran akionesha namna ya kukwepa Mabomu ya Israel na Marekani

    Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
  10. JamiiForums Tanzania Trump amteua demu/girlfriend wa mtoto wake kuwa balozi wa Ugiriki

    Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki. Hata hivyo girlfriend huyo wa mtoto wake atahitaji kuthibitishwa na bunge la Seneti la Marekani kuwa balozi mteule. =======...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia. Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo...
  12. JamiiForums Tanzania Trump: Ndege zetu za B-2 zipo njiani kurudi Marekani baada ya kukamilisha Mission

    Marekani imeishambulia maeneo ya nyuklia ya Iran kwa makombora ya B-2 , amesema afisa wa Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump anasema Marekani imekamilisha mashambulizi kwenye maeneo matatu ya nyuklia nchini Iran, ikiwa ni pamoja na Fordo, Natanz na Esfahan. Fordo 'imeenda', aliandika...
  13. JamiiForums Tanzania Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

    Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa shambulio hili la Marekani kwenye vinu vya nyuklia vya Irani limehitimisha rasmi vita kati ya Israeli na Irani

    Amesikia Rais wa Marekani Donald Truph akisema hivyo mara baada ya kukamilisha zoezi, na kusema kuwa sasa ni muda wa amani, vita imeisha. Binafsi nimefarijika kusikia hivyo, maana vita sio kitu kizuri. Wananchi wa Irani na Israeli walikuwa wanahaha. Bora vita imeisha.
  15. JamiiForums Tanzania Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi Pia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepongeza hatua ya Rais Trump akiiita “uamuzi wa kishujaa” na kusema kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania AIPAC ni nini ? Kwa nini na ki vipi inaamua sera za nje za marekani juu ya Israel

    AIPAC ni nini ? A National Movement of Pro-Israel Americans WE ARE more than 5 million pro-Israel Americans from every congressional district who are working to strengthen bipartisan support for the U.S.-Israel relationship. Imeanzishwa lini ? AIPAC was founded in 1954 by Isaiah L. Kenen, a...
  17. JamiiForums Tanzania Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

    Niaje waungwana Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani. Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya kutibu majeruhi wa kivita, vyote vinatoka vinatoka Marekani. Inawezekana hata hao wanajeshi wanaopigana...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani na mwanae israel

    1. Marekani na Migogoro ya Mashariki ya Kati Iraq (2003): Marekani ilivamia Iraq kwa madai kuwa Saddam Hussein alikuwa na silaha za maangamizi (WMD), jambo ambalo baadaye halikuthibitishwa. Vita hiyo ilisababisha vifo vya maelfu ya raia na kusababisha hali ya machafuko. Libya (2011): Marekani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Fitch Rating, Tanzania yaizidi Marekani kwa kasi ya Ukuaji wa Uchumi

    KAMPUNI ya kimataifa ya Fitch Rating inayojihusisha kufanya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya mitaji ya kimataifa, imeithibitisha Tanzania kuwa na uchumi thabiti wenye uwezo wa kukopesheka katika masoko ya mitaji kimataifa. Kupitia taarifa ya kampuni hiyo iliyochapisha hivi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Rais Samia juu ya uchumi wa Marekani na Tanzania

    Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi. Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo. Inafaa ieleweke kuwa 📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸 Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…