marekani

  1. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaipa Ukraine silaha hatari na za kisasa huku akimkosoa Putin

    Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kauli "kuu" kuhusu Ukraine hii leo, huku kukiwa na kile kinachoonekana kuzidi kukasirishwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Siku ya Jumapili usiku, Trump alisema kuwa vifaa vya kijeshi "vya kisasa" vitaelekea Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya...
  4. ITR

    JamiiForums Tanzania Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

    Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania ITrust Finance yazindua mfuko wa iDollar kwa Uwekezaji kwa Dola ya Marekani,

    Kampuni ya ITrust Finance imezindua rasmi Mfuko wa IDollar, mfuko wa pamoja wa soko la fedha unaotumia sarafu ya Dola ya Marekani (USD) Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 10, 2025 ambapo kampuni hiyo imeeleza kiwa mfuko huo umezinduliwa kwa ajili ya kuwawezesha Watanzania...
  6. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kulingana na duru za Kijasusi za Israel, Iran Hawakuhamisha Uranium Iliyorutubishwa kwenye vinu vyake wakati wa mashambulizi ya Marekani

    Senior Israeli official: Intel shows Iran didn’t remove enriched uranium from sites hit by US, Israel https://www.timesofisrael.com/liveblog-july-10-2025/
  7. R

    JamiiForums Tanzania Marekani yamwekea vikwazo mpelelezi huru wa haki za binadamu wa Gaza, Francesca Albanese

    Utawala wa Trump umetangaza kwamba unamwekea vikwazo Francesca Albanese, mpelelezi huru aliyeteuliwa kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu katika maeneo ya Wapalestina, ikiwa ni juhudi ya hivi karibuni ya Marekani kuwaadhibu wakosoaji wa vita vya Israel ambavyo vimedumu vya miezi 21 sasa huko...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta

    Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini. Mazungumzo hayo, yaliyofanyika...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amelaani tishio la Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa leo Jumatatu amelaani tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS, akisema juhudi za Trump za "kuuadhibu" umoja huo zinawasikitisha. Trump amekuwa akilishutumu kundi hilo la mataifa 11 -- ambalo pia linajumuisha Brazil...
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Marekani yafikia 78

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa jimbo hilo.Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Musk aanzisha chama cha America Party 'kuwarudishia watu uhuru wao' baada ya kufufua uhasama mkali na Trump

    Musk, tajiri namba moja duniani na mfadhili mkubwa wa kisiasa wa Trump katika uchaguzi wa 2024, avunja uhusiano na Rais na kuanzisha chama cha kisiasa kipya Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniani na aliyekuwa mfadhili mkuu wa Donald Trump katika uchaguzi wa 2024, amevunja uhusiano na Rais huyo...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Operation Paperclip: Njama ya Kijasusi Ilivyoijenga Marekani Kisayansi na Kiteknolojia

    Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia ilibadilika kabisa. Mataifa yaligawanyika kati ya mabepari na wakomunisti, na vita vya silaha vikabadilika kuwa vita vya maarifa na teknolojia. Marekani, kwa utimamu ya hali ya juu, ilianzisha mpango wa siri kabisa ulioitwa Operation Paperclip. Huu...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali " Wachawi" Wa Tanzania waelimishwe kwamba Mtanzania kwenda Marekani sio achievement

    Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the USA. Watoto wa kike kama mnavyo wajua tena, alipo fika US akawa anapiga Sana picha yupo Marekani...
  14. Logikos

    JamiiForums Tanzania US debt is now $37trn – should we be worried? (Deni la Marekani sasa ni $37trn - Je tunapaswa kuwa na wasiwasi)?

    Hii ni extract kutoka Makala ya BBC, kuhusu Deni la Marekani; (Wengi wanaweza kusema kwamba hayatuhusu, ila ukweli ni kwamba Mchuma Janga hula na Wakwao; na Hapa Wakwao ni Dunia)... Simon Jack; BBC business editor As Donald Trump cheered the passage of his self-styled, and officially named, Big...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vijavyo kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran vitakuwa vikali zaidi.Sababu ni hizi

    Kuingia madarakani kwa mara ya pili kwa raisi Donald Trump kuna dalili zote za kuwepo kwa mkono wa Mungu ili kuliangamiza taifa la Marekani na Israel kwa namna za kimiujiza. Kwa raisi Trump na mwenzake Netanyahu wana sifa zote za watu waovu waliotangulia huko nyuma na Mwenyezi Mungu kuamua...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaungana na Marekani kusherehekea miaka 249 ya uhuru wa Marekani

    Tanzania imeungana na Marekani kuadhimisha miaka 249 ya Uhuru wa Marekani katika hafla iliyofanyika katika Makazi ya Balozi wa Marekani jijini Dar es Salaam, sambamba na kutimiza miaka 64 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya mataifa hayo. Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Waendesha Baiskeli wa Kimataifa EAC, SADC na Marekani washiriki Twende Butiama 2025

    Dar es Salaam, Julai 2, 2025: MSAFARA wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya kihistoria ya zaidi ya kilomita 1,500 kwa muda wa takribani siku 11 kutoka jijini Dar es Salaam...
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Kukatiza usafirishaji wa silaha za Marekani kutachochea Urusi kuendeleza vita – Ukraine

    Ukraine imeonya kuwa kukatizwa kwa shehena za silaha za Marekani huenda kukachochea Urusi kuendeleza vita nchini humo, ambayo sasa ni mwaka wake wa nne. Siku ya Jumanne Ikulu ya White House ilisema kuwa imekatiza baadhi ya silaha zinazopelekwa Ukraine. Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka maslahi...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha usafirishaji wa silaha kwenda Ukraine, Ikulu inasema

    Marekani imesitisha baadhi ya shehena za silaha kwenda Kyiv, Ikulu ya Marekani imesema, huku vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vikizidi kupamba moto. Uamuzi huo ulichukuliwa "kuweka masilahi ya Marekani mbele" kufuatia tathmini ya Idara ya Ulinzi kuhusu "msaada wa kijeshi na usaidizi wa Marekani...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Iwapo itatokea, pendekeza majina ya viongozi wa CCM na serikali unaodhani wanastahili kuwekewa vikwazo vya kusafiri nchi za Ulaya na Marekani

    Habari ndio hiyo. Tuwasaidie wazungu kwenye haya mapambano ya kudai haki za watanzania dhidi ya kikundi fulani cha watu hapa nchini.
Back
Top Bottom