marekani

  1. K

    Nitafutieni waziri yeyote kwenye serikali ya Marekani ambaye jina linaanza na Profesa

    Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata! Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa Professor tena! Professor kabudi na Tibaijuka wasingetakiwa...
  2. Somalia yaiwekea Marekani udhibiti wa kipekee wa Vituo vya Anga na Bandari

    My Take Ikumbukwe huyu Rais wa Somalia ni wale Vibaraka wamesoma USA kama ilivyo Kwa Felix Tchisekedi wa DRC. ============== Somalia iko tayari kutoa udhibiti wa kipekee wa Marekani kwenye vituo vya anga na bandari za kimkakati, rais wake alisema katika barua kwa Rais Donald Trump, iliyoonwa na...
  3. New World Order(NWO); Putin ashadadia Marekani chini ya utawala wa Trump kuitwaa Greenland!

    Haya mambo yaliyosahaulika kwa muda mrefu ya kutanua himaya za nchi kwa kuchukua maeneo ya nchi nyingine sasa yanashika kasi na yanazidi kuwa ya kawaida, inabidi na sisi tuangalie mmojawapo kati ya Rwanda, Malawi, Burundi tumchukue kabisa au mkoa au tuimege hata Congo kubwa jinga.
  4. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth Ajichora Tatoo ya Neno Kafir kwa Kiarab

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani mwenye utata Pete Hegseth amejichora tatoo ya neno Kafir kwa kiarab kwenye mkono wake wa kulia. Akimaanisha yeye hamuamini Allah Pete anajulikana kwa kupenda kwake tatoo ambazo amejichora kwenye mwili wake. Lakini tatoo aliyojichora karibuni ya neno Kafir kwa...
  5. Utawala wa Trump waanza ukamataji wa wageni waungaji mkono wa Wapalestina nchini Marekani

    Huko Marekani kama wewe ni mgeni ukiunga mkono Hamas au Wapalestina hadharani dola inakutia nyavuni na kukurudisha kwenu. Kuna video mojawapo ya ikimuoneysha mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Rumeysa Ozturk kutoka Uturuki anayesoma chuo kikuu cha Tufts ikionyesha maafisa uhamiaji(ICE)...
  6. Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  7. Utawala wa Trump Kusitisha msaada wa kifedha kwa Gavi, Shirika linalookoa maisha ya watoto nchini zinaoendelea

    Hati ya kurasa 281 iliyopatikana na gazeti la The Times inaonyesha mipango ya utawala wa Trump kuhusu maelfu ya miradi ya misaada ya kigeni. Utawala wa Trump unakusudia kusitisha msaada wa kifedha wa Marekani kwa Gavi, shirika ambalo limekuwa likinunua chanjo muhimu kwa watoto katika nchi...
  8. Uwanja wa ndege wa sanaa huko Yemen usiku huu unapata kipondo kutoka majeshi ya Marekani

  9. Waziri mlevi wa ulinzi wa Marekani ajisahau na kuvujisha kwa mwandishi habari mipango ya kivita kwa Yemen kupitia WhatsApp!

    Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen. Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
  10. Marekani: Mbunge Mwanamke Kutoka Republican Afariki

    Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake. Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa amani siku ya Jumapili, akiwa amezungukwa na familia nyumbani kwake huko Saratoga Springs. Love...
  11. I

    Karibu wazungu 70,000 wa Afrika Kusini wajiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani

    Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump. Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani...
  12. F

    Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  13. Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  14. L

    Ubabe wa Marekani wasababisha uhusiano kati yake na Afrika Kusini kuzorota

    Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota baada ya rais Donald Trump kusitisha msaada kwa nchi hiyo, akielezea kutoridhika na serikali ya Afrika Kusini kupitisha sheria mpya kuhusu ardhi, na hivi majuzi tu, Marekani ilimfukuza Balozi wa Afrika Kusini nchini...
  15. T

    Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  16. Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote. Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
  17. Kuchelewa kuendeleza mapigano kwa Marekani baada ya meli yake ya kivita ya USS Harry Truman kushambuliwa kuna mshindo mkuu

    Houth walikubali kupokea kipigo kutoka kwa ndege za Marekani na jumla ya watu 59 kufa. Asubuhi yake na wao wakatangaza kuzirushia makombora 18 na droni meli za kivita za Marekani zilizokuwa karibu yao. Si kawaida kwa nchi ya Marekani hasa chini ya Trump kukaa kimya muda mrefu baada adui zake...
  18. Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

    Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen. Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari...
  19. Waasi wa Houthi waandamana Yemen kupinga shambulizi la Marekani la hivi karibuni

    Maandamano makubwa yalizuka katika miji kadhaa ya Yemen, ikiwemo Sana’a, Saada, Dhamar, Hodeida na Amran, baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Houthi. Waandamanaji, wengi wakibeba bunduki, visu na Quran, walipaza sauti wakisema, “Kifo kwa Amerika, kifo kwa Israel!” Katika mji...
  20. OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kupiga marufuku Deepseek

    Kampuni ya akili mnemba ya Kimarekani OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kuipiga marufuku akili mnemba Deepseek kutoka China ikiita kampuni inayopata usaidizi wa serikali na kudhibitiwa na serikali. OpenAI calls on US government to ban DeepSeek, calling it ‘state-subsidized’ and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…