Israel na Marekani wametaka walichokuwa wakitaka

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,282
Reaction score
23,142
Walitaka tu kuharibu mifumo na vinu vya Nyuklia vya Iran. Ndiyo mambo ambayo kwao yalikuwa agenda kuu sana miaka yote. Wamefanikiwa kwa asilimia 90 plus.

Na pia walitaka kuitia Kilema Irani kivita au kisilaha. Na haya mambo hayakuanza leo au jana. Mipango yao ilikuwa okifanyika zaidi ya miaka kadhaa ago. Hawajakurupuka tu.

Sasa wanaona Iran siyo threat tena kwa Israel hasa suala la Nyuklia. Issue hapo ni Nyuklia tu.
 
Sema kweli!
 
TANZANIA TUTAANZA LINI KUTENGENEZA SILAHA ZA NYUKLIA? AU TUKOMAE NA MATUNDU YA VYOO KWANZA
 
Back
Top Bottom