marekani

  1. JamiiForums Tanzania Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  2. T

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yakataa msamaha wa Jenerali Muhoozi wa Uganda

    "Kwa mujibu wa Seneta Risch, mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni, Marekani itatathmini upya ushirikiano wake wa kiusalama, unaojumuisha vikwazo na ushirikiano wa kijeshi na Uganda" Seneta wa Marekani Jim Risch, ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbusho wakati wowote Iran anaweza shambuliwa na Marekani

    ⚠️ Ukumbusho Muhimu Kabla ya Kuongezeka kwa Uwezekano wa kipondo kwa Iran ⚠️ Makombora yanaporushwa kuelekea Israeli, kile tunachochapisha mtandaoni kinaweza kuokoa maisha, au kumsaidia adui. Hivi ndivyo kila mtu anapaswa kujua: 🔴 USICHAPISHE video za uzuiaji wa moja kwa moja au athari za moja...
  4. JamiiForums Tanzania MAREKANI YAALANI TAARIFA ZA RAIA WAKE ALIEKAMATWA NA MABOMU MPAKANI SIRARI KUWEKWA WAZI.

    Lengo la kuileta hii habari sio Ishu ya Marekani kulaani No! Ni jinsi Watanzania hususan wakosoaji wa serikali, wanaharakati na baadhi ya wafuasi wa vyama fulani vya siasa walivyopokea tukio hili kipindi kile. Wengi waliona ni maigizo ya Jeshi la Polisi leo watasema nini?? Ifike mahali baadhi ya...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani wanajenga Base ya kijeshi Kenya!

    Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu. https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
  6. JamiiForums Tanzania Hapa nimeshindwa kumwelewa Putin. Inawezekana kuna Uhuni anatufanyia yeye na Marekani

    Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yaonya yaweza kupeleka ndege za kivita angani mwa Canada ikiwa Ottawa itapunguza ununuzi wa F-35

    Marekani imetoa onyo adimu na la moja kwa moja kwa Canada, ikisema kuwa ndege zake za kivita zinaweza kupelekwa katika anga ya Canada iwapo Ottawa itapunguza au kufuta mpango wake wa kununua ndege 88 za kivita aina ya F-35 (stealth fighter jets). Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani, uamuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani anaficha lengo lake kuu ,lengo la Marekani ni dolla vs yuan ya China

    Dunia inayumbishwa na Marekani ,yaani Marekani akicheka au akikohoa dunia inaitika namuu,kwa hiyo anachofanya Marekani ni kudhoofisha Yuan ya china isipate nguvu na mvuto ,yaani Dolla ndio iwe na mvuto duniani. Leo Nawapa siri za ndani ni hivi katika dunia hii Noti ya kimataifa ni DOLLA...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  10. JamiiForums Tanzania Nimekaa na Popcorn hapa mpaka zimeisha nimeagiza korosho , Marekani na Israel wanavizia mtu asinzie kama Maduro

    Kila wakipiga jicho wanaona Muiran amekodoa macho akisubiri apate sababu ya kuingamiza Israel ukweli ni kwamba hata wao Marekani wanafikiria je ikitokea moja ya meli zao kuzamishwa je aibu hii wataificha wapi Kila Nchi imekataa kutumika anga lake kuwa kama kificho ,wamezoea mtindo wao wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Uganda waandamana Marekani kumtaka Trump amwekee Museveni vikwazo.

    📌 Happening Today California, United States Calling on the @realDonaldTrump 's Administration to hold the corrupt and brutal Ugandan dictatorship of @KagutaMuseveni to account through: 1). Targeted sanctions 2). Suspension of funding 3). Suspension of security assistance, defense...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatengwa kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayetembelea Afrika Mashariki.

    Mwigulu endelea kulumbana na akina Mange huku nchi jirani zikijenga mahusiano na mataifa makubwa duniani na kuimarisha uchumi wa nchi zao. ========== U.S Deputy Secretary of State, AFRICOM Commander Travel to East Africa U.S. Deputy Secretary of State Christopher Landau, accompanied by...
  14. JamiiForums Tanzania Trumpa na Greenland yake ,viongozi wa Ulaya kususia mashindano ya World cup yatakayofanyika Marekani.

    Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho basi na wao ,watasusia mashindano hayo ambayo yatafanyika nchini Marekani hapo july mwaka huu Hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Wafahamu watanzania wawili waliohusika na shambulio la kigaidi katika Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania 1994

    Moderator Active heading iwe 1998 tafadhari Khalfan Khamis Mohamed Alijiunga na al-Qaeda na alipata mafunzo ya wanamgambo nchini Afghanistan kabla ya mashambulizi. Alihusika moja kwa moja katika operesheni ya Dar es Salaam. Mohamed inaripotiwa alikusanya bomu (akisaga vilipuzi vya TNT na...
  16. JamiiForums Tanzania Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

    Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania? Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kimya katika Sera ya Marekani kwa Afrika: misaada kama chombo cha kuhudumia mkakati wa taifa

    Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mexico yakabidhi Marekani wafungwa 37 wa uhalifu wa dawa za kulevya kufuatia vitisho vya Trump

    Mexico imemkabidhi Marekani washukiwa wengine 37 wanaodaiwa kuwa wanachama wa makundi ya uhalifu wa madawa y, waziri wa usalama wa nchi hiyo amesema, hatua inayokuja wakati Rais wa Marekani Donald Trump akitoa vitisho vya kufanya mashambulizi ya ardhini dhidi ya magenge ya dawa za kulevya katika...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Mali Kimesera afariki dunia Marekani

    TANZIA- Kwa masikitiko makubwa LINDA WA ATLANTA USA 🇺🇸 anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa MUME wake MALI KIMESERA kilichotokea leo alfajiri NYUMBANI KWAO— inshalah MAZISHI yatafanyika siku ya IJUMAA- ratiba na adress itakuja
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Maafisa wa Federal Agents Wavunja Gari na Kumvuta Mwanamke Mlemavu kwa Nguvu na Kumtia Mbaroni

    Video hii inaonesha maafisa wa shirikisho wa Marekani (federal agents) wakimvuta mwanamke kutoka kwenye gari lake kwa nguvu huko Minneapolis, huku mwanamke huyo akipaza sauti akisema kuwa ni mwenye ulemavu, wakati wakimtia mbaroni. Tukio hilo limetokea umbali wa mabawa machache tu kutoka pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…