marekani

  1. H

    Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  2. PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

    Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump. Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri. Kwa mujibu wa...
  3. Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani ni kutokana na mauaji, rushwa na udhaifu wa mifumo ya utambuzi

    Tanzania kuzuiwa kuingia marekani ni kutokana na mauwaji, rushwa, udhaifu wa mifumo ya utambuzi, utekaji hii inahatirisha usalama wa marekani. Tanzania sio nchi salama kwa sasa inawapumbavu wengi sana ndio wanaharibu nchi yetu.
  4. Moja ya sababu ya Tanzania kuzuiwa kuingia Marekani ni hii japo imefichwa

    Sababu ni nyingi lakin mojawapo ni matukio ya kigaid, rushwa na utawala mbaya.
  5. Q

    Wajue Maafisa wa Serikali na watu binafsi waliowekewa vikwazo na Marekani

    Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika. Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla. Vikwazo...
  6. M23 Yakubali kujiondoa Uvira baada ya shinikizo la Marekani

    Kundi la waasi la M23 limetangaza kujiondoa katika Mji wa Uvira, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa masharti maalumu, likidai hatua hiyo inalenga kupunguza mvutano wa kijeshi na kuonyesha utayari wake wa kushiriki katika juhudi za amani. Taarifa ya uamuzi huo imetolewa...
  7. Marekani yaahirisha ufadhili wa Afya Zambia Mpaka kieleweke Makubaliano ya Madini

    Marekani imekaa kando na kuahirisha mkataba mkubwa wa ufadhili wa afya uliokusudiwa kwa Zambia, wenye thamani ya dola bilioni 1.5 karibia Trilioni 3.7 za Kitanzania. Marekani imeahirisha kutoa ufadhili huo kwa kile inachodai uwepo wa ufadhili huo utatokana na uelekeo wa mazungumzo...
  8. Marekani: Wanachofanya Rwanda Mashariki mwa DRC ni kinyume na makubaliano yaliyosainiwa na Rais Trump. Tutachukua hatua!

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa vitendo wanavyofanya Rwanda katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni ukiukwaji wa wazi wa Makubaliano ya Washington yaliyosainiwa na Rais wa Marekani Donald Trump. Kupitia ujumbe wake, Rubio alisisitiza kuwa...
  9. W

    Wanaotaka kwenda kutalii Marekani watalazimika kutoa Historia ya Mitandao yao ya kijamii ya miaka 5

    Watalii kutoka nchi kadhaa huenda wakalazimika kutoa historia ya matumizi ya mitandao ya kijamii ya miaka mitano ili kuingia Marekani, kulingana na pendekezo jipya. Sheria hiyo ingewahusu wasafiri kutoka mataifa yanayoruhusiwa kuingia kwa siku 90 bila visa, mradi wanatumia mfumo wa ESTA...
  10. Tunawashukuru Marekani kwa kusimama na Watanganyika. Iwapendeze tu mfanye Military Intervention kuwakomboa Watanganyika

    Appreciation Post kwa Marekani. Kusema ukweli Watanganyika tunatawaliwa kwa nguvu na CCM. Imefika wakati sasa maisha yetu yako mikononi mwa CCM na sio Mungu tena. Wanatuteka, Wanatuua, Wanatufungulia kesi za Uongo, Wanatushikiria kwenye Magereza na vituo vya polisi bila kuwepo na kesi dhidi...
  11. Marekani waionya ICC juu ya Rais wao Trump

    Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, kuachana na mipango yoyote ya kumchunguza na hata kumshtaki Rais Trump na maafisa wa utawala wake pale watakapomaliza muda wao mwaka 2029. Utawala wa Trump umeitaka mahakama ya ICC kufanya...
  12. Breaknews: China imekataa kupokea chips za NVidia toka Marekani

    China imekataa kupokea chips za Nvidia, kampuni maarufu ya Marekani inayotengeneza vifaa vya kompyuta na graphics. Sababu kuu ya hatua hii ni hofu ya usalama inayoletwa na Marekani, ambayo inatuhumu China kwa matumizi ya teknolojia ya kisasa kwa madhumuni ya ujasusi na matumizi ya kijeshi...
  13. Naomba kuuliza: Ina maana Ubalozi wa Marekani nao unatudanganya ?

    Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais. Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8. Nani anaficha ukweli. Hii picha waliotoa angalia
  14. Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  15. Pamoja na kujaribu kuwahonga Madini na Maliasili. Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la Senate Marekani yazidi kumkalia kooni Samia

    Juzi bibi wa Kizanzibari baada ya kuonana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini alitoa press ya Ikulu kujaribu kuwatongoza Marekani kuwa atawapa madini ili wamkalie kimya kuhusu mauaji aliyofanya kwa Watanganyika. Leo Kamati ya Bunge la Senate la Marekani wamezidi kupiga kichwani. Wamezidi...
  16. PostGE2025 Marekani: Watanzania waandamana kwenye ubalozi wa Tanzania

    Watanzania na wanajumuiya wa Afrika Mashariki wamekuwa na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Tanzania na wameweza kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa SAMIA ni rais haramu na tunahitaji ndugu zetu waliotekwa warudishwe na waliouwawa miili yao irudishwe. DUNIA imeona na watanzania tumeona jinsi...
  17. PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

    Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini...
  18. Unaweza usiamini ila hawa ni viongozi wakubwa Afrika katika benchi wakiwa Marekani

  19. PostGE2025 ICC wakitoa Arrest Warrant ya Samia na wenzake tutawaomba Marekani na EU waombe Baraza la Usalama UN likubali kuundwa Taskforce kufanya ukamataji

    Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi...
  20. O

    Marekani yasaini mkataba wa msaada wa afya na Kenya

    Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani - USAID. Chini ya makubaliano hayo, Marekani itaipa Kenya dola bilioni 1.6 katika kipindi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…