marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani kuiwekea Vikwazo mirambo Kampuni ya Rostam Aziz?

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran. Inadaiwa Kampuni ya Mirambo imeingiza gesi hiyo kutoka Iran na kuingiza Zanzibar. Hivyo Benki za Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

    Marekani kashikwa pabaya. Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea Getty ImagesCopyright: Getty Images Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Museveni aiomba Marekani itafute namna ya kuisaidia Afrika kutokana na vikwazo vyake dhidi ya Urusi

    Aomba Marekani itafute namna ya kuitenganisha Afrika na vikwazo vyake kwenye ugomvi ambao hauhusu Afrika..... Shukrani Museveni kwa kutusemea, jameni mafuta yamepanda bei Afrika kisa ubabe wa Mrusi kutaka kuonea kainchi kadogo jirani yake japo kamempa shida sana.............. “The problem here...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi

    Marufuku Afrika kununua Mafuta Urusi Kupitia ziara ya Balozi wa Marekani Linda Thomas katika mahojiano kuhusu nchi za Afrika alitaka kutafuta masuluisho ya migogoro bila kutoa lawama kwa nchi za Afrika ambapo zimeathirika na vita ya Urusi zidi ya Ukraine. Baada ya kufika Uganda aliziionya nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi ipo tayari kubadilishana wafungwa na Marekani

    Urusi imeonesha dalili za kuwa tayari kwa mazungumzo ya kubadilishana wafungwa siku moja baada ya Mahakama ya Urusi kumuhukumu mchezaji wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner kifungo cha miaka tisa jela. Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema wapo tayari kwa mazungumzo hayo kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi, nchi inayokaidi itashughulikiwa

    Marekani imezitisha nchi za afrika zisinunue kabisa mafuta ya urusi!. Zinaruhusiwa kununua ngano na mbolea lakini ziachane na mafuta maana marekani imeyawekea vikwazo. Swali: Je kuna nchi ya afrika itakayoweza kushupaza shingo na kununua mafuta ya Urusi? Labda Afrika ya kusini inaweza...
  7. JamiiForums Tanzania Ayman al-Zawahiri: Jinsi shambulizi la Marekani lilivyomuua kiongozi wa al-Qaeda - bila kugusa familia yake

    Zaidi ya saa moja baada ya jua kuchomoza tarehe 31 Julai, mkuu wa muda mrefu wa kundi la al-Qaeda Ayman al-Zawahiri alitoka kwenye balkoni ya eneo la katikati mwa jiji la Kabul - inaripotiwa kuwa amekuwa akifanya hivyo kila baada ya maombi .Lingekuwa jambo la mwisho angefanya. Saa 06:18 saa za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taiwan iko kwenye hatari ya kuingizwa mkenge ikawa kama mikono na damu itakayotumiwa na Marekani kujaribu kuidhoofisha China Kijeshi na kiuchumi!!

    Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani. Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

    Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan Al Zawahiri alichaguliwa kuwa kiongozi wa Al Qaeda baada aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda, Osama Bin Laden kuuwawa na majeshi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya...
  11. JamiiForums Tanzania Wote mnaonyanyaswa na Marekani huu ni wakati wenu

    Ziko nchi ambazo haziridhishwi na sera za Marekani na Magharibi kuhusu mataifa Yao. Tanzania inasema ni nchi ya kijamaa huu ndio wakati wake wa kuonyesha kuunga mkono wajamaa wenzake kokote waliko kwa vitendo. Mataifa kama China, Korea, Iran, Syria, Zimbabwe, Venezuela, Argentina, South Africa...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

    Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo. Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka...
  14. JamiiForums Tanzania Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais Biden

    Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024. Kura imefanyika wakati ambao kukubalika kwa Biden kumezidi kushuka na watu wengi kutoridhishwa na hali ya nchi na uchumi
  15. L

    JamiiForums Tanzania Je, Biden anasuka mpango gani anapofanya mkutano mwingine wa viongozi kati ya Marekani na Afrika baada ya miaka minane?

    Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa mkutano wa pili wa viongozi kati ya nchi yake na Afrika utakafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Disemba mwaka huu. Alisema mkutano huo utaonyesha “ahadi ya kudumu” ya Marekani kwa Afrika, kusisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya pande hizo mbili na...
  16. JamiiForums Tanzania Seneta Marekani anahoji msaada kwa Rwanda

    Seneta Robert Menendez amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda katika Bunge kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya Serikali ya Rwanda na taarifa za taifa hilo kuhusika katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ameandika barua...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtu Anayeweza Kuiangusha Marekani Kwenye Medani ya Kivita na Kiutawala katika hii Dunia ya sasa

    Marekani ndiye Super Power halisi katika dunia hii, Marekani amekomesha Utumwa, Marekani anapambana na Ugaidi duniani, Marekani anatetea Demokrasia na Uhuru wa maoni kwa kila mtu, Marekani anapinga vikali sera za utawala wa kimabavu na udikteita duniani ambazo zinafuata sera za kijamaa, Marekani...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani

    Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani umechoma karibu kilomita za mraba 57 ndani ya siku tatu, hadi kufikia tarehe 24 asubuhi, moto huo bado haujaweza kudhibitiwa.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Mwanamke? Marekani sio wajinga

    Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke. Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke). Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu. Vitabu vya torati navyo haviko kimya...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani yatoa msaada wa Kijeshi wa Bilioni 627 kwa Ukraine

    Marekani imetangaza kutoa msaada wenye thamani ya Dola Milioni 270 (Tsh. Bilioni 627.4) wa ulinzi kwa Ukraine ukihusisha roketi nne za kivita aina za HIMARS, ndege 580 ndogo zisizo na rubani na risasi 36,000 za bunduki za M777. Rais wa Marekani, Joe Biden ameweka wazi kuwa wataendelea kuisapoti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…