marekani

  1. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu kumwakilisha Rais Samia katika mkutano wa kimataifa wa Norman E. Borlaug Marekani

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameondoka nchini leo, Jumamosi, Oktoba 17, 2026, kuelekea jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Misimamo Ya Rais Samia Ni Zaidi ya Mwalimu Nyerere. Hakuna cha ICC wala Marekani wala Umoja wa Ulaya . Wote Wametimua Mbio na Kuanza Kuinua Mikono Juu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Akinukuu Maneno ya Hayati Benjamini Mkapa Alishasema hadharani kwa kujiamini na kusema kuwa kama Taifa tupo tayari kupokea ushauri wa Yeyote yule lakini siyo kupewa...
  3. JamiiForums Tanzania Historia ya Mabalozi wa Marekani Tanzania

    Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania. Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
  4. JamiiForums Tanzania TANZANIA YATANGAZA UTALII NCHINI MAREKANI

    http://www.instagram.com/reels/DehDjiHCUFW/?hl=en
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Trump wa Marekani amesema kwa maafisa wa Serikali wanao vujisha siri/taarifa za serikali wanapaswa kuuwawa/kunyongwa.

    Rais wa Taifa kubwa la Marekani ameyatamka hayo jana tarehe 14/10/2026 kuwa maafisa wote wa Serikali wanao vujisha siri za Serikali wanapaswa kuuwawa. Mnaonaje hata hapa kwetu utaratibu huu ukatumika?
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Marekani Aomba Radhi Baada ya Kulinganisha Nairobi na Jiji Lililodorora

    Mwandishi wa habari wa Marekani, Rob Finnerty wa kituo cha Newsmax, amelazimika kuwaomba radhi Wakenya baada ya matamshi yake kuhusu Nairobi kuzua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Katika kipindi chake cha Oktoba 9, 2026, Finnerty alidai kuwa ongezeko la wahamiaji kutoka Afrika...
  7. JamiiForums Tanzania Shambulio jipya la kigaidi laikumba uwanja wa ndege Saudi Arabia, mtu mmoja amefariki dunia

    Shambulio jingine baya limeikumba Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid, uliopo Riyadh, Saudi Arabia, huku kukiwa na uwezekano wa Marekani kuingia zaidi katika mgogoro huo. Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia shambulio jipya lililolenga uwanja huo wa ndege...
  8. JamiiForums Tanzania Muonekano wa sura ya mke wa CEO wa kampuni ya Dell yazua gumzo Marekani

    CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Thucydides: Jinsi Tanzania na Majirani Zetu Tunavyonaswa Kwenye Vita ya Marekani na Uchina

    Picha ya pambano la kijiografia kati ya Marekani na Uchina Wakuu, salamu! Leo nimeamua kuhama kidogo kwenye yale mazoea yetu ya kila siku ya kufanya tathmini za siasa za ndani za vyama na majina ya wanasiasa hapa Tanzania. Badala destiny yetu tusogeze darubini mbele zaidi na tuangalie siasa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  11. JamiiForums Tanzania Nyani katema bungo ; Trump akubaliana na Putin Urusi kuingiza tani zake za Diesel Marekani na kwenye soko la Dunia

    Moja kwa moja... Kutokana na Vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine Marekani na mataifa ya Ulaya wakaiwekea vikwavyo vingi Russia mpaka kwenye Gas na mafuta yao . Marekani na Trump wakawa wakali kwa mataifa ambayo yalikuwa yanaendekea kununua mafuta ya Russia mfano mzuri ni India ...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani wanapinga nchi zinazotoa hukumu ya kifo huku na wao wanatekeleza kunyonga watuhumiwa wao.

    Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth. Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Pentagon imeiagiza Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kukamilisha maandalizi ya kuishambulia Iran tena!!

    Pentagon imeiagiza Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kukamilisha maandalizi ya uwezekano wa kuanza tena kwa operesheni kubwa za kijeshi dhidi ya Iran. Rais Donald Trump hajafanya uamuzi wa mwisho au kuweka tarehe, lakini mashambulizi yanaweza kutokea kabla ya uchaguzi wa Israeli mwezi Oktoba na...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoua wake zao kwa risasi Marekani ni tofauti na wa Tanzania. Wanaua kwanza mke, watoto na baadaye kujiua

    Kesi za wanaume kuua wake zao kwa kuwapiga risasi Marekani zimekuwa nyingi sana. "Kweka" hao kwa Trump wakishaua wake zao wanageukia watoto kuwaua halafu baadaye nao wanaelekeza mtutu nakujiua. Ni jana tu huko New Jersey Marekan Insurance executive David Gronnick, 61, kamuua mke wake Lora...
  15. JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja: Mosi, Israeli na...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani Yatoa Zawadi ya Hadi Dola Milioni 10 kwa Taarifa za Mshukiwa wa Ujasusi wa Mtandaoni.

    Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kumpata Zhang Yu. Zhang Yu anatuhumiwa kufanya kazi kwa niaba ya Wizara ya Usalama wa Taifa ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: CCM makapuku hamna tofauti na House Negro as opposed to Field Negro enzi za utumwa huko Marekani

    Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa makombo wakati wao wanajenga Dubai. Msikilize Heche
  18. M

    JamiiForums Tanzania Iran wanatuangusha, wanashindwaje kuwajibu Marekani kwa kuishambulia nchi ndogo Israel kama wanavyofanya kwa Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain, n.k.

    Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko. Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Huawei ni lidude: Vikwazo vimeshindwa, sasa Qualcomm ya Marekani ni mteja wake

    Mwaka 2018 serikali ya Marekani si walijifanya kuipiga ban kampuni ya China, Huawei. Now the tables have turned! Leo Oktoba 5, Huawei na Qualcomm wameingia multi-year broad patent license agreement. Yaani Qualcomm kampuni kubwa ya Marekani kwenye telecommunication, itakuwa inanunua baadhi ya...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Wairan wanavyosota na maisha kufuatia kizuizi cha majini na kikwazo vikali walivyowekewa na Marekani

    Ingawa viongozi wa Iran wanaweza kuonyesha msimamo mkali na wa kujiamini katika mzozo wao na Marekani, maisha yanazidi kuwa magumu kwa raia wao wa kawaida ambao hawawezi kumudu mahitaji ya msingi au kodi ya nyumba, huku vikwazo vya Marekani vikikata njia kuu ya mapato ya taifa hilo—mauzo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…