Jackline Sakilu Ashinda Mbio za Chongqing International Marathon, huko China

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
310
288
IMG_8699.jpeg

Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, ameshinda leo mbio za kilomita 42 za Chongqing International Marathon, kwa muda wa saa mbili na dakika ishirini na moja na sekunde ishirini na sita (2:21:26) tarehe 24/03/2024 huko nchini China.

Tukumbuke; Jackline Sakilu, ni mmoja wa wanariadha waliofuzu kushiriki mashindano makubwa ya Olimpiki yatakayofanyika Paris, Ufaransa mwezi Julai ; Wengine ni Alphonce Simbu , Magdalena Shauri na Gabriel Gerald Geay.
 
View attachment 2943440

Hongera kwa shemela kaupiga mwingi
 
Mashindano yanayoeleweka siwaoni, juzi Azam walikuwa wanaonyesha live Barcelona marathon, Kila nikiangalia sioni mbongo hata mmoja ,Sasa hii ya uchuchoroni wanapenda lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom