mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuajiriwa 1991 kupandishwa cheo mara moja tu. Anastaafu kwa uchungu

    Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale. Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa...
  2. Rwanda gives nod to KCB to buy bank from Atlas Mara

    Rwandese authorities have approved the KCB Group deal to buy Banque Populaire du Rwanda (BPR) from London-listed financial services firm Atlas Mara Limited. Atlas Mara made regulatory disclosures that it had obtained approvals to sell its banks in Rwanda and Botswana. The firm said it was...
  3. Mara: Jafo asimamisha shughuli za uchenjuaji mtambo wa Double F

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji dhahabu katika mtambo wa Double F katika kijiji cha Nyakisya, wilayani Tarime kutokana na uchafuzi wa mazingira. Alitoa agizo hilo jana mkoani Mara baada ya kupokea malalamiko ya...
  4. Tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara

    Rejea kichwa cha habari hapo juu,hili tatizo la kuishiwa damu lilinianza 2017 mwanzon kabisa hilivofika mwez wa sita hali ikawa mbaya sana nikaenda hospital nikapimwa wingi wa damu na vipimo vilionesha damu ipo g/dl 2.1 nikapew kitanda nikaongezewa damu nyingine nilikaa kam siku tatu...
  5. P

    SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

    Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu. Mwananchi analalamika. Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%. Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi? Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika? Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo...
  6. Kha! Mara Kuna Wanyonge?

    Duh sijui ni ugeugeu au ni ufyatu... hazikupita siku nyingi watu walisema lugha ya "wanyonge" haipo. Na kuwa ni lugha mbaya... mara hii watu wameanza kusema kuna wanyonge? kha!! Watu walikuwa wanatakiwa kuwa wazalendo na waoneshe uzalendo; sasa wanalipishwa kodi ya "uzalendo" wanang'aka...
  7. Technical and Capital Officer at North Mara Gold Mine Limited

    POSITION DESCRIPTION: North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit one Technical and Capital Officer to join Supply Chain team. The Successful candidate for this position will ensure that all mine purchases meet the necessary technical specifications and quality, identify, recommend source...
  8. S

    Mmiliki wa jogoo aliyewika mara 3 wakati Petro anamkana Yesu ni nani?

    Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
  9. Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  10. Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini. Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti...
  11. MALALAMIKO: TTCL huu ujumbe wenu mmenitumia mara 527 ndani ya masaa 24

    Dear customer, your balance has been used up, please recharge or order package, Dial *148*30# for more services. Sms hii mmenitumia mara 527 kwaajili ya nini?
  12. Ngumi hupiganwa mara 5 kwa siku Kariakoo

  13. Hili la bei ya mafuta kupanda lina ukakasi

    Salaam, Inashangaza bei ya mafuta ya petroli nchini Zambia kuwa nafuu kuliko hapa Tanzania. Inaeleweka Zambia hawana bandari hivyo wanapokea shehena ya mafuta kutoka Bongo, ifike wakati serikali ya CCM iwe na huruma itende haki. Hapa anaeumia sio mwenye pesa, ni mnyonge masikini wa hali ya chini.
  14. Simba imekua mara 3 ya pale dau lilipokua (bilioni 20), hivyo thamani ya club iwe mara 3 zaidi, sio bilioni 20

    Dau liongezeke basi maana Club imekua mara 3 ya pale ilipokua, na pia hio bilioni 20 kwa sasa si kitu, soka la Tz limekua saizi, si mnaona hata azam tu saizi wanatoa pesa kubwa mno kwajili ya haki ya matangazo tu kwa miaka kumi. Haiwekani Mo achukue kirahisi rahisi klab yetu yeye na familia...
  15. Poleni wana Simba SC Wenzangu kwa Goli lile la 'Kubabatiza' na Kupaki Kwao 'Kontena', ila Mwanaume 'Hatairiwi' mara mbili

    Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea Kazini na leo GENTAMYCINE nasema Kitakachowapata Yanga SC huko Kigoma tarehe 25 July, 2021 kitakuwa ni...
  16. Ndoto hii mara kwa mara

    Habari za humu, it has been a while since my last thread here. Majukumu ya hapa na pale nayo yamenishika, nashindwa kushiriki mara kwa mara humu. Anyways iko hivi mie nimehitimu shule ya msingi zaidi ya miaka 15 ilopita na Olevel zaidi ya miaka 12 ilopita. After then nimekwenda advance na...
  17. H

    Huko Afghanistan Taliban siku si nyingi watatawala Afghan yote, na kwa mara nyingine Marekani imefeli tena

    ilifeli Vietnam, Iraq, na sasa Afghanistan Over 1,000 Afghan troops flee Taliban into Tajikistan More than 1,000 Afghan troops fled into neighbouring Tajikistan on Monday following clashes with the Taliban, as the insurgents amassed momentum on the battlefield. © ASSOCIATED PRESS Afghan...
  18. Mwanamke unapopewa ahadi ya kuolewa kuwa na subira sio kukumbusha kila mara

    Habari waungwana, Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE. Leo na mimi nimeamua nije nitoe neno kuhusu mapenzi. Watu wengi mmekuwa mkitamani mjue msimamo wangu kuhusu haya mambo. Leo nitaongea jambo moja tu kwasababu mapenzi ni mrundikano wa upuuzi mwingi...
  19. Tetesi: Chanjo za Corona unatikiwa uchanjwe ‘Booster’ mara 3 ndio uwe na kinga, na si mara 2 kama tulivyoambiwa awali?

    Je, ni kweli kwamba baada ya kufanya majaribio kwa watu waligundua kwamba mtu anatakiwa achanjwe mara 2 ndio awe na kinga tosha, ila baada ya utafiti sasa wamebadilika tena, wanasema unatakiwa uchanjwe mara 3 ndio uwe na kinga? Kwahiyo ile kauli ya hayati kwamba tusubiri kwanza ilikuwa na mashiko?
  20. Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

    Inasikitisha sana wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…