mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  2. JamiiForums Tanzania Nani muasisi wa kula mara tatu kwa siku?

    Hii ya kula mara tatu kwa siku naona kama imetapakaa dunia nzima. Nini chanzo au kunasupportive doc yoyote ya kitaalam. Watu walitakiwa kula wanapohisi njaa na hisia hizo zitakapofikia hatua ya kuona kama nguvu zinawapungua. Kwenye vitabu vya dini hatuoni mungozo wa mtu ale mara ngapi...
  3. JamiiForums Tanzania Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  4. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Haki: Manyerere Aachiwe Mara Moja - Katiba na Sheria Zinaunga Mkono Wito Huu

    Kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same, Kumradhi, Ninaandika andiko hili kwa lengo la kumtetea Naibu Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere, ambaye anashikiliwa kwa tuhuma za kupiga picha lori la mafuta lililoanguka. Kwa kutumia hoja zifuatazo za kisheria na kikatiba, ninaomba Manyerere aachiliwe...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

    Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi. Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Baa za kishamba sana wanagawa tishu Moja mara mbili sijui wachawi

    Shalom, Kuna Baa zinaendeahwa kishamba sana sijui wachawi, wanazikata tishu Moja vipande viwili sijui wanatumwa na mapepo ya kichawi. Zinakera hizo Baa natamani kuwatukana naishia kuzikataa hizo tishu za kichawi. Ukinawa baada ya kula msosi ukipewa hako katishu daah aibu kama unanawa uchafu
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume "kwa mara ya kwanza kubebesha msichana mimba" nulikuwa na umri gani, ulijisikiaje alipokwambia ana mimba yako?

    Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa. Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
  8. JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kukuza Mauzo Yako Zaidi Ya Mara Mbili Kwa Uhakika

    MAUZO NDIO MOYO WA BIASHARA Huwa napenda kufananisha biashara na mwili wa binadamu. Ambapo mzunguko wa fedha kwenye biashara huwa naufananisha na mzunguko wa damu kwenye mwili wa binadamu. Mfumo wa upumuaji huwa naufananisha na masoko. Pumzi ni muhimu, bila hiyo mtu anakufa. Lakini damu pia ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Urusi wapoteza ndege ya kisasa Su-57

    Ukraine bado wanaendelea kumtia aibu supapawa wenu, sasa sijui nani atawaokoa maana juzi hapa tuliona hata Iran kubwa lenu alishindwa kufanya chochote kwa Israel hata baada ya kutuma makombora 300, yeye alipigwa moja tu ndani kwa ndani. Urusi ambayo huwa mnaitegemea iwalinde imeshindwa kufumua...
  10. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa kuwe na utaratibu wa kusikilliza Wananchi kila mwezi mara 2 Mpaka 3 kuna mikasa ya aibu ya dhuluma za ardhi wanakimbilia mahakamani

    Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara...
  11. JamiiForums Tanzania RPC Mara: Kama kuna Mgambo wanaodai wanafanya kazi ya Polisi hao ni Wahalifu tu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia shughuli za Kipolisi wamekuwa hawatendi haki kwa baadhi ya Wananchi pia akadai wanashirikiana na Whalifu...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Fainali 6 ubingwa mara 5 uefa, Carlo Ancelloti anachukuliwa poa sana + underrated, hapati heshima anayostahili

    DON CARLO ANCELOTTI
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wazee na wakina mama wanaoshiriki mikutano ya ndani ya Dr. Nchimbi wamevaa nguo zao chama mpya kwa mara ya kwanza

    Nimefurahia kuona kila mkutano wa Mhe. Nchimbi wananchi wamevaa nguo mpya za chama ila wale walio vaa nguo nyingine wamevaa zilizochakaa. Hii inaonyesha wazi kwamba wananchi wanapenda mavazi ya chama kuliko mavazi yao binafsi ya kila siku. Hali hii pia inaonyesha namna ambavyo uchumi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ameona ni mara mia binti yake ateseke kuliko kuolewa bila laki saba

    Alimtafutia kazi huyu binti wa dada yake. Baada ya miezi mitano tokea kuanza kazi, binti akapata mwamba, akaanza tabia ya kutoroka saa 10 jioni kumpelekea Mwamba Utelezi. Boss ndipo kushtuka, akaamua kumfukuza kazi. Binti ndipo kukimbilia kwa mshkaji ili waishi kama Baba na Mama Taarifa ndipo...
  15. JamiiForums Tanzania Duh instagram imejaa matangazo ya waganga mara kuiba mume wa mtu, libwata na kurudisha nyota.

    Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi. Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti. Alafu chini ya posts zao...
  16. JamiiForums Tanzania Mara moja moja tembelea CTC, utanishukuru

    Ndiye siye, siye ndiye! Ukiwa na ratiba ya kutembelea maeneo haya kuna namna itakukumbusha jinsi ya kuishi, sio kwa maana ya unyanyapaa bali kujilinda na kuwalinda wengine. Pamoja na elimu utakayoweza kuipata ukiamua kuuliza wahusika, pia itakusaidia kurejea kazi ya macho yako. Huku utaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Ilikuaje ukapata Gono mara ya kwanza? Je, aliekuambukiza ulimdhania anaweza kuumwa ugonjwa huo?

    Hebu tupeane experience. Mie gono ya kwanza kabisa nilipata mwaka 2012, na dem alonipa ni alikua kisu balaa tena chuoni na nilihangaika kinoma kumpata, sikutegemea kama angekua anaumwa ugonjwa aina hiyo kwa classy alokua anajiweka.
  18. JamiiForums Tanzania aliyekuwa mwanamuziki nguli hayati Franco Luambo Luanzo Makiadi, mwili wake ulizikwa mara mbili katika makaburi tofauti

    Uzi tayari
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yaagiza Israel kukomesha mara moja ushambuliaji wa kijeshi huko Rafah

    Wanaukumbi. Kwa Upendeleo: 13 Dhidi ya: 2 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo: ✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za mashambulizi ya mabomu. ✅ Mahakama inakumbuka kwamba hali ya maisha ya wakazi wa Ukanda wa Gaza imezorota...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…