mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Historia ya kustaajabisha: Mwanaume aliyeoa mara 130 na kutoa talaka zaidi ya 80

    ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE. Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi ya 200. Akuku "Danger" alioa mke wake wa kwanza mnamo 1939 na wa mwisho mnamo 1997 akiwa na miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Haya hapa Maamdalizi ya Mkutano wa CHAUMMA Mkoani Mara

    GT Watu wa Mkoa wa Mara na viunga vyake Mjiandae kwa ubwabwa, sato na sangara.
  3. JamiiForums Tanzania Vitus Nkuna aikimbia CHAUMMA. Mkutano wao uliokuwa uanze saa saba kamili Mugumu Mara washindwa baada ya kukosa mahudhurio

    Kada mpya wa CHAUMMA ndugu Vitus Nkuna ameamua kutelekeza chama chake huko Mara leo baada ya kuona hali halisi. Hali kadhalika huko Mugumu Mara mkutano umeshindwa kuanza saa saba mchana baada ya kuwa hapakuwa na watu kwenye uwanja. Hii inajiri leo baada ya jana kada wao mwingine Aisha Madoga...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona umekoswakoswa, ila ukaumizwa na waliotaka Kukumaliza na bado hawajajulikana ukipona kuwa makini kwani wakirudi Kwako mara nyingine hawakosei

    Ujumbe wangu huu umfikie yoyote yule ambaye ataona ama unamgusa Yeye au Jirani yake au Mtu wake anayempenda na kumuamini Kimaisha, Kisiasa na Kiimani (Kidini) Nawatakieni nyote Jumatano iliyo Njema.
  5. JamiiForums Tanzania Nawaonya Simba SC yangu kwa mara nyingine tena kuwa 'Bwetekeni' Yanga SC HACHEZI nasi, kisha akileta Timu tarehe 15 Juni, 2025 tufungwe 12-0 sawa?

    Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC kuwa kamwe TUSIBWETEKE na WASITUDANGANYE bali ukweli ni kwamba Mechi ipo na hiyo tarehe 15 mwezi Juni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli alimuita Gwajima mara 3, lakini leo anabezwa na vitoto vya UVCCM

    Kweli nimeamini kila zama na kitabu chake, unaweza ukapandishwa na mtu na ukashushwa na jamii ya wajinga ingawa umuhimu wako unabaki palepale na siku ukifa ndiyo wajinga watajua umuhimu wako. Lakini ukiwa hai wanakubeza kukutukana na kukudharau. Kwangu mimi Gwajima anabaki kama shujaa katika...
  7. JamiiForums Tanzania Tuwe Wanamichezo na kamwe tusiwe Mashabiki, Simba SC hata tungecheza na RS Berkane mara 10 tungefungwa nao, na Ushindi kwetu Kwao ni Sare / Suluhu

    Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi. Wala...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

    Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji. Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza na-report Mzumbe university first year nilikua disappointed sana na mazingira

    Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali kunapigwa pavement hapawi na vumbi Vyoo vinatoa maji 24/7...
  10. JamiiForums Tanzania Sitasahau Kwa mara ya kwanza nilishindwa kusimamisha mbele ya binti

    Mjimushileee....!! Ilikuwa maisha ya chuo yaani maswala ya kuishi geto la kupanga uswahilini. Nyumba niliyokuwa nimepanga kulikuwa na nyumba kubwa ambayo akiishi baba mwenye nyumba na familia yake pamoja na baadhi ya wapangaji, na nyumba ndogo ya uwani ambyo iliweza ku accommodate watu 3. mimi...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

    Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali...
  12. JamiiForums Tanzania CAF inakuwaje fainali ikawa mara 2?

    Final(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo? Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next week. Shame on you
  13. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  14. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kupita rough road ilikuaje?

    Aisee mimi sitosahau, yule dereva sijui alikua kaweka mafuta gani yaani, na yeye ndie alikomalia tupite huko. Sababu ile tumeianza tu rough road pembeni nikaona tope la manjano na harufu ile ikanishinda kabisa. Nakumbuka nilitapika dirishani na sikua na hamu ya kula wala kupita road yoyote tena...
  15. JamiiForums Tanzania Toka simba acheze shirikisho kwa mara ya kwanza kapata kipimo sahihi

    Toka simba acheze aya mashindano leo ndo kapata kipimo sahihi, na pia kagoma na ngoma wanatakiwa wa level up game yao wapo slow , sio creative, deffencesively kagoma ana cheza faul nyingi sana kitu ambacho ni hatari, mbele pia kibu na mpanzu sio wabunifu, wakikabwa kidogo tu hawana plan b...
  16. JamiiForums Tanzania Kukosa au kucheleweshwa huduma kila mara katika taasisi za serikali kwa sababu mtandao hakuna au uko chini ni jambo la hovyo sana

    Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Wanafamilia wa JF, Jana tarehe 13 mimi na shemeji yenu tumefanikiwa kuijaza Dunia kwa mara nyingine

    Asante mama la mama kwa ZAWADI hii ya kidume #no reform no election
  18. JamiiForums Tanzania Heche: Golugwa aachiwe mara moja. Hakuna kosa alilofanya maana ana visa na ticket halali

    👇
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba bahati huja mara mbili?

    Sasa! Ulipewa pesa ya ada, ukaila kwa ujinga wako, ikatokea bahati, nduguyo mwingine akajitokeza na kuziba pengo usiaibike, msimu ujao waeza kula pesa ya ada makusudi ukiamini utaipata Tena kwa ngekewa? Kwamba Jana ulibahatika kulipiwa nauli ya daladala na jirani yako baada ya kusahau wallet...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenye Vyeo na Mamlaka huko Serikalini (Bara na Visiwani) hadi Ikulu mnataka niwe kila mara nawakumbusha hili tu? Kwanini hamlitekelezi?

    Nilishawahi kusema hapa hapa JamiiForums kwa Utuo kabisa kuwa kama unajijua una Cheo chochote Serikalini (hadi Ikulu) kwa pande zote mbili za Bara na Visiwani kama ni Mcha Mungu basi hakikisha Chakula chako Kikuu kiwe ni Ibada kama GENTAMYCINE na vile vile kama ni Mshirikina Tukuka kama 'Mashavu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…