Je, ni kweli kwamba bahati huja mara mbili?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,155
Sasa!

Ulipewa pesa ya ada, ukaila kwa ujinga wako, ikatokea bahati, nduguyo mwingine akajitokeza na kuziba pengo usiaibike, msimu ujao waeza kula pesa ya ada makusudi ukiamini utaipata Tena kwa ngekewa?

Kwamba Jana ulibahatika kulipiwa nauli ya daladala na jirani yako baada ya kusahau wallet home, kesho yake unaeza iacha wallet kusudi ukiamini kwamba bahati Ile itajirudia Tena?

Ulipita upepo wa kisulisuli ukajikuta uko mjengoni, una gari full ac ya mamilioni, ni sawa kuzuia wengine wasiombe Nafasi hiyo kwenye usaili?

Kwamba imetokea bila kudhani, ghafula ukajikuta msaidizi wa bosi, mara ghafula boss hayupo , unawekwa kusimamia ofisi kwa muda,

Je, Ni sawa kung'ang'ania Nafasi hiyo ambayo huna UWEZO nayo eti kwa sababu tu ulilokota embe dodo chini ya mnazi?

Swali: Bahati hurudi mara ya pili?

Karibuni 🙏
 
Sasa!

Ulipewa pesa ya ada, ukaila kwa ujinga wako, ikatokea bahati, nduguyo mwingine akajitokeza na kuziba pengo usiaibike, msimu ujao waeza kula pesa ya ada makusudi ukiamini utaipata Tena kwa ngekewa?

Kwamba Jana ulibahatika kulipiwa nauli ya daladala na jirani yako baada ya kusahau wallet home, kesho yake unaeza iacha wallet kusudi ukiamini kwamba bahati Ile itajirudia Tena?

Kwamba imetokea bila kudhani, ghafula ukajikuta msaidizi wa bosi, mara ghafula boss anaaga Dunia, unawekwa kusimamia ofisi kwa muda,

Mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH
 
Kwani waenga walivyosemaaa ,BAHATI HAIRUDI mara mbili ukuwaelewaa mkuu🤔

Walimaanishaaa kusemaa hvyoo..
 
Nadhani kila kitu kina wakati wake, hata hiyo bahati inaweza kuja mara elfu ikiwa kwenye wakati wake.
Kwamba Leo umelokota pesa,

Kesho itakuwa unatembea njia nzima tuliangalia chini kutegemea bahati ille ijirudie?
 
Dah mkubwa umeanzia mbali kweli yaani, nikiwa katikati ya andiko lako akili yangu ilikuwa haina akili kabisa😎
 
Sasa!

Ulipewa pesa ya ada, ukaila kwa ujinga wako, ikatokea bahati, nduguyo mwingine akajitokeza na kuziba pengo usiaibike, msimu ujao waeza kula pesa ya ada makusudi ukiamini utaipata Tena kwa ngekewa?

Kwamba Jana ulibahatika kulipiwa nauli ya daladala na jirani yako baada ya kusahau wallet home, kesho yake unaeza iacha wallet kusudi ukiamini kwamba bahati Ile itajirudia Tena?

Kwamba imetokea bila kudhani, ghafula ukajikuta msaidizi wa bosi, mara ghafula boss anaaga Dunia, unawekwa kusimamia ofisi kwa muda,

Je, Ni sawa kung'ang'ania Nafasi hiyo ambayo huna UWEZO nayo eti kwa sababu tu ulilokota embe dodo chini ya mnazi?

Swali: Bahati hurudi mara ya pili?

Karibuni 🙏
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe gentleman. acha uvivu na kubeti kilofa hivyo 🐒
 
Dunia ya Leo mtaji ni AKILI,

Una nguvu za kushindana na crane kubeba container palle bandarini?

Uchawa kazi kweli!
 
Si lazima bahati ije mara mbili

— wakati mwingine huja mara moja tu, na ukikosa nafasi hiyo, inaweza isirudi tena. Lakini pia, kwa wanaojitahidi na kuwa tayari, fursa nyingine hujitokeza tena kama bahati ya pili. Kwa kifupi: bahati huja, lakini aliyejiandaa ndiye huiona mara zote.
 
Dunia ya Leo mtaji ni AKILI,

Una nguvu za kushindana na crane kubeba container palle bandarini?

Uchawa kazi kweli!
uifakamie na kuimaliza ada ya shule ulopewa na wazazi wako kwa tamaa na kuigiza maisha, halafu uje kutafuta faraja na matumani ya uzembe wako JF?

gentleman,
huo ni ulofa wa kiwango cha juu sana kufanywa na mwanafunzi wa chuo kutoka kijijini na unaelipiwa ada na wazazi 🐒
 
Back
Top Bottom