mara ya kwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa kuagiza cheti kipya Cha kuzaliwa kama Cha mara ya kwanza kimekosewa?

    Habari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Kwa mara ya kwanza nimeona kenya

    Kwanini rais wetu mpendwa hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Shida ni nini hasa?? Nishamuona akihojiwa na BBC!! Nao wanadai wamemuomba na kusubiri muda mrefu mpaka kukubaliwa!! Je hii ndio kusema Vyombo vya habari havina uwezo au Mkuu wa nchi haoni haja ya kuhojiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume "kwa mara ya kwanza kubebesha msichana mimba" nulikuwa na umri gani, ulijisikiaje alipokwambia ana mimba yako?

    Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa. Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Urusi wapoteza ndege ya kisasa Su-57

    Ukraine bado wanaendelea kumtia aibu supapawa wenu, sasa sijui nani atawaokoa maana juzi hapa tuliona hata Iran kubwa lenu alishindwa kufanya chochote kwa Israel hata baada ya kutuma makombora 300, yeye alipigwa moja tu ndani kwa ndani. Urusi ambayo huwa mnaitegemea iwalinde imeshindwa kufumua...
  5. JamiiForums Tanzania Ilikuaje ukapata Gono mara ya kwanza? Je, aliekuambukiza ulimdhania anaweza kuumwa ugonjwa huo?

    Hebu tupeane experience. Mie gono ya kwanza kabisa nilipata mwaka 2012, na dem alonipa ni alikua kisu balaa tena chuoni na nilihangaika kinoma kumpata, sikutegemea kama angekua anaumwa ugonjwa aina hiyo kwa classy alokua anajiweka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    "Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania tunge-host Formula 1 kwa mara ya kwanza

    Tanzania bara na (au) visiwani tulikua katika moja ya nchi za Africa zilizopendekezwa au zilizofikiriwa kuhost Grand Prix. Ikumbukwe kwa Africa ni South Africa tu waliwahi host F1 GP, first time ilikua 1934 na last time ilikua 1993. Lewis Hamilton, amewahi sikika akisema ktk moja ya interview...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Leo nimepima HIV kwa mara ya kwanza tokea 2018

    Nimesafiri umbali mrefu sana kwenda angaza kupima HIV na kwa bahati nzuri majibu yamekuja negative. Hii ni hatua muhimu kwenye ya kuwa makini na kujilinda. Asikwambie mtu kusubiri hayo majibu ndani ya hizo dk 5 siyo mchezo.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇 Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi: 1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

    Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea ubunge. Nikajitosa katika mchakato wa ndani ya chama, kuomba ridhaa ya wanachama nipeperushe bendera ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora? 1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Technolojia kwenye faragha

    Ambitious men and womens, hutake full control and outhority over electronic gadgets, mathalani smartphones, tablets, computers etc. Focus, commitments and full concentrations ni kwenye activity ilowakutanisha hapo faragha penyewe. Hii husaidia sana kua na performance ya nguvu na ya uhakika kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa Dar na kukulia Dar, mara ya kwanza kwenda kijijini ilikuaje?

    Wakuu, Tumesikia na tunaendelea kusikia story nyingi vituko na mikasa inayosimuliwa na watu wanaokuwa wamefika Dar kwa mara ya kwanza, jinsi jiji lilivyowakaribisha na kupata ile maana halisi ya msemo "Mjini shule". Sasa tusikie kwa upande wa Dar na experience zao walivyofika kijijini kwa mara...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuja mjini (Dar) jiji lilikukaribisha kwa style gani ukikumbuka kwa jinsi ulivyokuwa mshamba unakufa mbavu?

    Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada. Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza naskia chuo kinachoitwa FETA

    Hivi hiki chuo kinadahili watu wa aina gani na waliofaulu vipi? Au div four wote wanaishi huko?
  17. G

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Wasaalam! Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili! Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia majibu ikawa ni ngum! Nikaamua nijifunge kitambaa usoni nikakafata kakipo bila kuona nikakafulashi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti unavyoonesha jinsi ambavyo wanandoa wengi hukutana ama kujuana kwa mara ya kwanza

    UTAFITI UNAVYOONESHA JINSI AMBAYO WANANDOA WENGI HUKTANA MARA YA KWANZA 1. hujuana kupitia marafiki zao wa pamoja ( mutual friend) = 32 % 2. Kazini ( kufanya kazi sehemu moja) = 18% 3. Shuleni ama Chuoni kusoma pamoja = 17 % 4. Sehemu za ibada ( kanisani ama Msikitini) = 8 % 5. kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ibada yafanywa kwa utulivu kwenye msikiti wa Al-Aqsa, baada ya Israel kuwa makini

    Ilizoeleka kila wakifanya ibada huwa wanaingiwa na mzuka fulani hivi wanaliamsha amsha, ila kipindi hiki Israel imekua makini na kuzuia vijana na kuachia akina mama na wazee tu ndio waliingia pale kwa maelfu kufanya ibada zao kwa utulivu....... Yaani mapolisi yalijaa pale na kusubiri mmoja aseme...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza HAMAS waonekana kujali maisha ya Wapalestina, waomba Rafah isivamiwe

    Mpaka sasa HAMAS wameshaelewa muziki wa Myahudi, kwamba Myahudi ni katili, hajali hata ukijificha nyuma ya akina mama na watoto, anafyatua tu, walijaribu hizo mbinu aisei Wayahudi wakawa wanapiga tu hadi ikaleta ukakasi, na hata makelele ya sijui ICJ au Afrika Kusini au hata Waarabu hayakufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…