mapumziko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Peter Madeleka: Tutenge siku maalum ya kumsifia Rais. Nami naongezea iwe Siku ya Mapumziko kitaifa

    Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
  2. Its Tesha

    Msiwe serious sana na kazi ni muda wa mapumziko ofisini

  3. K

    Faida za kwenda mapumziko /vacation

    Tofauti na kupata elimu pamoja na msawazisho wa mawazo je kuna faida yoyote ya kwenda vacation? Kesho ni safari ya kutoka Tanzania kwenda Vietnam Hanoi..just for leisure. Binti wa zamani
  4. W

    GE2025 CHAUMMA: Tumefurahi watu wametumiss. Waeleza sababu za kujipa mapumziko

    Wakuu Kwa wale mliokuwa mnahoji wapi walipo CHAUMMA mbona kimya sana?. Wamejitokeza na kueleza sababu za kuwa kimya ilikuwa ni kuandaa mazingira ya mchakato wa uchaguzi wa ubunge na udiwani, hii inahusisha mchakato wa kutoa fomu. "Hiki ndiyo kile kimya hata waandishi mlikuwa mkiuliza, CHAUMMA...
  5. Alloyce PR

    Akili Ipo, Ila Tumepewa Mapumziko

    "Tatizo la kuwaamini sana viongozi wa dini ni kwamba tunasahau kuwa hata Shetani alipanda madhabahuni akiwa na Biblia mkononi na nukuu sahihi za Zaburi." — Alloyce, P.R.
  6. Bigmaaan

    Mapumziko ya Eid el Fitri ni siku ngapi?

    Wajuzi naombeni msaada juu ya hili.
  7. C

    DOKEZO Rais Samia kesho anahutubia Mkwakwani shule zote mapumziko

    Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu sijui, nikamuuliza kijana mmoja kwa nini hakuna shule akanijibu mwalimu mkuu kawatangazia kuwa rais Samia...
  8. Binti wa zamani

    Msaada: Vacation / safari ya mapumziko

    Wadau, naombeni new ideas: Mji au nchi gani ulienda vacation / safari ya mapumziko na ukafurahia? Kama ulitembelea jiji kubwa, ulikaa eneo gani, na ni kitu gani kilichokuvutia zaidi?
  9. Just Pray

    Kuelekea maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es salaam

    https://www.youtube.com/live/ZcC1DjuaCGA?si=v690LB1yPXEmkK6v ======= Kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM, katika kata ya bunju halmashauri ya manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla amefungua...
  10. Intricate

    Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

    https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
  11. Raia Fulani

    Kwa ugeni huu wa siku mbili kuhusu mkutano wa nishati, serikali ingetoa mapumziko

    Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
  12. Mchumi90

    Serikali itangaze tarehe 21/01/2025 kuwa siku ya mapumziko

    Taifa zima tuwe mapumziko kufuatilia uchaguzi wa chama mwalimu wa demokrasia nchinj. Naamini hata mama Samia atakuwa anafuatilia live na huenda atapiga simu kupongeza kupata darasa la namna ya kufanya uchaguzi.
  13. Mejasoko

    Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

    Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express interest in Watu. We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
  14. Mgeni wa Jiji

    Tetesi: WADUDU ni hatari: Chukua tahadhari unapokuja mapumziko maeneo ya Moshi na Arusha

    Habari Wakuu wa JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi. Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
  15. Infantry Soldier

    PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

    Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30. Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza...
  16. W

    LGE2024 Nov 27 Mapumziko ni Bara tu, Zanzibar ni siku ya kazi kama kawaida

    Ikiwa zimebaki siku mbili tu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa taarifa kuwa Jumatano ya Novemba 27 ni siku ya kazi kama kawaida Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa na ikulu Soma pia: LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa...
  17. Nehemia Kilave

    LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Azindua Ujenzi Jengo la Mapumziko Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA DODOMA MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
  19. Roving Journalist

    Ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma waanza leo Septemba 20, 2024

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto zinazowakabili Wananchi. Uzinduzi huo umefanyika nje ya jengo hilo ambalo kuna eneo wanakaa...
  20. Yoda

    SGR ipate mapumziko ya siku 3 kwa wiki katika kipindi hiki cha mwanzo

    Huenda SGR inafanyishwa kazi kupitiliza uwezo wake kwa sasa ndio maana inapata majanga ya kukwama mara kwa mara, sasa TRC wajaribu kuipa mapumziko ya siku 3 kwa wiki. Yani ifanye kazi Jumamosi na Jumapili, ipumzishwe Jumatatu, ifanye kazi Jumanne, ipumzike Jumatano, ifanye kazi Alhamisi...
Back
Top Bottom