mapokezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan, Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
  2. R

    Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

    Sote ni mashahidi tangu juzi kuna kakikundi ambako sidhani kama ni watanzania kweli au wachumia tumbo tu wanaolipwa kushibisha nafsi zao au la! Tangu juzi tumeshuhudua kukurukakara za hapa na pale za kutaka kuaminisha watanzania wachache kuwa Rais Samia Suluhu alitoa hotuba ya kihistoria. Ile...
  3. Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

    Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki? Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu? Huu ni...
  4. Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

    Rais anapokea ndege ya Tisa Taarifa zaidi kukujia RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na...
  5. Mapokezi chanjo ya Corona: Ni wakati sasa kutazama utendaji wa Waziri wa Afya

    Nimeliona Bango la mapokezi ya chanjo ya Corona uwanja wa ndege wa J.K Nyerere. Kwanza nilicheka sana baadaye nilipoanza kufikiria juhudi za kupambana na Ugonjwa huu tangu wakati wa mashine za kupigia nyungu na zilivyozinduliwa kwa Mbwewe. Sasa najiuliza hii chanjo imeshaanza kutumika hapa...
  6. Wanawake mnafeli kutoa huduma bora maeneo yenu ya kazi na biashara

    Good morning future Billionnaires[emoji23] Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri. Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
  7. Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

    Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza. Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai )...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…