mapokezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa Mbeya hakina huduma nzuri, kuna mtumishi anaongea sana na simu, hajali wagonjwa

    Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo. Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa. Mbali...
  2. Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  3. Mapokezi ya kijana Jovin mhaini yanasisimua; moyo usinifanyie hivyo

    Aiseeh! 1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua. 2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu. 3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea. 4...
  4. Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  5. Samia na mapokezi kazini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Ikulu alipowasili Ikulu ya Chamwino, Dodoma mara baada ya kuapishwa.
  6. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  7. M

    Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
  8. Mapokezi ya mgombea urais CCM Kibaigwa-Dodoma

    "Kibaigwa tumeshuhudia historia ikijengwa—umoja na maendeleo mbele kwa mbele! ✊🌍
  9. K

    Asanteni Morogoro kwa mapokezi mazuri

    Mapema leo na wananchi Dakawa na Dumila mkoani Morogoro, Mgombea wa CCM Dkt Samia akiwa njiani kuelekea Kilosa. Zaidi ya shilingi trilioni 3 zimetumika Morogoro katika kipindi cha miaka minne kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo hospitali mpya za wilaya 7, vituo vya afya vipya 33...
  10. Pamoja na kukitumikia chama na serikali chama kimeshindwa mkumbuka Ndugai katika mapokezi ya uchukuaji form ya ugombea Urais 2025

    Nilitegemea Rais katika hotuba yake angewaongoza wanachama wa ccm kumuombea kheri mh Ndugai ambaye ametangulia mbele za haki na ambaye bado ajazikwa badala yake hilo halijafanyika zaidi nikuomba burudani iendelee
  11. Mapokezi Simiyu Mashallah Tabarakallah

    1. Wana Simiyu mmetuheshimisha nchi nzima. 2. Ziara imefana mno. 3. RC apandishwe cheo, inshallah, kapambana. 4. Oktoba tunatiki, 5. Mpina tafuta kazi nyingine.
  12. Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

    GT Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%. Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100...
  13. L

    Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  14. L

    VIDEO: Haya ndiyo mafuriko ya watu yanayoshikilia rekodi nzito ya mapokezi ya Rais Samia hapa nchini mpaka muda huu

    Ndugu zangu Watanzania, Kila anapokwenda Na kutua katika ardhi ya Nchi hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa akilakiwa na kupokelewa kwa mafuriko makubwa sana ya watu ambao hujitokeza na kumiminika kwa wingi sana...
  15. PreGE2025 CHAUMMA wapokea wanachama wapya 3,000 pamoja na kuzindua kampeni mpya ya C4C

    https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
  16. Yanga tumeumia sana, tuandae mapokezi makubwa kwa Berkane watakapokuja

    Sisi wa jangwani tumeumia sana. Ni muda muafaka tuandae mapokezi makubwa kwa Berkane watakapokuja maana hiyo ndio kazi tunayoiweza.
  17. Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

    Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC. Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
  18. Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  19. Msanii aimba 'CHADEMA unaishindaje', wimbo wa Harmonize kwenye mapokezi ya John Heche

    Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
  20. PreGE2025 Mamia ya Wananchi wa Kiloleni wamlaki Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiwa njiani kwenda Lamadi-Simiyu kwa Mapokezi

    Wakuu Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Pia, Soma: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…