mapinduzi

  1. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

    Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi Afrika 1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haiwezekani kutokea machafuko wala mapinduzi ya kijeshi

    Afrika imekuwa ikishuhudia misururu ya mapinduzi ya kijeshi tangu enzi za Vita Baridi hadi karne ya 21. Nchi nyingi zilikumbwa na hali hii kutokana na migawanyiko ya kisiasa, kikabila na kiuchumi. Ghana ilipitia mapinduzi yake ya kwanza mwaka 1966, Nigeria ikashuhudia mapinduzi mara kwa mara...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaimarisha miundombinu ya CNG katika harakati za kuleta mapinduzi ya nishati

    SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI 📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji. 📌 Taasisi za kifedha zashauriwa kutoa mikopo kwa wawekezaji kwenye sekta ya gesi 📌 Kituo cha Puma Tegeta kuwa kituo kikubwa zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

    Akizungumza kwa njia ya mtandao mbunge wa Zamani wa Kawe kupitia CCM Askofu Josephat Gwajima amesema mwisho wa CCM hauwezi kuwa na Afya.
  5. JamiiForums Tanzania Krismasi ya mapinduzi / crăciunul revoluționar

    By Malisa GJ, Mwaka 1965 aliyekuwa Rais wa Romania Gheorghe Gheorghiu-Dej, alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mujibu wa Katiba yao, Rais akifia madarakani, Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti (PCR) anarithi kiti chake. Hivyo ndivyo Nicolae Ceaușescu alivyopata bahati ya kuwa Rais wa Romania...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kukiuka maadili na misingi ya CCM, ni wakati wa Tawi la CCM Kawe kumbandua Josephat Gwajima uanachama

    Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama. Mathalani, Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee Baraka Shamte: Wanaosema uteuzi wa Samia haujafuata katiba ya CCM, hawajaisoma

    MZEE BARAKA SHAMTE AUNGURUMA KUHUSU KANUNI NA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Mzee Baraka Shante ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi na Kada Mbobezi wa CCM na miongoni mwa waanzilishi wa Afro Shirazi Party Youth League Wing. Baraka Shamte amesema wanaosema uteuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Nitaichangia CCM $40k kama Samia atapata kura za ukweli 3m

    Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno. Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM. Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yaendeleza Mapinduzi ya Kidigitali kwa Wakulima Kupitia Mpango wa Mikopo ya Simu Janja

    Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
  10. JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Chama Cha Mapinduzi?

    Tumelelewa na Chama Cha Mapinduzi lakini hatujui maana yake,Chama kigumu kutoka madarakani lakini tunaendelea kuimba demokrasia,je Chama cha Mapinduzi ni nini? Katiba ya Chama Cha Mapinduzi inasema hiki ni Chama Cha Ujamaa,Je nini Maana ya Ujamaa!? Katiba ya CCM inasema Chama Cha Mapinduzi ni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nikipongeze CCM kwa namna kilivyo simamia uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali mpaka sasa

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kikubwa sana . Kutokana na ukubwa huu ni rahisi sana kutokea misuguano ndani kwa ndani kwani kuna watu wa kila aina. Utaratibu uliotumika kipindi hiki umeweza na unakiacha chama kikiwa kimeimarika sana. Kila mmoja alishuhudia kwa uwazi jinsi mchakato...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini. 1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77 2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38 3. Dkt. Ahmad Sovu: 32 4. Baruan Muhuza: 20 5...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa

    Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa Na John Jayros Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Vijana wa Kiafrika Wana Nafasi Katika Mapinduzi ya AI Bila Kuhama Bara?

    Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI). Amesisitiza kuwa AI ni fursa ya kizazi hiki – inaweza kuleta mageuzi katika uongozi, uchumi, usalama, na hata Universal...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni nani alikaua kale kapambio ka "Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi"?

    Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi?
  17. JamiiForums Tanzania Kujikosoa, kukosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi by Deepseek AI

    The phrase "kujikosoa, kukosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi" (self-criticism, criticism, and mutual criticism are the tools of revolution) emerges in Tanzanian political discourse as a recognition of criticism's transformative power, while also highlighting tensions around its application...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

    Amani iwe nanyi Wana Jukwaa , Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake. Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
  19. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mapinduzi Mali aongozewa miaka mitano madarakani

    Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Jenerali Assimi Goïta amepewa muhula wa urais wa miaka mitano na bunge la mpito, ambao anaweza kupewa tena bila kufanyika kwa uchaguzi. Kiongozi huyo wa kijeshi, ambaye ametwaa utawala kwa nguvu mara mbili, aliahidi kurejea kwa demokrasia mwaka jana, lakini hilo...
  20. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…