mapinduzi ya kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcTobby

    Haya ndio mapinduzi ya kijeshi yaliyofanikiwa barani Afrika tangu 2020

    Tunaanza . Mali🇲🇱. August 18 2020 na 24 may 2021(counter Coup) Chad🇹🇩. April 2021 Guinea🇬🇳. September 5 2021. Sudan🇵🇸.25 October 2021. Burkina Faso🇧🇫.23 January 2022 na September 30 2022(counter Coup) Niger🇳🇪. July 26 2023 Gabon🇷🇼. August 30 2023 Madagascar🇨🇱.october 12 2025 Guinea-bissau🇬🇼...
  2. Dennis Robert Shughuru

    GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
  3. R

    Kanali Michael Randrianirina aapishwa rasmi kuwa Rais wa Madagascar

    Kanali wa jeshi Michael Randrianirina ameapishwa kuwa Rais mpya wa Madagascar leo Oktoba 17, 2025 kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea kwa kasi na kumng’oa madarakani Rais Andry Rajoelina, ambaye kwa sasa ameripotiwa kutoroka nchini na kujificha Randrianirina, ambaye alikuwa kamanda wa...
  4. tang'ana

    Kwanini wanaofanya mapinduzi ya kijeshi huwa ni junior officers?

    Wakuu hii imekaaje? Yani, how comes kwenye nchi nyingi ambazo yamefanyika mapinduzi ya kijeshi,wafanya mapinduzi huwa ni junior officers yani luteni kanali kushuka chini. Hawa senior officers wao huwa wanakua wapi?
  5. Megalodon

    Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

    Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi Afrika 1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
  6. Getrude Mollel

    Kwanini Tanzania haiwezekani kutokea machafuko wala mapinduzi ya kijeshi

    Afrika imekuwa ikishuhudia misururu ya mapinduzi ya kijeshi tangu enzi za Vita Baridi hadi karne ya 21. Nchi nyingi zilikumbwa na hali hii kutokana na migawanyiko ya kisiasa, kikabila na kiuchumi. Ghana ilipitia mapinduzi yake ya kwanza mwaka 1966, Nigeria ikashuhudia mapinduzi mara kwa mara...
  7. H

    Suluhisho la ufisadi kwa serikali za kiraia ni mapinduzi ya kijeshi tu!

    Hakuna kiongozi wa dini,mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha zao walizoiba wataendelea kuwakandamiza Waafrika kwa umasikini wao siku zote. Baada ya mapinduzi ya kijeshi piga marufuku shughuli za kisiasa zote...
  8. BLACK MOVEMENT

    SI KWELI Ivory coast yametokea Mapinduzi ya Kijeshi

    Kuna taarifa zisizo lasim kwamba Raisi wa Ivory Coast kapinduliwa na haijulikana alipo, Sasa sijapatavtaarofa rasimi. Huenda Wafaransa wamefanya yao huko.
  9. H

    Demokrasia imeshindwa Afrika kwa sasa mapinduzi ndiyo suluhisho

    Ukiangalia kwa undani utagundua DEMOKRASIA haijawahi kuwa na msaada kwa AFRIKA ila demokrasia yenyewe inachokifanya kwa AFRIKA ni kuchochea MIGOGORO na kuleta UMASKINI na vitu kibao kama hivyo. Viongozi wa upinzani nao wanajilimbikizia mali wamamiliki magari ma majumba ya kifahari,mahotel,afya...
  10. Upekuzi101

    Kinachotokea Congo ni mapinduzi ya Kijeshi, hakuna cha kuzuia hili kutokea

    Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza nchi. Jeshi la Congo ni dhaifu, tumeshuhudia picha za wanajeshi wa Congo wakiwa peku, wengine...
  11. X

    Elon Musk anaunga mkono sana mapinduzi ya kijeshi yatokee Venezuela. Kuna siri gani nyuma ya hili?

    Jana matokeo ya uchaguzi yalipotoka ilitangazwa kuwa Nicolás Maduro ameshinda tena kiti cha uraisi nchini Venezuela. Akimshinda mpinzani wake Edmundo González ambaye anaungwa mkono na Marekani. Viongozi wa mataifa ya Magharibi wameonyesha kutofurahishwa na matokeo hayo. Huku vyombo vya habari...
  12. I

    Nchi 10 za kiafrika zinazoongoza kwa wananchi wake kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi.

    Wengi wa Waafrika wanasema wangekubali kunyakua serikali kama viongozi waliochaguliwa wanatumia vibaya mamlaka, utafiti uliofanywa katika nchi 39 na Afrobarometer ulionyesha. Kulingana na ripoti hiyo, iliyopewa jina la "African insights 2024 Demokrasia hatarini" - mtazamo wa watu, kuna tofauti...
  13. Mjanja M1

    Mbinu za kuzuia Mapinduzi ya kijeshi

    Hizi ni Njia Zitumikazo na Serikali Mbalimbali Duniani Kuzuia Mapinduzi na Kupunguza Hasira za Wanajeshi. Imagine kila siku unaamka asubuhi unakwenda kazini na kulipwa mshahara. Fikiria kwamba umefanya hivyo kwa miaka isiyopungua 15, utajisikiaje? Unaweza kusema kwamba itakua sawa lakini...
  14. robinson crusoe

    'Vitoto' vya wanasiasa vinaingizwa ktk siasa, eti wengine waende kujifunza kilimo Israel!

    Nimeona wanasiasa wakishindana kuingiza watoto wao ktk siasa kana kwamba ni sehemu nzuri ya makuzi yao. Naona Mwigulu, Slaa, nk. wote wanatangaza vitoto vyao ktk siasa na huenda rushwa inatembea ili vishinde. Wakati huo huo wengine wanaambiwa kuna fursa Israel, pamoja na hatari ya vita. Matatizo...
  15. Lexus SUV

    Je, zile nchi za Afrika zilizofanya mapinduzi ya kijeshi, kuna mikataba imevunja je nazo zitashtakiwa. ICCSD court?

    Yes , tumeona mapinduzi hapa kama yooote yametokea so mimi naulizia je wanashtakiwa kwenyw ile mahakama ya mchongo iliyomtoa kijasho prof.mruma? Au hiyo haiwahusu hizo nchi za kijeshi mfano Burkina Faso/ Mali/ Niger na France katika uchimbaji wa madini na uranium. Au ni sisi tu bongo...
  16. The Sheriff

    Amani, Uhuru, na Ustawi wa Kiuchumi ndiyo mambo pekee yatakayoiepusha Afrika na Mapinduzi ya Kijeshi

    Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha. Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
  17. political monger senior

    Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger? Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
  18. Victoire

    Gabon: Jeshi lamtangaza Jen. Nguema kuwa Rais wa Mpito, alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Ulinzi wa Rais

    Haya kumekucha Gabon, Brice ambae ndo alikuwa mkuu wa ulinzi wa Rais ndo kawa Rais. Kwa uchunguzi wangu ,huyu Nguema ni binamu wa Ali Bongo. Na Ali Bongo alimpa kazi maalum ya kumuandaa mtoto wa kwanza wa Ali Bongo anaeitwa Valentin ili aje kuwa Rais. Naona Brice kaamua, no way kwanini aandae...
  19. Webabu

    Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  20. Allen Kilewella

    Kwanini Afrika tunashadadia Mapinduzi ya Kijeshi?

    Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon. Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi. Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
Back
Top Bottom