Bara la Afrika lilishuhudia ongezeko kubwa la mapinduzi katika mwaka mmoja na nusu uliopita, huku takwimu za kijeshi zikichukua nchi za Burkina Faso, Sudan, Guinea, Chad na Mali.
Baada ya mapinduzi ya Sudan mwezi Oktoba 2021, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alizungumzia "janga"...
Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa.
Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi.
Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya kipindi kirefu cha utulivu, ambao ulilisaidia bara la Afrika kuwa moja ya maeneo yenye ongezeko la uchumi...
Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii....
Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg.
Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
Katika mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu mjini Addis Ababa, Ethiopia, suala la utulivu wa kisasa limekuwa ajenda ya kujadiliwa, na baadhi ya viongozi wameonyesha wazi kukasirishwa na linaloonekana kuwa wimbi jipya la mapinduzi.
Katika kipindi cha...
Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
Waandamanaji wameweka vizuizi barabarani katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum wakati baadhi ya maduka na Ofisi yakifungwa kutokana na mgomo wa siku mbili uliochochewa na vifo vya waandamanaji.
Mgomo umeitishwa baada ya watu saba kuuawa Januari 17, ikiwa ni siku iliyotajwa kuwa mbaya zaidi tangu...
Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia.
Maelfu ya wananchi tayari wamekuwa wakiandamana kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, na...
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres, Jumapili amelaani kile kinachotajwa kama mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea, na kuwasihi wanajeshi waliosema wamefanya mapinduzi hayo na kuchukua madaraka, kumuachilia huru rais Alpha Conde.
Guterres ameandika kwenye twitter “ Mimi binafsi...
Nimeona sehemu wanasema rais wa Guinea amepinduliwa na wanajeshi waasi na anapelekwa kwenye mahakama ya kijeshi
===
GUINEA: WANAJESHI WAMPINDUA RAIS
Wanajeshi wamefunga mipaka ya Guinea na kufunga anga baada ya kufanya mapinduzi na kutangaza kutoitambua Katiba iliyorekebisha na Rais Alpha...
Licha ya kitendo chake cha kufanya Mapinduzi ya Kijeshi mara mbili ndani ya miezi tisa kukosolewa, Kanali Assimi Goita amekula kiapo kuwa Rais wa Mpito wa #Mali akiahidi Uchaguzi Mkuu utafanyika Februari 2022 kama ilivyopangwa.
Kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea, Ufaransa ambayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.