mapenzi

  1. TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

    Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
  2. Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
  3. Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

    Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake. Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi...
  4. I

    Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Habari wanaJF, naomba mnishauri pia kwa hili. Nilikutana na binti mmoja mwaka 2012 katika mazingira ya kazini na tukaingia katika mahusiano, binti huyo alikuwa akiishi kwa dada yake mkubwa ambaye wamechangia mama. Kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba dada yake huyo alikuwa akimnyanyasa na...
  5. Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
  6. Meseji za Mapenzi za kumtoa nyoka pangoni..enjoy

    Heshima kwenu wakuu, Baada ya kuona Watu wanawaandikia wapenzi wao meseji za kawaida zisizo romantic, nmeona niwakusanyie meseji japo uwe unacopy na kumpastia umpendae. Hii itasaidia kuamsha mapenzi na kumfanya mpenzi wako ajisikie poa Just mtumie meseji moja kati ya hizi uone majibu yake...
  7. Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

    Nimuamua kushare na nyie huu ujumbe nimekutana nao sehemu ili uwe na Amani ya moyo fanya hivi; ======= Kwa wanandoa na wenye wapenzi waaminifu, uaminifu limekuwa ni jambo la msingi sana ili udumu na huyo uliyeingia naye kwenye ndoa, mjengee imani kuwa wewe ni wake na haitatokea siku...
  8. ‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

    Naomba ifahamike wazi linapokuja swala la kufanya sex mwanamke anaweza kuvumilia kutofanya sex kwa muda mrefu, tofauti na mwanaume. Nimekutana na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wakilalamika kuwekewa masharti haya magumu na watoto wa kike la kutokufanya mapenzi mpaka ndoa. Kidini na...
  9. Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Habari zenu wana jukwaa? Ni sehemu gani hatarishi uliwahi kufanya ngono? Mimi ni hospital, nilimgegeda nurse ninayefahamiana nae.
  10. Navutiwa sana na mwanamke mweusi

    Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaani nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni:- 1.Ni wa mooooto 2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe 3.Hachakai haraka 4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa Kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa...
  11. Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Wana Chit Chat!!! Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile; 1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani, mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada. Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie...
  12. Maishani...

    There was a blind girl who hated herself just because she was blind. She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her. She said that if she could only see the world, she would marry her boyfriend. One day, someone donated a pair of eyes to her and then she could...
  13. Your Parent

    An 80 year old man was sitting on the sofa in his house along with his 45 years old highly educated son. Suddenly a crow perched on their window. The Father asked his Son, 'What is this?' The Son replied, 'It is a crow'. After a few minutes, the Father asked his Son the 2nd time, 'What is...
  14. Je, hii ni sawa?

    Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada. Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi ni marafiki tuu wa kawaida na wengine ni wafanyakazi wenzake. Ok nilikubali na kuwaona wote. Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…