Mapenzi; unaposikia neno mapenzi moja kwa moja unapata tafsiri yake binafsi katika ufahamu wako. Wengi huelezea maana yake kutokana na mtazamo aliopo nao, mfano; matazamo wa kidini, kimazingira yanayomzunguka na hata kimahusiano. Binafsi neno mapenzi, kwa kawaida hubeba hisia za ndani...