mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Je, katika mapenzi kwa nini mwanamke aliumbiwa kusema uongo kuliko ukweli?

    Wasalaam JF, Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa. Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi. The point is wanawake huwa hawana kitu inaitwa commitment kwenye mapenzi, they enter relationship for...
  2. JamiiForums Tanzania Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa. Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka kwa kupiga simu ya ma X!

    Habari, Kuna namba za ma x nimepotezana nao kitambo. Nikaamua mwaka huu namba ambazo hazina umuhimu ni kbra kupunguza storage. Nikaanza kuzipiga, yaani kumbe bado hawajanifuta; zaidi wameniambia tutafutane. Naogopa maana ni muda mno umepita sana na sasa kudanga ndo habari ya mjini. Vipi wewe...
  4. JamiiForums Tanzania Je, mwanamke muongeaji sana anafaa kuolewa?

    Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
  5. JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niote ninafanya mapenzi?

    Mke alienda nyumbani tangu Dec, nipo tu home mwenyewe. Sasa nina nyege balaa, nagalagala tu kitandani, kununua malaya hela inaniuma. Kuchepuka nina majukumu mengi sana siwezi kuhudumia mchepuko. Nifanyeje ili nipate ndoto ya kugegeda usingizini? Nigegede papuchi hadi itself Moshi?
  6. JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Usikubali kulia milele

    Usiwe kama samaki atoae machozi baharini yakamezwa na maji ukajiona wewe ni nunda wa mapenzi. Maumivu ya mapenzi ni makubwa Sana Kaka/Dada hivyo yakupasa ufanye maamuzi magumu kwa nyakati ngumu. Kama unaishi kwa mateso na maumivu ukiamini atabadilika kesho na habadiliki ni Bora umuache aende na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ushawahi fanyiwa jeuri au dharau na mpenzi anaedhani umedata na umahiri wake ndani ya 6x6?

    Salale Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa. Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye fadhaa ndugu zangu; nimeota nafanya mapenzi na dada yangu!

    Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu. Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu. Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

    Habari zenu wadau, kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ofisi X. Huyu dada ni mshikaji wangu since day one maana tulianza kazi siku moja na siku ya interview tulikua wote sema tulikua hatujazingatiana sana. Sasa kipindi naanza kazi siku ya kwanza Paa hyu hapa tukatambulishwa pale maana ndo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajinyonga baada ya wazazi wake kumzuia kutojihusisha na mapenzi

    Lasmini Kondo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Masaki wilayani Kisarawe mkoani Pwani, amekutwa akiwa amejinyonga baada ya kukatazwa na wazazi wake kutojihusisha na mapenzi. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Pwani, ACP Pius...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume usiye na kazi usipende!

    Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26 Out there wakuu, Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula mbususu pita hivi, usijenge kibanda, usilete hisia bro, utanyonyoka vibaya sana, sana! Naongea na...
  13. JamiiForums Tanzania Jamii ibadili mtazamo wake kwa mabinti wasiopenda ndoa!

    Habari zenu, Nakumbuka niliwahi ona thread ikizungumzia kuwa mabinti wengi wanapenda harusi kuliko ndoa ndo maana wanaosuka mipango ya harusi asilimia kubwa ni wanawake. Ninavofikiri mimi ni kuwa maisha ya sasa ni tofauti na zamani. Zamani binti ukifkisha miaka 30 hujaolewa ilikuwa suala zito...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanawake wa makabila mengine wanaowazidi waluguru na wazigua kuomba hela kwenye mapenzi?

    Hehehehee yaani nimekoma nimekomesheka, pamoja na ulevi wangu wa mauno, kuna umuhimu wa kujiuzuru haraka kwenye penzi la mluguru na Mzigua , sijui wana kibubu cha mufilisi kupitia mapenzi, kama jini hilo ni jini kipepeo kila dakika beby, mume, nikwambie kitu, mara sijui mara sijui shughuli a, b...
  15. JamiiForums Tanzania Nadhani sasa naelekea kushindwa haya mapenzi. Sijui shida nini maana mi nimechoka

    Nimeona nami nichepuke kidogo ( nisamehe mpenzi wangu huko uliko nlipitiwa tu na lishetani mbwa hili) Huyu demu nimemnunulia nyama choma ya kuku na ndizi 2. Kisha kanywa na Konyagi nusu Mzinga. Ameenjoy ndo tukaenda kulala lodge. Mi nikaomba angalau nami ninanii...yaani nifanye naye matusi...
  16. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Zanzibar yapoje?

    Wakuu , mchumba wangu wa zamani alioa zenji. Hakuachana hadi Leo. Rafiki zangu wameoa Zanzibar wote hadi naleo hawajaachana . Tujuzeni mapenzi ya Zanzibar yakoje? Yapojee? Maana sio wakutuchukuliwa waume kihivyo.
  17. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matumizi ya akili na siyo pesa wala vitu!

    Kwa vijana (wa kike na wa kiume) ni kawaida kuwaza kuwa nguvu ya mapenzi ni kwa mtu kuwa na mwili wenye kuvutia ama kuwa na pesa au vitu vya thamani vinavyotamaniwa na wengi. Lakini ushahidi unaonesha kwamba, mapenzi yaliyodumu na kuwapa raha wahusika, yalijengwa zaidi kwa akili na siyo kwa Pesa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni yale yale tu

    We jiulize toka enzi ya adamu mpaka sasa kuna watu wangap walipitia km yako!?? Je walifanya maamuzi gani Ndugu kila kinachotokea ktk mapenz ndio mapenz yenyewe we chukulia ivyo ukipendwa au ukitendwa we chukulia kawaida tuu Ukihongwa Sana au ukichunwa Sana kawaida tuu Yaan hakuna jipya watu...
  19. JamiiForums Tanzania RIP MWAMBA

    Leo ndugu zangu nitawapa mkasa uliotokea kwenye mapenzi katika kambi moja ya jeshi Mkoa WA pwani.Katika mahusiano ya jamaa mmoja ambaye alikuwa mjeshi jamaa tulizoea kila siku anapigiwa na mkewe sasa siku hiyo akakuta SMS za mapenzi Kwa mkewe ndio kisanga kikaanza hapo jamaa akaanzisha timbwili...
  20. JamiiForums Tanzania Mapenzi yanayosimamiwa na wazazi

    Hivi kwa mfano ulikuwa na mahusiano na msichana more than 1 year then ukaamua kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa binti halafu ikatokea hawakutaki kulingana na sababu zao wenyewe kama wazazi, mnaweza kuchukua maamuzi gani kama wapenzi ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…