mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Kama huna nyota ya mapenzi/mahusiano utateseka sana

    Kama huna nyota na wanawake na huna hela mapenzi yatakutesa sana, sababu kuna watu wana nyota na wanawake mara nyingi hawatumii nguvu kubwa sana kuwapata wanawake, nielewekwe wanakataliwa ila sio kama wale wanaume ambao hawana nyota kabisa Ukiwa na nyota plus una hela utakua mfano wa king...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tambua sababu 5 za mwanamke kufanya mapenzi na X wake wakati mpo kwenye mahusiano

    Sababu hizi sio kwa ajili ya kuwalaumu wanawake bali ni kwa ajili yako mwanaume, sababu wewe ndo kiongozi na ni jukumu lako kutambua hali na kuchukua hatua. Vingine vinaumiza lakini ndivyo ilivyo. Ila kama mwanamke uliyenaye ana rekodi nzuri ya kudanga, na hajabadilika basi ukae tayari...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nautafuta mwenza (Ke)

    Wakuu wasalaaam, Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu. Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja. Umri wangu ni 38. Kwa taarifa zaidi karibu sana PM kwa aliyeguswa. Nawasilisha.[emoji119]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Eva tuanzishe bustani yetu (mke na mume)

    Hello Wana JF, Natafuta mke wa kuoa, umri wangu ni 37, dini mkristu, kazi nimeajiriwa, sina mtoto, situmii kilevi chochote, elimu yangu ni chuo kikuu. Sifa ya Eva ninaye mtaka; ~ Awe na umri 28-35. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila lolote. ~ Akiwa na mtoto haina shida...
  5. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mtandaoni yameniangushia kwa binti mwenye ulemavu, hakika huyu ndiye chaguo la moyo wangu

    Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana. Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway. Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar...
  6. JamiiForums Tanzania Kama mwanamke anakulalamikia haumjali kisa haumtumii ujumbe au kumpigia simu kila saa, mwambie hivi...

    Ukiwa na mwanamke asiyejiamini atataka umpigie na kumtext kila muda ili ajisikie kupendwa na aone unamjali. Mara nyingi wanawake ambao hawakupata upendo mzuri wakiwa wadogo hufanya hivo, kila muda wanataka wapetiwe wajisikie wanapendwa. Pia ukiona mwanamke anakukera kwa kutaka muda wote...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

    Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze...
  8. JamiiForums Tanzania Njia ya kuwa na mahusiano na mwanamke kwa urahisi

    Hiki ni kitendo rahisi sana cha kunasa hisia za mwanamke yeyote yule na kuchukua moyo wake pasipo yeye kujua. "Mpigie simu mara kwa mara kama sehemu ya kumjulia hali tu uone kama hatajaa mwenyewe." Hii mara nyingi huwa inafanya kazi kama mwanamke atakuwa single au yupo kwenye mahusiano...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Na Kila Mmoja Wetu Popote Naawe Mtulivu: Tuliangalie Suala la Mapenzi ya Jinsia

    Jambo lolote ambalo linafafanuliwa kama dhambi ni ouvu. Hii ni kwa sababu dhambi ni kosa dhidi ya akili na dhamiri safi. Kwa hiyo si tu kuhusu mapenzi ya jinsia moja au ndoa za jinsia moja, lakini kwa kweli mambo yote yanayokatwa na amri kuu ya mapendo kama ilivyofafanuliwa na amri kumi za...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case. Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka...
  11. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  12. JamiiForums Tanzania Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

    Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu.... Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana.... 1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa, 2. Hawataki makuu wao...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake, pesa au mapenzi ya dhati? Wanaume, tako au tabia nzuri?

    Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati? Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri? Twende kazi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

    Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi...
  15. JamiiForums Tanzania Mapenzi matamu sana

    Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee. Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano. Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenye Mapenzi na Maufundi Kitandani Hakuna Zaidi ya Myao Africa Mashariki Yote

    Hello hello JF family Ukiwa mkweli raha sana, mimi niwe mkweli nshakuwa na wapenzi kadhaa na kupita kimtindo na wanawake wa makabila kiasi najua kuna wanawake wa pwani mfano wadigo, wakwere, wazigua, wabondei, wazaramo, na mashine za kusini mmakinde, mwera, mmakua, wangoni, wanyasa. Na kuna...
  17. JamiiForums Tanzania BBC waomba Radhi kwa Sauti iliyosikika ya Watu wakifanya Mapenzi wakati wa Matangazo ya Mpira jana Usiku

    Hakika ile Sauti iliyoingilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya BBC ya Mechi ya FA Cup jana ya Liverpool FC ya Watu wakitinduana (wakifanya) Mapenzi (Ngono) ilituathiri hadi na Sisi Wengine wapenda 'Mbunye' na Kulazimika kuacha kufuatilia Matangazo yao BBC na kuanza nasi kuwatafuta watakaopatikana...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa siku hizi mapenzi ni expensive?

    Happy new year wakuu, Hivi ni kweli kuwa sikuizi mapenzi ni expensive au tunatishana tu? Tokea nijiunge JF sikuizi naogopa hata kusimamisha manzi njiani nikiwa sina hela, maana humu story ni kuwa madem wote wanataka pesa pesa pesa sio maneno wala muonekano tena. Saivi naskia kupata Dem msafi...
  19. JamiiForums Tanzania Asante Mungu nimepata mwanamke mwenye hisia kali za imani ya kweli katika mapenzi

    Hello Umofia kwenu! Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza na ametoa machozi ya mapenzi. Akiwa na mdogo wake wa kike mwenye umri wa kati 22-24, yeye ana 28yrs...
  20. JamiiForums Tanzania Je, katika mapenzi kwa nini mwanamke aliumbiwa kusema uongo kuliko ukweli?

    Wasalaam JF, Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa. Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi. The point is wanawake huwa hawana kitu inaitwa commitment kwenye mapenzi, they enter relationship for...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…