mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Dawa za mapenzi ya kibatari mlipuko na utambi wa sanda na Karatasi ya kupepea kwenye mti. Tabora ni baba lao

    Niende kwenye mada wanyamwezi ni nyoko si mwanaume si mwanamke mapenzi yao wote ya kichawi, mvuto na wito wa kutumia dawq kumuita unaemtaka. Hivi mkoa wa tabora sikonge wanyamwezi huu upuuzi wameutoa wapi. Kizinde changu kimewashinda kila walichojaribu wapi mwamba nimeiva. Leteni visa...
  2. JamiiForums Tanzania Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Naandika uzi huu huku nikiwakumbuka wengi waliokufa na gonjwa la hatari la UKIMWI kule kwetu Iringa Mafinga kwenye misitu mbao mji wa biashara mji wenye viwanda vidogo vidogo vingi vya mbao mji wa majani ya Chaibora. Mimi nilizaliwa mwaka 1990 DSM, baadae mwaka 1995 tukahamia mafinga mjini...
  3. JamiiForums Tanzania My confession

    There's this girl, she's not my girlfriend but she holds a special place in my heart. It's both thrilling and terrifying to admit that she has captured my thoughts and emotions in a way no one else has before. Her radiant smile illuminated every room she entered, and her laughter was like music...
  4. JamiiForums Tanzania Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

    Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe. Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
  5. JamiiForums Tanzania Ofisi za ubalozi nchini Japani zaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kuruhusu watu kufukuana vifusi

    Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma wakiongozwa na USA na mabadiliko ya jinsia wanaojulikana kwa jina la ‘LGBTQ’, kabla ya mkutano wa...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi: Napiga chini mapenzi

  7. JamiiForums Tanzania Karibu elimu, tiba na uzoefu wa kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvuka changamoto za ndoa, mahusiano na mapenzi

    Hello hello Family! Wasalaam? Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi. Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kama unampa pesa kila mnapofanya mapenzi, hapo mimba ikiingia ni yake peke yake.

    Habari! Kama kichwa kinavyosema. Kama huwa unamlipa pesa kila mnapofanya mapenzi nj vyema ijulikane kuwa hiyo ni biashara kamili. Hata kama hakutajii kiwango rasmi au hakushikii badtola ili umlipe. Kwa jina lolote lile iwe hongo, matunzo, nauli, ya kula, ya sabuni n.k maadamu tu inalipwa kila...
  9. JamiiForums Tanzania Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?

    Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?
  10. JamiiForums Tanzania Kulazimisha mapenzi pasipo na mapenzi ni mbaya sana

    Inatokea yule unae mpenda hana muda na wewe na anajua unampenda kwahiyo hata unapo jaribu kutafuta mapenzi kwake unakosa Unajikuta una lazimisha mawasiliano kosa dogo amekutushia kukuacha au anakuacha jaribuni kuheshimu hisia za mtu baadhi ya wanaume 😢😢 ina uma sana
  11. JamiiForums Tanzania Baadhi ya aida za kufanya mapenzi asubuhi

    Huwenda umeshawahi kusikia kuhusu umuhimu wa kushiriki tendo la ndoa asubuhi na ukashangaa lakini ni kweli kuna faida za kufanya tendo hilo kwa afya yako na wataalamu wanasema ni moja wapo ya matibabu. Tunakusogezea baadhi ya faida za kushiriki tendo la ndoa asubuhi kutokana na utafiti...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ngono ndiyo silaha ya mapenzi?

    Sijui kwanini, ila katika pita pita zako unakutana na mtu ukamwelewa but ukawa huwa mawazo ya kukutana nae kimwili hivi karibuni. ila baada ya muda unaanza kuonekana hauna mapenzi ya kweli au kuna sehemu unapata utelezi na vitu kama hivo. Unless otherwise, me navyojua huwezi ukawa unakutana na...
  13. JamiiForums Tanzania Mbwa mnyama mhuni sana kwenye ngono

    Mbwa wahuni sana kwenye mapenzi kuliko wanyama wengine, mbwa haoni aibu kungonoka mbele za watu tofauti na paka yeye huenda mafichoni
  14. JamiiForums Tanzania Harakati za Mapenzi zilivyompeleka jela rafiki yangu

    Wasalaam; hii ilitokea, Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari. Miaka ile utaratibu wa kujiunga na elimu ya Chuo Kikuu ilikuwa unasubiri mwaka mzima nyumbani. Utamaliza kidato cha sita mwezi wa tano...
  15. JamiiForums Tanzania Kuteswa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

    Mimi ni kijana wa miaka 29 nina Kilo 97 naishi ndani ya Dar, ni mkaka mweusi, mfupi kiasi. wengi wanahisi mimi ni MUHA kutoka Kigoma kulingana na weusi wangu na unene ila kiukweli mimi ni mdigo kutoka Tanga paleee saharee. Kijana mwenzenu mimi nateswa na mapenzi yani nateswa haswa sina khari...
  16. JamiiForums Tanzania Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

    Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata... Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida moja hivo ikaleta maongezi kidogo kuhusu shida iliyotuleta pale ikapelekea tukaanza kufahamiana...
  17. JamiiForums Tanzania Friday Fun Fact

    Kwenye maisha hasa ya mahusiano hakuna demu mkali, na ukiona demu ni mkali ujue sio wako. Pia hakuna asiye mwongo we chagua mtu ambaye utavumilia uongo wake. Kwaheri.😂😂😂😂😂
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za kutafuta mwenza mwenyewe hazidumu kuliko zile walizokuwa wanatafutiwa?

    Habari wa JF, Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na kupendana hawadumu kwenye ndoa, tofauti na zamani ile unaambiwa huyu ni mke/mme wako? Mnaona ambao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupiga vita mapenzi ya jinsia moja inawezekana; wapo wapi wanaume waliokuwa wanajichubua na kulegeza viungo kwenye mitandao na TV?

    Hongera vyombo vya dola Kwa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola waliokuwa wanajibadili jinsia na kukubali kuingiliwa. Wanaume waliokuwa wanajichubua na kufanyiwa masaji walegee wamepotea mtaan, wanaume waliokuwa wanalegeza sauti kwenye jamii sasa hivi sauti lazima ikaze wasikamatwe; wanaume...
  20. JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Labda tunaweza kujifunza kitu kuhusu mapenzi kupitia story ya maisha yangu

    Mimi sio mwandishi mzuri hivyo tutavumiliana kidogo. Mimi ni kati ya wale vijana wachache ambao tumepata bahati ya kuwa na pesa tukiwa na umri mdogo, nikisema umri mdogo sijui mnanielewa? By 22 nilikuwa na nyumba 5 na gari za kutembelea mbili ukitoa vitu vingine ambavyo sio muhimu kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…