mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwawa la umeme la JNHP lingekamilika mapema hizi athari za vita vya Ukraine visingetuathiri kwa kiasi kikubwa. Uzembe wa January Makamba unatugharimu

    January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati. Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji? Leo hii tungekamilisha JNHP...
  2. Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  3. Dada kaanza kampeni mapema mno!

    Kaanza mapema mno na hakika anaogopa upepo unaomtikisa!,Tena zaidi anaogopa upepo wakaka yake maana inaonekana upepo wa kaka ni mkali zaidi unampa shida,madira yake yanapeperuka huku na kule!. Hakika dada hawezi kuvaa viatu vya kaka vimemshinda ndio maana ameanza kuviponda!.. niwaambieni yule...
  4. Ni mapema sana kutenganisha misingi ya Chama na Serikali

    MAONI YANGU: Serikali iliyopo na Serikali zote zilizotangulia zimetokana na Chama nikimaanisha Chama Cha Mapinduzi na hapo awali TANU. Ukipitia kwa undani misingi iliyounda Serikali yetu imetoholewa kutoka katika misingi iliyounda Chama. Hivyo sio jambo rahisi au la siku moja au la tamko moja...
  5. Steve Nyerere ajiuzulu nafasi ya Usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania

    Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT). Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
  6. Serikali ijenge barabara za kulipia Dar es salaam ili watu wafike kazini mapema

    Habari! Dar es salaam ina kanda kuu kama nne hivi, KANDA YA GONGOLAMBOTO na viunga vyake, KANDA YA MBAGARA na viunga vyake, KANDA YA MBEZI BEACH na viunga vyake na KANDA YA MBEZI LOUIS/KIMARA na viunga vyake. Serikali ijenge barabara katika kanda hizi. Barabara ziwe za kulipia angalau...
  7. T

    Plot4Sale Wahi mapema, nauza Kiwanja changu SQM.723-Oysterbay-Dodoma!

    Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri kwa makazi na biashara pia kinafaa kujenga lodge/guest house na kimezungushiwa msingi wa fensi...
  8. J

    Dkt. Ndugulile: Kutoza kodi Mapema kwenye Biashara za mitandaoni kutaua ajira za Vijana wengi na kudumaza e-Commerce

    Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi. Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa Mitandao amesema kutoza kodi mapema kwenye biashara za mitandaoni kutauwa AJIRA za Vijana wengi na...
  9. MJADALA: Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Amani iwe nanyi bandugu,, natumai muwazima wa afya. Bila kupepesa macho wala kuzunguka zunguka napenda kuwaletea kwenu swali fikirishi hili,,,,, Hivi ni kwanini wanaume kwa asilimia kubwa wengi hufa mapema or hutangulia kufa kuliko wanawake? Najiuliza swali hili sana kwa kutumia experience...
  10. M

    Asanteni Ahmed Ally, Suleiman Matola na Barbara Gonzalez kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia wana Simba SC juu ya Kipigo cha Keshokutwa Berkane

    Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za Ugenini ( Away ) Hata hivyo nisiwe Mnafiki au Muongo kwa wale Wabobezi wa Communication Psychology na...
  11. Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

    Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara. Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka...
  12. Kambi ya Timu ya Taifa ya Riadha kuanza Mapema

    Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu. Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) wakishirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) wameanza kusaka maeneo ya kuwaweka Wanariadha wa...
  13. Njia mbili (2) za kustaafu ukiwa huru kifedha, ajira ina mchango mkubwa kustaafu mapema

    Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha. Sina maana uache kufanya...
  14. M

    Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

    Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele. Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
  15. Wizara zetu hazieleweki. Ila Elimu, Ardhi na Miundombinu "zitakufa" mapema zaidi

    Hakuna kiongozi wa wizara ya Elimu (hawa wapya) anayefahamu matatizo ya elimu yetu. Elimu yetu inaweza kufa kabisa. Soon, very soon, Presdent Samia atafanya mabadiliko tena. Kule ardhi mama ameshauriwa vibaya. Lukuvi anaweza kutolewa na ardhi isiyumbe. Ila katibu mkuu wake, yule Mary, hakutakiwa...
  16. M

    Wana CCM wenye nia njema na taifa na uwezo wa kuwa marais, wekeni nia mapema 2025 mliokoe taifa lenu

    Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa. Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi. Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
  17. U

    Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  18. Kuna haja ya kuanza kuwafundisha watoto ujuzi mapema wakiwa bado wadogo?

    Zamani suala la kumpatia mtoto ujuzi utakao mfaa maishani lilikuwa ni jukumu la mzazi. Mzazi mvuvi alimfundisha mtoto uvuvi. Mfua chuma, mganga, mkulima, mfinyanga vyungu, mrina asali, mfugaji, mfanyabiadhara nk. Ujuzi ulitoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto. Ikaja hii elimu rasmi. Jukumu la...
  19. CCM kemeananeni mapema na muonyeni Haji Manara kavuka mstari

    CCM mkiendelea hivyo mlivyo sasa kwa kila mtu kutoa tamko mnapotea. Hebu acheni huo ujinga! Haji Manara kaenda mbali sana kuwataka ndugu wa marehemu watulie je tafsiri yake ni ipi hapa na ni marehemu yupi anayemsema?! Shauri yenu.
  20. Hivi huyu aliyenialika 'Krismasi' Kwake kama hataki niende si aseme tu kuliko kunipa haya 'Masharti' ya 'Kukomoana' na 'Kuvunjana Moyo' mapema?

    "GENTAMYCINE karibu sana Kwangu Kesho uje kula Krismasi ila ukija utalazimika kunawa sehemu Tatu zilizotengwa, na ikiwezekana utaenda katika Chumba Maalum ukaoge upya na Sabuni Maalum kisha utumie Sanitizer na mwisho kabla hujakaribia ndani itakupasa utuonyeshe Cheti cha Kuchanjwa UVIKO-19 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…