Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
Wakuu,
Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
Kuna kitu nimejiuliza huyu mtu yeye kwenye maandamano hakuwepo alikua nje eti anaibuka anasema wanaume wanaogopa kujipambania nchi hivi huyu bwege anajua kwenye maandamano ground asilimia g5% walikua wanaume yaani hatumii akili hivi huyu mtu mzima kweli halafu kwingine anasema tuende Kwa amani...
Shalom Makamanda,
Sasa kila mtu anasikilizia kwenye mitandao ya kijamii shughuli imedoda huko twendeni tukaanikize maana tumepiga sana tambo karibia mwezi mzima sasa ndo muda wa kutoka tuachie keyboard jamani.
Tuache woga.
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea.
Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa.
Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
Wakuu habari,
Kwa hali inayoendelea ya Kampeni za CCM ni dhahiri bado watanzania njaa inatusumbua sana, yaani jana watu wameacha shughuli zao wanaenda kawe kungaa macho kwa Kiongozi anayeshindwa kujinadi kama mwanasiasa badale yake anatoa hotuba ya kawaida kama tayari ameteuliwa na ndiye...
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well...
Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi wagombea wa nafasi za juu katika siasa za leo wanavyonyamazishwa au kwa Maksudi kabida kutoonyesha msimamo dhahiri kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi na utawala mbovu. Hoja hii muhimu inapuuzwa, hakuna Mgombea yoyote mwenye kuonyesha hatua atakazo fanya...
Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
“Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.”
Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza kusikika – sauti ya matumaini lakini pia yenye mzigo mzito wa ukweli. Sauti hii inaitwa CCMJless –...
Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
Wakuu naomba msaada wa mawazo kidogo; nilikua na kazi kwenye taasisi moja hapa nchini lakini nikiwa pale, kipato changu kikubwa kilikua kinatokea kwenye side hustles zangu sana japo na mshahara haukuwa sio mdogo sana (take home $1,200). Hizi side hustles nilikua nafanya kazi km expert kwenye...
Kwamba hata iweje!
Haipo shaka nia njema kutokea kwa mama haipo na haiwezi kuwa sahihi kusema huo ndiyo ulio msimamo wa CCM au serikali yake yote.
"Samaki mmoja akioza haliwezi kuwa tenga lote."
Kuwa leo Lissu yuko Ukonga, ila waliowateka kina Mdude, Soka, nk wako huru? Waliowatendea unyama...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama.
Ndugu Ado amesema hayo kwenye tukio la Songwe Day lililowakutanisha watia nia wanaogombea nafasi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.