maonyesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana tumechoka ahadi, tunataka matokeo, Sio maonyesho!

    Ndugu wanajukwaa, Kuna jambo lazima lisemwe wazi bila kuficha ukweli: vijana wa Tanzania tumechoka na mifumo isiyo na tija inayotukatisha tamaa kila siku. 1. Ajira Portal – Kivuli cha Matumaini Leo unaona nafasi moja ya kazi, wanaomba watu zaidi ya 1,000. Huu si ushindani wa kawaida—ni dalili...
  2. L

    Kutoka vibanda hadi viwanda, maonyesho ya CIIE yamekuwa "chachu" ya ushirikiano wa China na Afrika

    Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
  3. Maonyesho ya Wakulima ya Nane Nane yanapogeuka kuwa maonyesho ya Wamachinga

    Katika maonyesho haya ya wakulima kipindi hiki imekuwa na utofauti mkubwa sana Zaidi ya mwaka Jana. Tofauti ni Kuwa wamachinga wa nguo ,wamachinga wa vyombo na mama ntilie,wauzaji wa dawa za asili wamekuwa wengi kuliko wakulima na wafugaji. Mabanda ya ng'ombe, mbuzi, na kuku hayazidi...
  4. Banda la Yanga lang'ara makombe maonyesho ya Saba Saba

    Hii sasa ni sifa, yaani Yanga imekomba makombe yote ya msimu!
  5. Nina eneo nataka kuweka maonyesho ya saba saba

    Wakuu maonyesho ya saba saba yamekuwa yanafanyika Dar Es Salaam tu. Sasa huku nina kama ekari mbili. Nataka niweke maonyesho ya saba saba. Nipangishe wafanyabiashara waweke matenti. Naruhusiwa? Utaratibu uko namna gani?
  6. Hivi maonyesho ya nane nane Mbeya kwa mwaka huu(2025) hayatakuwepo?

    Sababu ya kuuliza iwapo mashindano haya kama yapo ni kusawazishwa kwa eneo lile kana kwamba kwamba unatengenezwa upya.
  7. Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto. Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
  8. R

    Ni wapi naweza kuhudhuria maonyesho ya projects za computers, apps, softwares, n.k. lengo ni kuwekeza, nipeni pia elimu na tahadhari kabla sijawekeza

    Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha. Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k. Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
  9. Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

    Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
  10. Wauzaji wa bidhaa wa Rwanda kutafuta fursa kwenye maonyesho ya CIIE mjini Shanghai

    Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai. Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Biashara ya China kwa kushirikiana na Shirika la Biashara Duniani (WTO), ni maonesho makubwa zaidi ya...
  11. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera

    Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
  12. Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  13. L

    Rais Wa Msumbiji kufanya Ziara ya kikazi nchini na kufungua Maonesho ya Sabasaba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July. Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa pia kuwa mgeni Rasmi na kufungua maonesho ya sabasaba. Lakini pia Rais huyo wa Msumbiji atashiriki...
  14. Kwanini bango la sabasaba halijawekwa picha ya mtu mweusi?

    Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa...
  15. A-Z yatikisa maonyesho mahala pa kazi Biteko kuzindua kesho rasmi Arusha

    Mwenyekiti wa bodi ya wakala wa usalama na afya mahali pa kazi Adelhelm James Meru ametembelea maonyesho ya mabanda katika viwanja vya General teyre Jijini Arusha kukagua mabanda pamoja na kujionea majukumu ya utekelezaji wa vifaa vinavyo tumika mahala pakazi kwa tahasisi mbali mbali za...
  16. Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
  17. L

    Maonesho ya Uagizaji na Mauzo ya Nje ya China ni mfano wa kunufaishana kati ya China na dunia

    Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
  18. Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare II Jumba la Kumbukumbu ya Taifa

    MAONYESHO YA MWAMI TEREZA NTARE II JUMBA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA Ukiingia lango kuu la Makumbusho ya Taifa sasa unaelekea kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare imewekwa picha kubwa inayowaonyesha wanawake mashuhuri katika historia ya Tanzania. Nimesimama hapa kwa muda naziangalia...
  19. Huyu akawe wa maonyesho ughaibuni atuingizie fedha za kigeni

  20. Maonyesho ya kibiashara china na Turkey

    Kwa wadau wnaaotaka kusafiri china na turkey Kuna maonyesho mbali mbali Katika kipindi mbalimbali katika mwaka kama ilivyo kwetu Kuna 7/7. Nina dondoo kidogo...naomba tukutane hapa kupeana huu mchongo kwani nimekuja kugundua yaani Kwa sisi ambao hatukuwa kusafiri china au uturuki....kuenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…