maono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nchi ni lazima iwe na maono ya kimaendeleo kwa miaka mingi. Tunafanya mambo kwa kukimbia kimbia tu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi. Amefafanua kuwepo kwa maono ya muda mrefu kutasaidia hata kumpima Rais anapoingia Madarakani kwa namna...
  2. JamiiForums Tanzania Msimuingizie agenda zenu Rais Samia, maana maono yake ni yaleyale ya Hayati Magufuli

    Watu wanataka Samia aje na vision yake katika urais Tanzania Kimsingi huyu mama hata VP hakuwahi kuuota, na kwa hiyo hakuwahi kuwa na picha ya nini afanye akiwa VP! Kwa hiyo, kwa uaminifu kabisa aliendelea kumsaidia JPM kufikia maono yake juu ya kuwa nchi liyo na uhuru kamili kwa kujikomboa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa tumepata Sultana ,aloo ile michezo ya kiturkish ilikuwa na maono

    Sasa ndio kazi mijibaba mikubwa mikubwa naiona ikinyenyekea kwa Sultana Samia,yaani Tanzania ni pekee duniani stresi ni tatizo linaloondoka bila ya kutumia makemikali. karibu tutaona zile shangwe za mikutano zikianza na mihemko yake,karibu tutaona rasimu ya katiba ya Warioba ikipitishwa karibu...
  4. JamiiForums Tanzania Maono ya Rais mama Samia kuhusu uwekezaji nchini kwenye nyuzi 360

    Mh. Rais mama samia anaamini kwamba wawekezaji wakija kwa wingi nchini watachangia ukuaji wa uchumi kwa kasi ambapo kwa sasa kinachowakwamisha ni complications zisizo na ulazima, kodi zisizo rafiki na vibali vya kazi kwa wawekezaji. Kuna watu wanajenga hoja kwamba mtizamo huu wa Mh.Rais...
  5. JamiiForums Tanzania Tafakari ya Pasaka: Tunaonyeshwa kuwa Magufuli hakuyaishi maono yake na kama aliyaishi hayakuwa maono sahihi?

    Wanajamvi: Kwa wale Wakristu, wanafahamu matukio muhimu yaliyojiri baada ya Yesu Kristu Kufa Msalabani. Kwanza, Dunia ilitetemeka kuonyesha kuwa yule aliyekuwa msalabani ni Mungu anayetawala maumbile. Pili, Pazia la Hekalu la wayahudi kupasuka vipande Viwili kutoka juu mpaka chini. Wafu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ajikite kutekeleza ndoto za Hayati Magufuli au atekeleze maono yake?

    Je, tunamshauri Rais mpya aendelee na miradi yote aliyoanzisha JPM au aendeleze ile miradi yenye tija kwa Taifa na pia aanzishe miradi ya ndoto zake? Hapa Kuna miradi yakitaifa na miradi ya maono binafsi ya JPM. Miradi yakitaifa ni mradi wa umeme wa rufiji, mradi wa reli, bomba la mafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

    Mpendwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan! Kama nilivyoandika hapo awali, ninapenda kuchukua tena nafasi hii kutoa salaam zangu za pole kwako wewe binafsi kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Hakika, hiki ni kipindi kigumu sana kwako wewe binafsi na...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

    Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥 Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad === Katika hali ya kustaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza kuwa mchanga huo unachukuliwa kwa imani...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hii stendi mpya ya mabasi ya mikoani (Stendi ya Magufuli) hayakuwa ni maono ya CHADEMA kweli?

    Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita. Naomba kuelimishwa Maendeleo hayana vyama cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
  10. JamiiForums Tanzania Je, kwa maono yako unaionaje dunia mwaka 2100 (Maisha, Teknolojua, Mazingira, Imani, n.K)

    Kwangu naona dunia kwa mwaka 2100 wengi humu tutakuwa tupo kwenye makazi yetu ya kudumu. Naiona dunia hapa kwetu tutaanza utaratibu wa mazishi kwa kuchomwa moto kwasababu ya changamoto ya ardhi. Naiona dunia miaka hio, mambo ya ushoga, usagaji, kubadili jinsia yatakuwa katika kiwango cha juu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Shime Watanzania tuupiganie Uhuru wetu unaoporwa. Tutajuta!

    Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasababu walitaka nchi yetu ipate ama ijenge vitu la hasha. Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasabb walitaka kuunda serikali itakayo watisha watu na kuwafanya wawe na "heshima" kwa watawala. Mwalimu Nyerere na...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
  13. JamiiForums Tanzania Maono yangu tunapoelekea 2025

    wenzetu wa CCM wanasema kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa chaguzi nyingine. Ila kuelekea 2025 namuona mheshimiwa Majaliwa akikitwaa kijiti cha kuiongoza nchi kutoka kwa rais Magufuli. Namuona ndugu yangu Bernard Membe akirudi nyumbani CCM. Naliona anguko la CHADEMA na kuibuka kwa ACT kama...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  15. JamiiForums Tanzania Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

    "Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano" "Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine" "Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo" "Nilipokuwa naapishwa alinitumia Meseji ya Pongezi na wala sikumjibu ili asije kudhani kuwa bado atakuwa Waziri Mkuu" "Umesema Mkeo...
  16. JamiiForums Tanzania Mbeba maono amevuna mioyo yetu, kila itikadi.

  17. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 21 baada ya kifo cha Baba wa Taifa, mgombea yupi anabeba maono ya Mwl. Nyerere?

    Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani atabeba maono ya Baba wa Taifa katika kuiendeleza Tanzania?.' Huu ni mwaka wa uchaguzi na watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Wewe una kipaji/vipaji gani?

    WEWE UNA KIPAJI/ VIPAJI GANI? Habari wadau. Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia akieleza kuhusu aina 7 za vipaji. Sikufuatilia sana lakini naamini kuwa kipaji kinaweza kukusaidia kutimiza kusudi la kuwepo kwako hapa ulimwenguni. Aina 7 za vipaji: 1) Ubunifu 2) Muziki 3) Hesabu 4) Picha 5) Lugha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…