maoni yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. second chance

    JamiiForums Tanzania Nipe maoni yako mdau, natokaje hapo na hawa NIDA

    Habari za wakati huku wanajamvi wa jamii forum. Natumai mu wazima wa AFYA teletele. Napenda kutumia fursa hii kuwasilisha dukuduku langu kuhusu masuala ya USAJILI wa huduma mbalimbali katika kizazi hiki. Tunaishukuru serikali imeleta USAJILI kupitia NIDA na kupitia NIDA, watu wafanye USAJILI wa...
  2. KIXI

    JamiiForums Tanzania Tazama hii video: Mtoto anampiga mama kisa analazimishwa kusoma — Maoni yenu ni yapi?"

    Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
  3. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

    Kwema wakuu Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
Back
Top Bottom