Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo
Habari za jumapili.
Leo niongee na dada zangu na wadogo zangu waliopo humu ni jinsi gani utateseka na kuumia ikiwa tu, huna pesa yako mwenyewe.
Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku...