man

A man is an adult male human. Prior to adulthood, a male human is referred to as a boy.
Like most other male mammals, a man's genome typically inherits an X chromosome from his mother and a Y chromosome from his father. The male fetus generally produces larger amounts of androgens and smaller amounts of estrogens than a female fetus. This difference in the relative amounts of these sex steroids is largely responsible for the physiological differences that distinguish men from women. During puberty, hormones which stimulate androgen production result in the development of secondary sexual characteristics, thus exhibiting greater differences between the sexes. However, there are exceptions to the above for some transgender and intersex men.

View More On Wikipedia.org
  1. To the Unknown Man

    One day I saw someone I thought I’d never see He was sagging with smell of marijuana coming from his mouth And the way he talked you could tell he was from the south Just standing there staring at me I didn’t know what to say or do I looked in his eyes to see so much tears He said he’s...
  2. Missouri executes Jennings man convicted of killing woman and three children

    BONNE TERRE-MISSOUR, USA. Missour on Tuesday executed 58-year-old Leonard Taylor, who was convicted of killing his girlfriend and her three children at their home in Jennings nearly two decades ago. A state executioner delivered a fatal dose of pentobarbital at 6:07 p.m., and Taylor was...
  3. Mimi kama Shabiki wa Arsenal natamani Man City ashinde Kesi yake

    Muombee adui yako aishi maisha Mengi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe. Hatutaki visingizio mwisho mwa msimu, Kuna Gap la points 5, na mechi mkononi ambayo najua ni +3, maana msimu huu tunapita kila mtaa kama mwenge.. Tulimpa nafasi ya kupunguza juzi, kashindwa, Sasa si tufanyeje???? Man U...
  4. Man City hatarini kukatwa pointi kwa kuvunja sheria ya fedha

    Inaelezwa wamevunja kanuni za Premier League kwa zaidi ya mara 100 ndani ya misimu tisa ya nyuma kuhusu wadhamini na masuala ya mikataba. Tamko la uongozi wa EPL limeeleza Klabu ya Man City imekiuka masharti kati ya Septemba 2009 hadi 2018, adhabu nyingine zinazoweza kutolewa kwa mujibu wa...
  5. Man UTD bila Casemiro itatoka salama kweli Emirates?

    Saa 1:30 usiku kwa masaa ya Afrika Mashariki, Arsenal itakuwa inashuka dimbani kupambana na wapinzani wao Man Utd. Man Utd itashuka dimbani bila kiungo wao mahiri Casemiro, ambaye amekuwa mhimili mkubwa sana kwao. Ikumbukwe mechi ya kwanza Man Utd alishinda 3-1 dhidi ya Arsenal pale Old...
  6. Unazungumziaje usajili wa Antony pale Man Utd baada ya mechi kadhaa sasa

    Jamaa ni kama amenunuliwa pesa nyingi na ameshindwa kuonyesha kwanini walimnunua kwa pesaa nyingi. Kwakifupi ni kama wamepigwa.
  7. Arsenal itafunga zaidi ya magoli sita kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya Man United

    Matokeo ya mchezo huo wa tarehe 22 January 2023 utapeleka msiba mzito kwa Manchester United. Magoli watakayofungwa yatakuwa zaidi ya sita. Saka, Martinelli, Odegaard na Nketiah.
  8. Carabao Cup: Man United yashinda 3-0, yaingia nusu fainali

    Licha ya kuanzia benchi wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza, #ManUnited imeshinda 3-0 dhidi ya Charlton Athletic, wafungaji wakiwa ni Antony na Marcus Rashford (mawili) kwenye Uwanja wa Old Trafford. Mchezo mwingine wa Robo Fainali, Newcastle United pia imesonga mbele kwa ushindi wa magoli 2-0...
  9. Mashabiki Man UTD waiomba timu yao kutomsajili Memphis Depay

    Sababu ya kutoa maoni hayo ni kwa kuwa wana hofu yasije kujitokeza kama yaliyotokea kwa Cristiano Ronaldo ambaye aliwahi kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio lakini baada ya kurejea mambo hayajawa mazuri kama ilivyokuwa awali. Depay ambaye aliwahi kuichezea United mwaka 2015 hadi 2016, alifunga...
  10. M

    Ronaldo wa kombe la dunia kama mchezaji wa ureno anaonekana ni tofauti kabisa na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U: Hii imekaaje?

    Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U. Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
  11. David Beckham aweka wazi nia yake ya kuinunua Man United

    Nyota huyo wa zamani wa soka ameelezea nia yake hiyo ambapo mpango wake ni kushiriki katika muungano wa watu wanaoweza kuinunua klabu kwa kuwa yeye peke yake hana uwezo huo. Hiyo inamaana kuwa kuhusika kwa Beckham kunaweza kuwa na manufaa kwa wanunuzi wengine kutokana na historia yake ya muda...
  12. Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

    Wananodi, Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii, CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!. Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...
  13. A Man Attacks A Black Woman In France And Get Instant Karma

    A Man Attacks A Black Woman In France And Get Instant Karma A man attacks a woman in France, until the woman body-slams him in self-defense.
  14. Time is a true enemy of man

    Quote “time as true enemy of man with Evidence” P.Kagame-Rwanda before (1994) After (2022) K.Museven -Uganda before (1980) after (2022) R.Mugabe-Zimbambwe before (1960) after (2019) A hero should be the defeater of time
  15. Harry Maguire apewa mapumziko maalum Man United

    Beki huyo wa kati amepewa ruhusa hiyo na kocha wake wa Manchester United, Erik ten Hag ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha anakaa sawa kiakili na kurejesha kiwango chake. Masharti ya Ten Hag kwa mchezaji majeruhi ni lazima awe na timu muda wote lakini Maguire ambaye anasumbuliwa na maumivu ya paja...
  16. Jemedari Said: Kipa wako akiwa "Man of the Match" basi mjue mlizidiwa

    Comment ziwe fupi fupi tafadhali.
  17. FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Oktoba 2, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, atakwaruzana na Walima Zabibu Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mechi huenda ukawa ngumu kwa pande zote mbili, hasa ukizingatia kwa kila timu kujipanga ili kupata...
  18. Aina ya wanawake wasiotongozeka hata uwe na kila kitu (perfect man)

    Katika uchunguzi wangu kuna kundi la wanawake nimeligundua ni kundi ambalo halitongozeki hata uwe handsome vipi, umjue mungu vipi au uwe gentle kiasi gani. Wanawake hawa ukikutana nao barabarani usijisumbue kuwapata, ni sahau. 1. Mwanamke Anaeenda kukutana kimapenzi na mwenzi wake Ukikutana na...
  19. Wachezaji Man United waumwa tumbo, yadaiwa wamekula chakula chenye sumu

    Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League. United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
  20. Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…