Al-Mamlaka (Arabic: المملكة, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zimbabwe (ZACC), imetangaza kufungua upya jalada la Uchunguzi dhidi ya Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutokana na kuhusishwa kwake na masuala ya Rushwa na Ufisadi katika miradi aliyoifanya na Serikali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ZACC, imeeleza kuwa...
Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)...
Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake.
Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi.
2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake.
3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika katika hifadhi binafsi ya Ol Jogi Conservancy, Kaunti ya Laikipia, limezua hasira kubwa kwenye mitandao...
Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani.
Kinachoshangaza zaidi...
Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake.
Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!?
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni muhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya Mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema...
Wakuu
Katika harakati zangu wiki iliopita saa 12 asubuhi nilikutana na hii gari ya watoto wa nursery imepigwa tinted vioo vyote(hadi cha dereva) ispokua kioo cha mbele.
Kwa kushamiri kwa matukio ya unyanyasaji wa kingono na ukatili dhidi ya watoto, hili linawezekanaje? Unamlaumu nani
1. Kwanini...
Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...