mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini TASAC inaendelea kuchukua Tsh 3/= kwa kila lita ya mafuta yanayoingia wakati ilishapokonywa mamlaka ya kuwa Clearing and Fowarding Agency?

    Habarini wakubwa. Kulingana na mnyumbulisho wa kodi na tozo za mafuta yanayoingia nchini, bado namuona TASAC anachukua Tsh 3/= kwa kila lita kwa kazi ipi hasa? ..Kumbuka TASAC alipewa majukumu la kushughulikia shereha za mafuta na gas zinazoingia nchini mwaka 2017 , mpaka kufika mwaka 2023...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya: Namtumbo mkoani Ruvuma hatujalipwa Pesa ya kujikimu

    Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024. Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Samia na CCM yake ni Vita ya 'Mamlaka', Kwa Watanzania kupitia CHADEMA ni Vita ya ku 'survive', CDM ya sasa si Chama tu, ni Imani

    Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA. Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA. Je, ni nani wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mwanza, huku Nyamhongolo Stand, Ilemela tuna tatizo la umeme mdogo (low voltage)

    Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza. Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea kupata hasara kubwa kutokana na umeme kuwa mdogo muda mwingi. Mashine za kazi haziwezi kufanya kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Kasaka: Kila mamlaka ina nguvu ya kufunga biashara, huu ni mfumo holela

    Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Kasaka akichangia hoja bungeni leo Aprili 15, 2026 amesema tozo na kodi ambazo wawekezaji wa madini wanapitia ni nyingi na zinaweza kuchangia kushindwa kufanya biashara, na baadhi ya mamlaka zinakuwa na nguvu ya kufunga biashara inapotokea mwekezaji hajalipa moja...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa jamaa wa upande wa pili wengi wao ni mashabiki wakubwa wa mamlaka zenye hurka ya ugaidi na uminyaji wa haki za binadamu?

    Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao? Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kundi linajitokeza kudhoofisha Mamlaka ya Mwanaume

  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwambukusi apendekeza CAG apewe mamlaka ya kuchukua hatua ili kudhibiti madudu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko ya kimfumo, ripoti za CAG zitaendelea kuwa kelele zisizo na matokeo. Akizungumza na televisheni ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Urusi kuongeza hatua kali zaidi kuzuia matumizi ya VPN

    Urusi inapanga kuongeza hatua kali zaidi dhidi ya matumizi ya Virtual Private Networks (VPNs), ambazo hutumiwa na mamilioni ya Warusi kukwepa udhibiti na vikwazo vya mtandao, amesema waziri wa masuala ya kidijitali wa nchi hiyo. Hatua hii inayoelezwa na baadhi ya wanadiplomasia kama “msako...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu? Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imetutelekeza Vijana wa JKT 2024 baada ya awali kutuahidi ajira

    Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Mwanza (MWAUWASA) watuambie kama kuna mgao wa maji Nyakato

    Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa. Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika mchana. Kipindi hiki cha sikukuu maji yamekuwa yakija na kukatika. Tangu jana siku ya Eid maji...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote

    Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
  17. JamiiForums Tanzania Tribute to Dennis Busulwa (Ssebo), Aliiheshimu Sana TCRA na Kuiita Baba! Alitamani isiitwe Mamlaka ya Udhibiti, iitwe Mamlaka ya Ulezi wa Utangazaji!

    Wanabodi Leo tumemuaga mwana tasnia ya habari, Dennis Busulwa kwa jina maarufu la Ssebo Hii ni Tribute yangu to Dennis Busulwa (Ssebo), aliiheshimu sana TCRA na kuiita Baba!. Alitamani TCRA isiitwe Mamlaka ya Udhibiti, iitwe Mamlaka ya Ulezi wa Tasnia ya Utangazaji!, na kuiita Baba Mlezi wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwani mamlaka jijini Arusha hazioni mashimo barabarani Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi? Yanachangia foleni

    Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
  19. JamiiForums Tanzania Sala ya Leo: Mithali 29:2- Mamlaka na Haki

    Mithali 29:2* “Watu wa haki wanapokuwa na mamlaka, watu hufurahi; Bali waovu wakiwatawala, watu huugua.” Uhafanuzi Neno hili linaonyesha kwamba uongozi wa haki huleta furaha na amani kwa watu, lakini uongozi wa waovu huleta mateso na huzuni. Tuombe Ee Mungu tunakushukuru kwa neema hii ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…