mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kama wasaidizi wa Kingai wamepandishwa vyeo, siku si nyingi mamlaka ya RAIS itampandisha cheo kuwa SACP/DCP/CP au IGP

    Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina Kingai walifanya mateso waliyoeleza watuhumiwa kesi ya Mbowe basi walisaini mkataba wakuifanya kazi hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kutenganisha mamlaka (mihimili) ie Separation of powers, je inafanya kazi kwa kiasi gani hapa kwetu?

    Duniani kote kuna hii dhana ya mihimili ya mahakama, bunge na serikali kutokuingiliana (separation of powers) na kugawana madaraka bila kuathili mawasiliano kwa maana ya coordination baina yao kwa uendeshaji mzuri wa nchi. Ni kwa kiasi gani dhana hii inafanya kazi hapa kwetu? Je, kiuhalisia/in...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Tulia juu ya Mamlaka aliyonayo Rais wa nchi haikuja kwa bahati mbaya, ni fadhila baada ya kuhakikishiwa

    Kwa jinsi alivyozungumza Tulia (NS) jana wakati wa kuapishwa viongozi/Mawaziri wapya ni dhahiri shahiri kuwa aliandaliwa makusudi kuongea vile baada ya kuhakikishiwa nafasi ya "Mzee wa nina file milembe mimi"'. Ili halina shaka kabisa na ni wazi, ndio maana badala ya Tulia kuzungumzia...
  4. JamiiForums Tanzania Dubai, UAE: Wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kusafiri nje kuanzia Januari 10

    Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema zitapiga marufuku Raia ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kusafiri nje. Waliopata chanjo kikamilifu wanatakiwa kupata ya nyongeza (Booster) ili kukidhi vigezo vya kusafiri Hata hivyo, marufuku hiyo itakayoanza Januari 10 italegezwa...
  5. JamiiForums Tanzania TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mhe. Majaliwa amesema viongozi wanatoka Kwa Mungu, najiuliza hata akina Sabaya walipewa mamlaka na Mungu? Vipi kuhusu viongozi wa uchafuzi 2020?

    Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila kupingwa na wengine walipitishwa na tume kuipitia uchafuzi, je hawa wote wanatoka kwa Mungu? Tuna...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kila niisikiapo sauti ya Mzee Mangula iliyojaa mamlaka na unyenyekevu nafarijika sana

    Katika miamba ya siasa, utawala na uongozi kwenye nchi hii sio rahisi kushindwa kutaja jina la mzee Philip Mangula, makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara. Ni moja ya watu ambao wameacha historia muhimu sana na ingewekwa kwenye vitabu ingefaa sana kwa vizazi vijavyo. Ikimpendeza aandike kitabu cha maisha...
  8. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Afya nchini tulindeni Watanzania

    Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
  9. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Afya nchini tulindeni Watanzania

    Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
  10. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

    Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
  11. JamiiForums Tanzania Mamlaka: Madereva wa Mabasi ya Mikoani 'Wanaobeti' Kufika haraka waendako Kukiona cha Mtema Kuni

    Kwa hili GENTAMYCINE nasema mmechelewa sana hata hivyo nawapongezeni kwa Kuliona na kuamua kulivalia Njuga hivi sasa kwani kuna Watu wamepoteza Maisha na wengine kupata Ulemavu wa Kudumu kutokana na Upuuzi wa baadhi ya hawa Madereva wa Mabasi ya Mikoani. Yako Mabasi mengi yenye huu Upuuzi ila...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania TCRA tuambieni nani alimshitaki Polep[ole? Kuna matatizo makubwa ya maamuzi.

    TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana. Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya TCRA lakini mwishoni mtu unaona ni kama upuuzi wa aina fulani vile. Haijulikani makosa yameanzia kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwataka Wakulima wapande mazao ya muda mfupi ndio imetosha?.

    Siku chache zilizopita nilikuwa safarini na nimeona maeneo mengi Wakulima wakiweka mbegu mashambani. Ingawa sikuweza kujua aina ya mbegu wanazopanda lakini kwa mazoea tuliyonayo wengi wao watakuwa wanapanda mahindi au Maharage. Ni jambo la kutia moyo kutokana na kusuasua kwa mvua za msimu...
  14. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa nauli za mabasi yaendayo mikowani: Mamlaka zinazohusika zimeridhia?

    Naweza kuwa nimepitwa na habari kutoka Mamlaka zinazodhibiti gharama za usafirishaji. Hivyo, naomba kufahamu endapo Kuna tangazo la Mamlaka yeyote kutangaza ongezeko la nauli za mabasi nchi Tanzania. Hali imekuwa mbaya, Kuna makampuni ndani ya wezi huu wamepandisha nauli Mara mbili. Nawasilisha
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika saidieni wanachuo ambao wamepangiwa kupewa Mkopo na hawajapewa

    Ninawasalimia wenzangu wanajukwaa Nimekosa usingizi muda huu nakuamua kutumia fursa hii kufikisha ujumbe wangu. Je mamlaka husika zifahamu kwamba wapo baadhi ya wanachuo hadi mwaka unaisha tangia kufunguliwa vyuo mpaka sasa wapo baadhi ya wanachuo ambao hawajapewa fedha ya kujikimu?. Maswali ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri masuala ya kijeshi yabaki kuwa siri

    Nimekkuwa nikiona katika sherehe muhimu za Kitaifa majeshi yetu yanaonyesha vifaa vyao vya kivita na umahiri wao katika fani zao. Katika sherehe hizi tunakuwa na wageni mbalimbali na wengine wametoka nje ya nchi yetu na huwa wanashuhudia yote yanayofanywa na majeshi yetu katika sherehe hizi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Katikati hali ya kushangaza na rushwa ilivyokithiri mamlaka za mkoa wa Tabora zadaiwa kuruhusu Kanisa kujengwa katikati ya barabara

    Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora . Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Ufisadi wa kutisha Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA)

    Kuna ufisadi Mkubwa unafanyika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA). Ufisadu huu unafanywa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi AUWSA, Eng. Justine Rujomba kwa kushirikiana na Waziri wa Maji Ndg. Juma Aweso na Katibu Mkuu Engineer Sanga. Kuna Mradi wa Ujenzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

    Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati? Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati. Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Babalevo amjibu Babutale Mamlaka ya kuwaita Watu wapumbavu ameyapata wapi?

    Hivi karibuni Babu Tale alizungumza juu ya sanaa kwa mapana yake, alidai kuwa watanzania tuwe mstari wa mbele kuwapongeza wasanii kwa kazi zao vilevile wasanii wajikite zaidi kwenye muziki na sio mabishano yasiyokuwa na tija katika tasnia ya muziki Hatahivyo alitaja idadi ya watu wanaotakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…