Kwa hili la HESLB ingekuwa kwenye mamlaka ya Hussein Mwinyi, Mkurugenzi angeshatenguliwa

Afrikasana

JF-Expert Member
Oct 27, 2021
320
283
Sina nia ya kupuuza juhudi za Mh. Samia Suluhu amiri jeshi mkuu. Ila ameonekana kucheka na wazembe.

Kwa namna ninavyoona mwenendo wa Mh. Hussein Mwinyi kule Zanzibar,ninauhakika angekua na mamlaka juu ya HESLB angeshatengua uteuzi. Na angevunja menejimenti yote ya HESLB

Tena hao wachunguzwe kwa uzembe na rushwa

HESLB wamegoma kuwapa baadhi ya wanavyuo fedha zao za kujikimu kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Hata za mwaka wa kwanza wamegoma kuwaingizia pia.

Kwanini mtu anapangiwa mkopo na hapewi kwa zaidi ya miezi miwili? Hii sio haki

Mh. Rais chukua kalamu fanya maamuzi wapo watanzania wengi sana wenye sifa za kuchukua hizo nafasi na kuiendesha bodi kwa umakini. Usiwaonee muhali
 
Acha ujinga ambao hawajapewa ni wenye matatizo.

Unadhani wanafunzi wangekosa mikopo pangekalika?

Hamia kwa Hussein Zenj
 
Ninavyofahamu wanafunzi asilimia kubwa wamepata, labda wenye supplementary ndo kuna changamoto na wengne ni changamoto binafsi maana; matokeo yao lazima yatumwe huko hsleb
 
Hizo sababu ulizozitoa hakuna hata mojawapo.
Hakunaa cha supplementary labda uwe ni UZEMBE WA VYUO
 
Sina nia ya kupuuza juhudi za Mh. Samia Suluhu amiri jeshi mkuu. Ila ameonekana kucheka na wazembe.

Kwa namna ninavyoona mwenendo wa Mh. Hussein Mwinyi kule Zanzibar,ninauhakika angekua na mamlaka juu ya HESLB angeshatengua uteuzi. Na angevunja menejimenti yote ya HESLB

Tena hao wachunguzwe kwa uzembe na rushwa

HESLB wamegoma kuwapa baadhi ya wanavyuo fedha zao za kujikimu kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Hata za mwaka wa kwanza wamegoma kuwaingizia pia.

Kwanini mtu anapangiwa mkopo na hapewi kwa zaidi ya miezi miwili? Hii sio haki

Mh. Rais chukua kalamu fanya maamuzi wapo watanzania wengi sana wenye sifa za kuchukua hizo nafasi na kuiendesha bodi kwa umakini. Usiwaonee muhali
Samia mwenyewe ni mzembe, unategemea ataweza kukemea wazembe wenzake, yeye muda wote anawaza kutaka kupewa heshima na kuachiwa nafasi ya kugombea 2025 utafikiri alikuwa na hilo wazo la kugombea kabla ya kifo cha magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina nia ya kupuuza juhudi za Mh. Samia Suluhu amiri jeshi mkuu. Ila ameonekana kucheka na wazembe.

Kwa namna ninavyoona mwenendo wa Mh. Hussein Mwinyi kule Zanzibar,ninauhakika angekua na mamlaka juu ya HESLB angeshatengua uteuzi. Na angevunja menejimenti yote ya HESLB

Tena hao wachunguzwe kwa uzembe na rushwa

HESLB wamegoma kuwapa baadhi ya wanavyuo fedha zao za kujikimu kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Hata za mwaka wa kwanza wamegoma kuwaingizia pia.

Kwanini mtu anapangiwa mkopo na hapewi kwa zaidi ya miezi miwili? Hii sio haki

Mh. Rais chukua kalamu fanya maamuzi wapo watanzania wengi sana wenye sifa za kuchukua hizo nafasi na kuiendesha bodi kwa umakini. Usiwaonee muhali
Hawana hela
 
Back
Top Bottom