mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wana uelewa

    1. Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wanauelewa nalo wa hali ya juu 2. Mkanganyiko juu ya chanjo ni muhimu serkali ikatumia busara na kuacha mihemko, Bishop Gwajima na watu wengi pia wana mawazo mchanganyiko juu cha chanjo kwahiyo askofu asionekane ni...
  2. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo niliyoyakuta kwenye machimbo ya madini

    Siku ya jumatatu tarehe 30-8-2021. Nilikuwa nasikia machimboni tu, kuna rafiki yangu naye mtu machimbo mwenye mgodi wake! Nikataka kujua maisha ya machimboni yakoje, basi jumatatu tukatoka kama tarehee niliyotaja kwenda kule. Maisha yaliyopo machimboni yani sijui ni pesa au watu kudata na...
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli Chuo cha Mwalimu Nyerere majibu yametoka?

    Eti Ni kweli Mwalimu Nyerere majibu yametoka?? Na Kama yametoka nimeingia kwenye account yangu ipo hivo ina maana sijachaguliwa au nisubiri subiri???
  4. JamiiForums Tanzania Ni mapema mno kumnyooshea kidole mheshimiwa Rais, Tumpe muda!

    Nianze na suala la kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani bw. Freeman Aikael mbowe kukamatwa kwa kiongozi huyo wa upinzani kwa tafsiri ya kisiasa inaweza kuonekana ni agizo kutoka juu ili kudhoofisha upinzani au kukwamisha mapambano ya kudai katiba mpya. Lakini ukweli ni kuwa kukamatwa kwa mbowe...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

    1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana. 2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi. 3. Clip zinaonyesha...
  6. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Agosti 2021

    Wakuu tushtuane kale ka meseji kakiingia au mkiona msongamano usio wa kawaida kwenye ATM. Wasiohusika kaeni pembeni
  7. JamiiForums Tanzania Haya mambo yasikie tu

    Haya mambo yasikie tuu au kuishia kuyaona kwenye social media. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. JamiiForums Tanzania Hapa tunaishauri Serikali ivunje Katiba kwenye Baadhi ya Mambo. Inachanganyikiwa ifuate lipi na wakati gani

    Ukimsikiliza Gwajima Me ana hoja zake na Gwajima Ke ana hoja zake. Kikatiba wapo sawa. Na pia kwa Tamko la Rais. Wapo sawa. Chanjo ni Hiyari. Kwa nini? Ndio maana Serikali inatujazisha fomu kuwa Chanjwa by your own risk. Ukiwa Ok sawa Shukuru Mungu. Ukiathirika pole maisha yaendelee...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni dini mbali na mambo yenu ya Kiserikali ili nyote muwe huru

    Wiki hii watu wametokwa na povu sana kutokana na matukio mbalimbali yalioashiria mwanzo wa kuanza kutomaswa tomaswa kwa dini zao ambazo zilikuwa zimepewa hadhi maalum ya kuwa zisizogusika au 'untouchables' kwa muda mrefu. Mzee wa Upako ni mmojawapo wa watu waliotokuwa na povu hilo hadi kufikia...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kupata Visa ya kuja Tanzania ni kazi kweli kweli, Uhamiaji na Mambo ya Nje mnamkwamisha Rais

    Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
  11. JamiiForums Tanzania Vitu gani ambavyo huzingatiwa ili ulipie kodi ya ardhi?

    Vitu gani ambavyo huzingatiwa ili ulipie kodi ya ardhi? Mfano miji mingi ambayo ndo inaanza kukuwa wengi hawajapima viwanja vyao. Je, mimi binafsi nikitaka kuanza kulipia nahitajika nipitie wapi ili nianze kulipia kiwanja changu ambacho hakina nyumba?
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani unda tume ichunguze SACCOS ya Magereza imejaa dhuluma

    Kwanza saccos hii imejaa watumishi wazembe na wasio na hekima katika muktadha wa huduma kwa wateja. Askari hasa wa mikoani huwalazimu kutoa hadi rushwa ya zaidi ya milioni ili tu wasaidiwe kupata nyaraka muhimu kwa mfano zinazohusu mikopo. Kama huna rushwa ya kuanzia laki tano na kuendelea...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, jipunguzie kazi kwa kumuweka Makonda au Nape kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

    Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki: Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Tukiendeleza kutumia nguvu kuwanyamazisha watu wanaohoji juu ya mambo ya kitaifa, tunatengeneza Taifa la hovyo na nchi kutekwa na adui

    Kipindi cha ukoloni, mkoloni hakupenda kabisa kuona watu wenye akili wakihoji. Kama Afrika isingekuwa na watu wenye kuhoji mpaka leo tusingekuwa tumejipatia uhuru.sehemu nyengine hawakupata uhuru kwa mtutu wa bunduki bali kwa hoja tu. TAIFA lenye watu wa kuhoji mana yake liko hai na linaonyesha...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

    Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Kaathiriwa na Filamu za Hollywood "Fiction movies" Pamoja na Mambo dhahania

    GWAJIMA AMEATHIRIWA NA FILAMU ZA HOLLYWOOD "FICTION MOVIES" PAMOJA NA MAMBO DHAHANIA. Na, Robert Heriel. Gwajima anaonekana ni muumini mkubwa wa filamu za kimarekani "Hollywood", hasa zile fiction movies, adventure movies na Horror movies. Ukimsikiliza Kwa umakini mkubwa Ndugu Gwajima...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

    Habari za midaa hii wa JamiiForums. Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya. Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ya dizonga

    Kabali we isikie tu!ila ikikukuta ndiyo Utaijua😂 Hii clip nkiangalia nabakia kucheka sana Hahaha,kwanza imenikumbusha mbali sana Maana nlishawahi kutana na kabali kama hii Nchi fulani kusini mwa America enzi za ubaharia,nkiangalia hii clip nabakia kucheka tu Mshana Jr mama D Ova
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyoyaona baada ya kupata chanjo leo

    Leo nimechanjwa katika mji mmojawapo wa wilaya. Nilifanya booking online na tarehe yangu niliyochagua ilikuwa jana bahati mbaya jana hawakufungua. Nilichokiona ni: Pamoja na kueleza kuwa nilikuwa na booking online lakini hiyo haikuwa na uzito ila nilipewa fomu ya kujaza. Mtumishi alikuwa mmoja...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni wakati kulihutubia Taifa kuweka mambo sawa

    Rais Samia Suluhu huu si wakati wa kukaa kimya, hutubia taifa ili nchi na watu wake wapate mwanga mpya, kuna mambo mengi yanachanganya wananchi, mfano Suala tozo Chanjo Democracy Ugaidi Kuna kipindi Rais JMK mstaafu na Dkt. John P Magufuli walizungumza na taifa pale ilipotokea kukawa na kelele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…