The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,062
- 13,461
Huyo dada alipata ajali akafariki akiwa mjamzito wa miezi 8, bahati nzuri mtoto alipona, sasa baba mtu alirudi zile zile sehemu alikopiga picha na mama wa mtoto wakati wa ujauzito na kupiga picha na hicho kitoto ....aliyeelewa atafsiri
Kweli kabisa Mkuu.Habari hizi ishia kuzisoma kwa watu yakikufika utakuwa chini kama viatu.
Lunatic
data umekunywa supu ya limao Nini ????
We are on the Right Track ..
Magu sijui aliibua wapi hiki kipaji🤣🤣