mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya mambo si mazuri yanashusha hadhi ya tiba asili

    Watu wa tiba asili mnafumbia macho mambo haya yanashusha hadhi ya tiba asili. Unakuta mtu anaenda na dawa za kienyeji mnadani, au anatembeza mitaani kama nguo chukueni hatua. Pigeni marufuku mbona watu hawabebi Fansida, Alu nk kupeleka mnadani? Wauze mahala maalum Ili hata mgonjwa akihitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Kua uyaone, weka mkasa wako hapa ulipogundua pesa si kila kitu

    Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

    Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee CLEOPA DAVID MSUYA akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 amesema CHADEMA ni wazuri na mahiri wa kuchambua mambo kwa kina na lazima tujifunze kwao. - Hawa CHADEMA ni wachambuzi wa mambo kwa kina na ni lazima tujifunze kwao, kwamba wao kwanini wanajifunza hivi na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  5. JamiiForums Tanzania Unapata faida gani kuanika mambo yako ya msingi mbele za watu

    Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu. Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana? Utasikia ooooh...
  6. JamiiForums Tanzania Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

    Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
  7. JamiiForums Tanzania Kadi za CCM zimeanza kurudishwa. Je, ni kwa sababu ya mambo yanayoendelea awamu hii ya sita?

    Je, wapinzani wajiandae kisaikoloji? Je, CCM imeanza kugawanyika kuanzia viongozi wake hadi wanachama wake?
  8. JamiiForums Tanzania Kukabiliana na Changamoto za Upungufu wa Dola na Kuongezeka kwa Bei za Mafuta serikali ifanye mambo yafuatayo

    Serikali inapaswa kuanzisha matumizi ya vyanzo mbadala vya nishati, kama vile gesi asilia. Kuanzia kwenye magari yote ya serikali, kutekeleza matumizi ya Gesi ya Asilia Iliyosindikwa (CNG) kutapunguza matumizi makubwa ya fedha za kigeni zinazotumika kuagiza mafuta. Hatua hii inaweza kusababisha...
  9. JamiiForums Tanzania Fanya haya mambo 5 ili uzeeke kijana

    Watu wengi ni wazee lakini vibogoyo, wamepinda, hawaoni, hawanusi, wanatembea na chupa za mikojo na vidonge vya rangi mbalimbali. Huu uzee unagharama sana. Kuna mambo ukianza kufanya leo yanaweza kukusaidia ukazeeka huku huku ukiwa unanguvu na kila kitu kiko vizuri. 1: Asilimia kubwa ya vyakula...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Jitahidi kuyafanya sana haya mambo utakuja nikumbuka baadae

    Jamani hapa DUNIANI tupo miaka michache sana katika starehe,. Yaani ni kutoka 25 mpaka 55 Hivyo kama kuna vya kuvitumia kulingana na uwezo wako vitumie sana,. Kama ni (🍺 bia)kunywa sana ikikupendeza zaidi vuta na BANGI ndani ya hiyo miaka, Kama ni (❌ ngono) fanya sana tena hata ngono zembe...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini Maaskofu waliyakalia kimya mambo haya?

    Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya. Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya. Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa. Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya...
  12. JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

    Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yaahidi kufuatana na Afrika katika juhudi za kutimiza mambo ya kisasa

    Kwenye Mazungumzo ya Wakuu wa China na Afrika yaliyofanyika tarehe 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini, rais Xi Jinping wa China alisisitiza kuwa ni watu wa Afrika ambao wana haki ya kuamua ni mtindo gani unaofaa Afrika kutimiza maendeleo ya kisasa……China inaunga mkono kithabiti na kuwa tayari...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo saba (7) ya kufanya ili kuuzima moto wa mgogoro unaosababishwa na mkataba wa DP world na Tanzania

    Mgogoro unaozunguka mkataba kati ya DP World na Serikali ya Tanzania umezua hisia na mijadala katika jamii ya Kitanzania. Hili ni suala linalohitaji kushughulikiwa kwa umakini ili kuepuka athari za kudumu kwa taifa letu. Kwa kuwa kuna maoni tofauti na hisia kutoka kwa wananchi, serikali, na...
  15. JamiiForums Tanzania Antinatalism vs Childfree: Mambo ya uelewa kati ya haya mawili

    Natumaini mko wazima wanna forum. Mada ya leo itahusu antinatalism na childfree. Nitaanza kwa kuweka hizi hoja mbili wazi kuwa kuna watu ni childfree (by choice) na pia ni antinatalist ila si kila antinatalist ni childfree. Nitaanza kuzungumzia watu childfree Watu wanaochagua kuwa childfree kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo yanayotukwamisha vijana ni haya

    Haya ni mambo ambayo yanatufanya vijana tusiaminike. Historia za familia zetu Tabia zetu Mitazamo yetu. Haya matatu yanaweza kukwamisha maisha yako yote bila wewe kujua.
  17. JamiiForums Tanzania Thamani ya kitu hutengenezwa katika akili ya mtu. Unaweza kumfanyia mtu mambo makubwa lakini akaona hayana thamani kwake

    Katika MAISHA thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya mtu. Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake . Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tulia na mambo ya Bandari

    Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe: "Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?" Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao? Kulikoni...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mambo 20 ambayo yanatakiwa kujadiliwa ili nchi isonge mbele tukiwa wamoja

    UNAFIKI pembeni! Moja kwa moja kwenye ajenda. 1. Ni nani mshauri mkuu wa mambo muhimu na makubwa kwa Rais wetu kwa sasa?! Ni kina nani? 2. Biashara za koridoni na mwarabu zina kitu gani kikubwa hadi kufikia hatua hii? Kila sehemu ya nchi anatafutiwa mapande mapande ya ardhi, kuanzia bandari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…