mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo mengine sio uchawi, ni kukosa maarifa tu

    Hii ni kwa mujibu Chama cha Madaktari Nchini Canada
  2. JamiiForums Tanzania Mambo moto huko mtifuano bado unaendelea

    Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi, Daniel...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yafichuka ndani ya Equity Bank, mmiliki wa gazeti la Jamvi la Habari alipewa tender na swahiba wake Zenda

    Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala, Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi Daniel ZENDA naye alipewa na Dada yake wa Damu, Story ya Dada yake itakuja soon, hivyo Daniel ZENDA alimpa tender...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo matano kugeuza siasa za Tanzania

    1. Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu. 2.wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki ya mauzo kwa taifa lijalo. 3.kuwa na tume huru ya uchaguzi yaani wasimamizi wasiteuliwe na kiongozi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuahirisha mambo

    Habari wanaJF, Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya. Nitaendelea hivyo hivyo mwishoni nasema kesho. Kesho inafika narudia nilichofanya leo. Hili ni tatizo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais. Hili jambo kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo matano hatari ukiwa CCM, moja lilimkuta Comrade Chongolo

    Sisiemu ilishaacha kuwa chama cha siasa.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya binaadamu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi?

    Kwanini baadhi ya watu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi yani unaweza kukutana na mtu ana vipaji vingi ukastaajabu na uwezo wake aliojaaliwa?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuna kelele Nyingi za Kuendesha Kwa Reli zetu na kampuni Binafsi sasa huko walianzia mambo si mambo tena

    Metro – End of the line for failing train firms Labour has pledged it will nationalise the railways should the party prevail at the next election, Metro reports. Shadow transport secretary Louise Haigh told the paper the “current model doesn’t work for anyone”. The plan would see a Great...
  12. JamiiForums Tanzania Tujifunze kudharau mambo

    Hakika penye wengi pana mengi, kwahiyo tutarajie kukutana na watu wenye tabia tofauti tofauti. Kuna watu ambao watakukwaza kwa kutokujua na wengine kwa makusudi kabisa, kuna watu ambao furaha yao ni kukuona wewe unakosa raha, kukuona wewe unanung'unika, wanapenda usiwe na amani. Na njia moja...
  13. JamiiForums Tanzania Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao. Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
  14. JamiiForums Tanzania Dunia na mambo yake yote yanapita!

    Jaribu kutafakari hapo ulipo, tangu umezaliwa, umepata akili, watu wangapi uliowaona wanapambania maisha ya dunia hii, wako wapo, yale waliyopambania yamewasaidia nini kwa maisha yao huko walikoenda? Wanaweza kuwa wamekula bata, wamelala na wanawake wawatakao au wanaume wawatakao, wamejenga...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

    Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100 Majimbo ya uchaguzi yataamuliwa kwa wingi wa watu na kila baada ya miaka 10 yatachorwa upya sehemu yenye watu wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    1. Acacia Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo! 1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI Huwezi kuroga...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

    1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia 2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine. 3. Che Malone amepoteza uwezo wake wa kujiamini na amekuwa akitoa boko sana, atupishe. 4. Mabeki wa Yanga...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China yapinga na kulaani vikali Uingereza kuingilia mambo yake ya ndani

    Hivi karibuni, China ilipinga vikali ziara zilizofanywa na ujumbe wa “Marafiki wa Taiwan” uliojumuisha baadhi ya wabunge wa Chama cha Leba cha Uingereza kisiwani Taiwan. China imesema, ziara hiyo ni ukiukaji wa wazi wa kanuni ya China moja na uingiliaji wa ndani wa mambo ya China, na kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utawala wa Kikwete haya ndo mambo muhimu sana.

    1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako. 2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…